maendeleo

Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tukiwaendekeza Kibajaji na Msukuma hakika maendeleo tutayasikia kwa wenzetu

    Nimesikia vizuri mchango wa Prof. Muhongo bungeni na kutafakari kwa makini. Nilichosikia ni takwimu na maelezo yaliyoshiba ukweli na uhalisia wa hali ya sasa ya dunia. Amechambua namna gani rasilimali tulizonazo zinaweza kuinua uchumi wetu kama tutazitumia vizuri na kwa wakati. Muhongo ametoa...
  2. JamiiForums Tanzania Aibu yetu: Karne ya 21 bado unaamini maendeleo ni imani pasipo kufanya kazi kwa bidii na maarifa na kuwa na nidhamu ya pesa na muda

    Karne ya 21 bado unaamini maendeleo ni imani pasipo kufanya kazi kwa bidii na maarifa na kuwa na nidhamu ya pesa na muda. Aibu yako! Matokeo ya kutafasiri maendeleo kama imani utaishia kuchinja albino, kuchanjwa chale makalioni, kulala makaburini, kuvaa hirizi kiunoni, kujisaidia haja kubwa...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Umewahi kushirikishwa kuchagua miradi ya maendeleo katika eneo lako?

    Kanuni ya 168 (1)(a) ya Kanuni za Manunuzi wa Umma za Mwaka 2013 inataka ushiriki wa jamii katika kubuni miradi kwa nia ya uendelevu au kufikia malengo husika ya kijamii ya miradi. Ripoti ya CAG imeeleza, hakukuwa na ushahidi wowote unaoonesha ushiriki wa jamii husika katika uchaguaji wa mitadi...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan, Maendeleo ya nchi hayaletwi na Wachuuzi bali huletwa na watu ambao ni Creative

    Nchi yenye watu ambao wana vichwa vyenye uwezo wa ku-observe their nature, kufikiri na kubuni njia mbalimbali za kutatua matatizo yao yanayo wakabili practically, ndiyo nchi yenye maendeleo makubwa na mara nyingi inakuwa nchi ambayo wananchi wake wanajiamini na hawaogopi kukabialiana na tatizo...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Riba za bank za Tanzania ni kikwazo cha maendeleo

    Sababu mojawapo ya Tanzania kuwa na ajira ndogo ni riba kubwa za mikopo ya bank zetu. Imefika wakati hata Kimei ambaye alikuwa mkurugenzi wa CRDB kasema bungeni. Riba ikiwa kubwa biashara ndogo ndogo hazitaweza kukopa hivyo haziwezi kuwekeza kwenye ukuaji wa biashara. Hii inasababisha ajira...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Maendeleo yoyote hayaji bila kufanya kazi kwa bidii na kwa nguvu

    Maendeleo yoyote yawe binafsi au ya nchi hayaji bila kufanya kazi kwa bidii na kwa nguvu. Heshima katika kazi ndio msingi wa kufanya kazi kwa bidii na kwa nguvu. Watu wakifanya kazi kwa nguvu na kwa bidii wanazalisha mali. Wakizalisha mali, uzalishaji wa taifa unaongezeka, ukiongezeka...
  7. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia yenye tabasamu kwa watanzania iliyo beba kiza cha maendeleo ya nnchi

    Nampongeza mama kwa hotuba nzuri yenye kuleta tabasamu kwa maisha ya watanzania kwani hotuba yake imejaa maneno ya faraja kwenye maisha ya watanzania hasa sisi wa kipato cha chini mama kagusa sehemu muhimu na nyeti kaona kua sisi wananchi wachini hatuna hela mama kaaidi kuweka mazingira mazuri...
  8. JamiiForums Tanzania Watanzania tuviunge mkono vyama vikubwa viwili vya kisiasa kwa maendeleo ya nchi yetu

    Hotuba ya mama imenikosha sana. Nina imani watu wengi imewafurahisha na wanamwombea asibadirike bali azidi kuboresha zaidi. Kila mtanzania mpenda maendeleo na uhuru wa kweli anataka kiongozi msikivu na anayejali sauti za watu. Tanzania ni yetu sote na wote tunastahili kufaidi mema ya nchi yetu...
  9. JamiiForums Tanzania Hii maana yake nini? Mwaka jana na juzi mtaani kwetu maendeleo yako kasi sana...

    Katikati na mwishoni mwa awamu ya JPM 1: Ninashangaa kuona mtaani watu wanajenga nyumba hadi wanahamia bila kupumzika. 2: Jamaa wamefungua mahardware,maduka ya madawa, salooni kali, Bucha, Bar, carwash na nyumba za kulala wageni. 3: Vituo vya bodaboda viwili vikubwa ambavyo miaka mitatu...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa juu wa CCM unaenda kubadilika tutegemee maendeleo zaidi na zaidi!

