Sera zetu Wapinzani za utekelezaji wa miradi ya maendeleo ni 40/60

ego

JF-Expert Member
Apr 10, 2013
1,620
1,407
Katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo wapinzani sera yetu ya kutekeleza miradi ni kwa ile miradi mikubwa ambayo tunalazimika kutumia makampuni ya nje ni lazima miradi hiyo iwe na not less than 40 % local companies in shares and Key staff and not more than 60 % shares and key staff (Joint Venture)

Sisi Tunaamini ni wakati wa kuwajengea Watanzania uwezo hivyo hakuna kampuni ya kigeni itaruhusiwa kufanya kazi nchini bila kuwa na local company.

Haiwezekani watanzania wafanye kazi za vibarua tu kwenye kazi kubwa tunazozifanya kutumia makampuni ya nje na wakiajiri ni wale watu wajanja wajanja wachache wa kutumia kama shield.
 
Back
Top Bottom