maendeleo

Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu aanza kukumbana na wananchi wakitaka maendeleo ya vitu

    Nimewasikia wananchi wa eneo moja huko Mufindi kama sikosei kwenye mkutano wa ndugu Tundu Lisu kuwa hawana barabara pamoja na maji na wamesema wanaomba akichaghuliwa awatengenezee hivyo vitu. Nikajiuliza kwa nini hao watu hawahitaji maendeleo ya watu wao wametaka maendeleo ya vitu? Majibu ya...
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 Ilani ya CHADEMA ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani 2020 - 2025

    Huu hapa ni Muhtasari wa Ilani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) Yaliyomo kwenye Ilani
  3. JamiiForums Tanzania UTAFITI WANGU: Kwanini wanafunzi wengi (jinsia zote) wenye maendeleo mabaya shuleni huwa ni watu wa kujituma sana katika shughuli ngumu za nyumbani?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Sio kila siku tunapaswa kuandika, kusoma na kujadili makala zinazohusiana na masuala ya kizungu kama Cold War, jeshi na ujasusi wa KGB, CIA na Mossad. Leo ngoja tujadili kidogo masuala ya kimaisha katika jamii zetu hizi tunamoishi. Ndugu zangu...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Ndugai: Mimi ndio Spika wa Bunge, nawajua Wabunge wote. Hao wapinzani hawajawahi kuwatakia maendeleo watanzania maana wao kila kitu hupinga tu

    CHAMA cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kondoa kimezindua rasmi kampeni zake za Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kondoa Mji, Makoa Ally ambapo mgeni rasmi alikua Spika wa Bunge na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Job Ndugai. Akizungumza katika uzinduzi huo, Spika Ndugai amewaomba wananchi wa Kondoa wasifanye...
  5. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ni mpambano kati ya muweka msingi wa maendeleo ya kweli kwa miaka mingi ijayo dhidi ya mkurupukaji mwenye malengo mafupi yanayotegemea uwepo wake?

    Habari ya asubuhi wanachama wa JamiiForums, Ukiwafuatilia kwa makini wagombea wawili wenye ushindani mkali Tundu Lissu dhidi ya John Magufuli kwenye uchaguzi wa Tanzania wa mwaka 2020 utagundua yafuatayo: Tundu Lissu ni mgombea mwenye maono ya mbali na mwenye malengo ya muda mrefu wakati John...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya mtu yako katika Uhuru wa kuabudu, mengine yote ni maendeleo ya vitu CCM wasitegeke na Tundu Lissu

    Kwa kifupi sana. CCM imeruhusu uhuru wa kuabudu kwamba kila mtu ana haki ya kuabudu katika imani anayoiamini. Viongozi wa dini ndio wenye jukumu la kuhakikisha " mtu" anaendelea kiroho na kimwili. Mambo mengine yanayosimamiwa na serikali kwamba tuwe na viwanda ili watu wavae na kula pamoja na...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ni nini? Ukweli kuhusu maendeleo ya vitu na maendeleo ya watu

    Waungwana, Kwanza nikiri kuwa mimi sio mtaalamu wa uchumi Ila ninafahamu kuhusu maendeleo. Suala la maendeleo linatafsirika tofauti kutokana na mitazamo tofauti. Hapa karibuni pamekuwa na kelele sana kuwa watanzania wanataka maendeleo yao (maendeleo ya watu) na siyo maendeleo.ya vitu. Uzi huu...
  8. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hii tabia ya Lissu kutumia maandiko ya Mwl. Nyerere kuhusu maendeleo ya vitu ni unafiki na upotoshaji

    Sina hakika kama unafiki na upotoshaji wa ukweli kwa wanasiasa ni kitu cha kawaida, lakini inakera zaidi wakati upotoshaji na unafiki huo unapo kithiri na kuvuka mpaka. Iko on record kwamba huko nyumba Tindu Lissu amekuwa ni mkosoaji mkubwa wa Baba wa Taifa kiasi cha kumwita dictator...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kwenu: ACT Wazalendo, CHADEMA na wote wapenda Haki, Uhuru na Maendeleo

    Mabibi na mabwana na hasa wapenda Haki, Uhuru na Maendeleo. Haki zetu, Uhuru wetu na Maendeleo yetu haviwezi kuwa sehemu ya mjadala wa kuwa tupewe au tusipewe. Hivi ndiyo vinavyotafsiri utu wetu kama binadamu. Hivi ni mali yetu na ni vya kupiganiwa na kulindwa kwa nguvu zetu zote. Ni heri ya...
  10. JamiiForums Tanzania GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Jiji la Dar es Salaam ambayo ni ngome Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo linatarajiwa kusimama kwa siku tatu kupisha uzinduzi wa kihistoria wa mgombea Urais wa Chama hicho. Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema Tundu Lissu atazindua Rasmi kampeni zake kuelekea Ikulu ya Magogoni na...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Tujadiliane kuhusu Uhuru, Haki na Mendeleo