    CCM inakwenda kupata mwenyekiti mpya wa taifa kufuatia mama Samia Suluhu Hassan kuwa Rais wa JMT. Katibu mkuu atakuwa mpya Katibu wa Itikadi na Uenezi atakuwa mpya. Yawezekana hata makamu wa mwenyekiti bara na visiwani wakawa wapya Mambo ni fire. Maendeleo hayana vyama
  11. JamiiForums Tanzania Vetting ya Wakuu wa Mikoa na Wilaya itokane na maeneo wanapotoka kuharakisha maendeleo, wageni wanafubaza uchumi

    WanaJF, Niliposoma katiba ya Kaji waliomba ilichagiza Zaidi wateule wa Rais watokane Na mikoa yao. Hii inaleta maana kwamba Ni rahisi wananchi wa sehemu hiyo kupata mwakilishi mzuri Na Kwa kuwa anakuwa anafahamu vizuri maeneo Ni rahisi kuondoa migogoro ya kwao kuliko kuleta Mgeni asiyefahamu...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Tazama vile ubunifu wa maendeleo Tanzania unavyokwamishwa na Polisi na TRA kwa kuendekeza Ukoloni

    Maendeleo yoyote husukumwa na ubunifu! (Creativity) Ili mwanasayansi agundue lazima asukumwe kufanya ubunifu! Ili mfanya biashara atambulishe fursa lazime atangulize ubunifu! Ubunifu ni Imani ya kutarajia suruhisho! Endapo watu wakiongozwa kwa vitisho na sheria mbovu Imani hiyo ya ubunifu...
  13. JamiiForums Tanzania Bila CCM kutoka madarakani hatuwezi piga hatua ya maendeleo ya kuonekana

    Habari wakuu. Mimi nimetafakari sana kuhusu jinsi mambo yanavyokwenda hapa kwetu. Yaani unaweza kupata hasira hawa jamaa hatua waliyofikia ni mbaya sana. Kwanza wamejua hawapendwi na uchaguzi bila kutumia nguvu ya dola hawashindi. Pili wanawaza mambo ya kuwakomoa watu kuwalit uhuru awamu hii...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Haki ya kupata taarifa za miradi ya maendeleo

    Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatoa haki kwa kila Raia kupata taarifa muhimu Kupata taarifa kuhusu mambo na mipango ya maendelo inayofanyika kwenye Halmashauri yake ni haki ya kila mmoja Kila Halmashauri inapaswa kuweka kwenye mbao za matangazo taarifa kuhusu fursa za uwekezaji au...
  15. JamiiForums Tanzania Uhusiano kati ya kodi na shughuli za Maendeleo

    Kuna uhusiano mkubwa kati ya kodi na shughuli za maendeleo zinazofanywa na Serikali. "Tunapotaka Serikali ifanye shughuli zaidi za maendeleo kwa fedha tunataka Serikali itumie fedha zaidi. Na kama Serikali haina fedha zaidi tunataka izipate, yaani iongeze kodi (Nyerere, 1968, uk. 20) " Ukitaka...
  16. JamiiForums Tanzania Wapinzani tambueni kuwa tunayahitaji maendeleo zaidi kuliko siasa

    WAPINZANI TAMBUENI KUWA TUNAYAHITAJI MAENDELEO ZAIDI KULIKO SIASA Kwa mjibu wa kamusi ya Oxford, "Siasa ni shughuli zenye lengo la kustawisha ama kuongeza hadhi ya mtu fulani au kuongeza mamlaka ndani ya jumuiya ama shirika fulani". Kwa mantinki hiyo unaweza kuona kuwa siasa ipo kwa ajili ya...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Uongozi jumuishi huleta maendeleo jumuishi

    Uongozi jumuishi ni moja ya misingi ya utawala bora ikiwa na maana kuwa, kuhusisha watu wa aina zote kwenye jamii kama wazee, vijana, wanawake, wanaume na walemavu kwenye kufaidika na mambo yatokanayo na serikali au uongozi wao. Pia kuhusishwa kwenye kufanya maamuzi juu ya mambo yahusuyo jamii...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Mastai: Maendeleo ya taifa letu yameletwa na Dkt. Magufuli kama " individual" siyo chama, CCM ilikuwepo miaka yote!

    Mchungaji Matsai wa Kanisa la KKKT Kimara amewakemea wote wenye nia ovu dhidi ya Rais Magufuli na amesema Rais hatapatwa na baya lolote na wale waovu wote watasubiri sana. Mchungaji Matsai amesema vyombo vya habari vya Kenya vimekuwa mstari wa mbele kutoa taarifa potofu wakiwatumia vibaraka wao...
  19. JamiiForums Tanzania Ni dhahiri maendeleo ya vitu hayaleti maendeleo ya watu. Fanyeni tathimini upya

    Wana Jf, ni wazi kuwa serikali inapofanya maendeleo ya vitu hasa kujenga miundo mbinu, viwanda, na kuboresha sekta zote za kiuchumi lazima zilete matokeo chanya kwenye maisha ya watu. Lakini serikali ikijigamba kuwekeza kwenye maendeleo ya vitu ambavyo havileti matokeo chanya kwa maisha ya...
  20. JamiiForums Tanzania Tangu tumepata uhuru tumekuwa tunafeli kupanga vipaumbele vya maendeleo

    Hili ni tatizo kubwa sana ambalo limeligharimu taifa letu ndio maana mpaka sasa tuna umaskini mkubwa sana. Maana nchi yetu haina wachumi wazuri wanaoweza kushauri vipaumbele vinavyoweza kubadili maisha ya Watanzania. Mfano awamu ya kwanza ya Mwl Julius Kambarage Nyerere ilijikita zaidi kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…