    Watanzania yameletwa kwetu maneno matatu ambayo yanatoa tafsiri ya Tanzania ya kesho chini ya Chadema. Tujiulize maswali haya na tuyataftie majibu kabla ya siku ya kupiga kura. 1. Je, Tanzania hatupo huru? Kwanini tuamini baada ya miaka mingi ya kushangilia na kusherekea siku ya Uhuru bado sisi...
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA waendelea, Kawe kumewaka moto leo

    Rais Mtarajiwa wa Tanzania ambaye pia ni Mgombea Urais wa Chadema Mh Tundu Lissu, ambaye wachambuzi wa kisiasa wanamkadiria kujinyakulia zaidi ya 70% ya kura zote, leo tena anaingia kwenye viwanja vya Tanganyika Packers kuongea na wananchi. ===== LIVE FEED: MBOWE: HATUOGOPI TBC WALA...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mwakasaka Boaz: Takataka zinaweza kuleta Maendeleo makubwa nchini Tanzania

    Mwakasaka Boaz ni Msomi na Mtaalamu wa masuala ya Uchumi na maendeleo ya kijamii, Nishati Mbadala na Mtafiti wa kujitegemea Anajua kwamba katika dunia hii sababu kubwa na kikwazo kikubwa cha maendeleo ya kiuchumi na kijamii ni kushindwa kufikiri kwa ufasaha (Accurate Thinking). Leo Tuangazie...
  14. JamiiForums Tanzania Majimbo ya Ubunge yaliyosimamisha wagombea wa CCM bila wagombea wa Upinzani

    Wadau mpaka sasa nasikia CCM baadhi ya majimbo imesimamisha wagombea pekee baada ya wagombea wa vyama vingine kutokidhi baadhi ya vigezo. Yaani kabla ya hata ya kitufe kubonyezwa majimbo yafuatayo wapinzani wamenyanyua mikono na CCM wanayachukua. Karibuni tuweke kumbukumbu za clean sheets...
  15. JamiiForums Tanzania Maendeleo ya vitu yaliyojengwa kwenye madeni

    Ukiangalia hoja za wanaccm kuhusu mgombea wao,ukiangalia kile kinachoitwa maendeleo yaliyoletwa na Magu,ukiangalia quality ya Magu vs Lissu au Magu Vs Lowassa 2015 au Slaa vs JK 2010 na matokeo ya uchaguzi yalivyokuwa unapata majibu kabisa kwamba why Tanzania na watanzania ni masikini sana...
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 Mbezi beach Vs Mtoni Kijichi | Chagua CCM upate maendeleo chagua upinzani uendelee kusota

    Hii kila mtu kichwani mwake kila mmoja na maamuzi yake kwenye box MBEZI BEACH Ila ni kwamba Mbezi beach,Tegeta maeneo ya Kawe yalionekana ya hadhi sana ukiangalia mpangilio na geografia ya maeneo hayo yamepangwa vizuri na hata ujenzi wa nyumba zake kidogo ni za hadhi ya juu. Katika pita pita...
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 Je, CCM ndiye Adui wa Haki na Maendeleo katika Nchi yetu? Nini tulichojifunza kupitia mchakato wa Ugombea 2020?

    Mchakato wa Ugombea CCM ulianzia ngazi za kata na Majimbo na kuishia NEC tofauti na ilivyozoeleka. Kwa mujibu wao sababu kubwa za kupeleka NEC majina yote ya Wagombea ni pamoja na. >Rushwa (asiwe mshindi kwa kutoa Rushwa) >Kukubalika (anayekubalika na wapiga kura) >Na zinginezo Naomba nijikite...
  18. JamiiForums Tanzania Maendeleo huja kwa kodi au deni atalolipa mtanzania. Je ni sawa CCM kujinadi inaleta mendeleo?

    Hakina maendeleo yanayofanyika bila juhudi ya mwananchi. Wananchi tunachangia katika bajeti ya nchi ili kuletaaendeleo ila cha ajabu vyama vya siasa vimekuwa vikijinadi na kuvuka mipaka utafkiri hela zimetoka mifukoni mwao. Mfanyabiashara atafanya biashara yake kwa kigezo alipe kodi ya leseni...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na dhana ya "Maendeleo Hayana Vyama": Tafiti zinatueleza nini?

    Tangia aingie madarakani November 2015, Rais John Magufuli amekuwa akinukuliwa mara kwa mara akitamka kwamba “Maendeleo hayana Vyama”. Kauli hii imeendelea kuleta mjadala mkubwa katika siasa za nchi. Lengo letu leo ni kudadisi kwa undani kupata ukweli juu ya suala hili. Ili kufikia lengo letu...
  20. JamiiForums Tanzania GE2020 Masimango ya kudharau miundombinu yetu, maendeleo yetu, hospitali yetu adhabu yake ni kukunyima kura upate 0%

    Unapodharau mradi wa REA umedharau hadhi yetu, utu wetu, ubinadamu wetu unataka wanaonufaika na umeme huo waone kawaida wewe Tundu Lisu tutakuadhibu tar 28/10/2020 kwenye sanduku la kura "Tuachie shujaa wetu Magufuli atusambazie umeme vijiji vyote Tanzania" Unapodharau miundombinu ya Bwawa la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…