maendeleo

Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania SoC01 Ukombozi wa Kifikra miongoni mwa Watanzania kwa Maendeleo ya Taifa

    Andiko hili linaelezea suala la ukombozi wa kifikra kwa Watanzania na Waafrika kwa ujumla kama nyenzo ya kujikomboa kiuchumi, kisiasa, kijamii na kiutamaduni. Jamii ya watu wasiojiamini, wenye akili iliyofungwa, wenye kuwategemea watu wengine wawaletee maendeleo, wasioweza kufikria hatima yao...
  2. JamiiForums Tanzania Ukimsikiliza huyu mtu kuanzia mwanzo hadi mwisho halafu usiweze kuwa na maendeleo makubwa ya kwako binafsi basi wewe una tatizo kubwa mno

    msikilize huyu mtu ana hoja nzito zinazoweza kufanya upige hatua kubwa sana kwenye maisha yako msikilize mwanzo hadi mwisho mswahili mwenzetu huyu ana hoja nzito mno
  3. JamiiForums Tanzania Maendeleo: Mkoa wa Dodoma wapokea gawio la Tsh mil 500 lililotokana na Tozo, kujenga vituo vya afya

    Hii ni taarifa aliyoitoa Mkuu wa Mkoa huo, Antony Mtaka alipokuwa anawasilisha taarifa ndani ya vikao vya CCM vilivyofanyika mkoani humo.
  4. L

    JamiiForums Tanzania SoC01 Dawa za Kulevya zinavyorudisha nyuma maendeleo ya Taifa

    Rashid Abdallah Makwiro mmoja kati ya wasanii bora zaidi wa Hip Hop nchini. Watu wengi hawawezi kulijua jina hili, huyu anafahamika kwa jina maarufu sana la Chid Benz. Unamkumbuka Chid Benz katika ubora wake akiwa karibu na kipaza sauti? Alitisha sana, ukibisha unachotakiwa kufanya ni kutafuta...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini hatutambui umuhimu wa China kwa mataifa yanayoendelea?

    Uungaji mkono wa China kwenye majukwaa ya kimataifa sio jambo la bahati mbaya Katika muda wa miaka 20 iliyopita China imejitokeza kuwa msaada mkubwa kwa nchi nyingi duniani, hasa nchi za dunia ya tatu ambazo kwa muda mrefu zimekuwa wahanga wa unyonyaji, kupuuzwa na ukandamizaji. Lakini...
  6. JamiiForums Tanzania Ombi: Serikali irudishe kodi ya kichwa

    Kila mmoja kwa nafasi yake inabidi awajibike kuichangia hii nchi tupate maendeleo Najua tayari kuna kodi nyingine ila hizi zilizopo sidhani kama zinatosha kuleta maendeleo kama wananchi tunavyotarajia sababu sio wote wanatoa. Nadhani ukiletwa utaratibu mzuri wa hii kodi Serikali yetu itapata...
  7. JamiiForums Tanzania Tozo mpya za NMB kwa watumiaji wa Tanzanite Debit MasterCard kuanzia tarehe 28 Agosti, 2021

    Nimeona mahali tangazo lao kuhusiana na jambo hili , hebu lisome mwenyewe
  8. JamiiForums Tanzania Maneno haya ya Winston Churchill kuhusu kodi na maendeleo yana ukweli wowote?

    Tafsiri isiyo rasmi Kwa kiswahili anasema, "Nchi inayojaribu kuendelea kwa kutoza watu wake kodi ni sawa na mtu aliye ndani ya ndoo kisha akajaribu kujinyanyua." Yana ukweli wowote haya maneno? Kama yana ukweli, ni njia gani mbadala wa kodi nchi itumie?
  9. JamiiForums Tanzania China, Marekani na Ulaya walitozana sana kufikia hapo. Maendeleo ni gharama, serikali isigeuke nyuma!

    Watanzania waelewe, serikali haina vyanzo vingine vya mapato zaidi ya kodi ya Watanzania. Watanzania tunataka maendeleo,barabara nzuri,reli,umeme, shule,hospitali, miji iliyopangika,maji, serikali yenye ufanisi,ulinzi na usalama,lakini ili upate vitu hivyo lazima ugharamikie kwa tozo na kodi...
  10. JamiiForums Tanzania Kulipa kodi ni maendeleo

    Ndugu wanabodi, Nimefwatilia Kwa kina mijadala hii ya Tozo na Kodi ya majengo Niseme machache! Tulipe kodi kwasababu Kodi ndio msingi wa maendeleo yetu,bila Kodi nchi Itakua ngumu sana hii,hizi Kodi ndio tunaona mabarabara, vituo vya Afya, watumishi kupandishwa madalaja, madarasa, Elimu Bora...
  11. JamiiForums Tanzania Kitu gani kinazorotesha kasi ya maendeleo yako?

    Habari za asubuhi watu wa Mungu nyie siyo watu wangu :cool: :cool: Leo nimewaza sana kwamba kuna vitu fulani au tabia fulan tunazo maishani zinatufanya tutumie hela rafu na kujikuta mwaka unaisha maisha yako yapo kama ya mwaka uliopita. Kuna baadhi ya mambo yanapelekea tunatumia fedha kidogo...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Mchango wa Chama cha Kikomunisti cha China kwa maendeleo, amani na utulivu wa dunia

    Na Ronald Mutie Chama cha Kikomunisti Cha China sio tu kimesaidia nchini hiyo kufikia muujiza wa maendeleo ya kiuchumi lakini pia China imekuwa mchangiaji mkubwa kwa maendeleo ya ulimwengu, amani na utulivu. Mkuu wa Tume ya Uhusiano wa nje wa Chama cha Kikomunisti cha Kamati Kuu ya Vietnam...
  13. JamiiForums Tanzania Ili kuharakisha maendeleo kwanini wilaya zisipewe mamlaka zikiwa na wakuu wa wilaya wa kuchaguliwa?

    Sun Tzu aliwahi kusema, "Kuongoza jeshi kubwa hakuna tofauti na kuongoza jeshi dogo, unachotakiwa ni kuligawa jeshi lako." Kwa kawaida kitu ambacho kipo centralized sana huwa ni kazi sana kukisimamia kwa ufanisi. Urasimu na ukwamishaji huwa mwingi sana. Na hata mifano inaonyesha kuwa ni kazi...
  14. JamiiForums Tanzania Mzee Haji Mpili awa balozi wa kuzuia na Kupambana na Rushwa

    Hapo ndio uwezo wao wa ubunifu ulipoishia Mkuu wa wiliaya ya Rufiji kushoto pamoja na Mkurugezi wa halmashuri ya wilaya ya Rufiji (Kulia) wakimtambulisha balozi wakuzuia na kupambana na Rushwa mzee Haji Mpili jana wilayani humo
  15. JamiiForums Tanzania Ridhiwan Kikwete aendelea kukagua miradi ya maendeleo Chalinze

    RIDHIWAN KIKWETE AENDELEA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO CHALINZE. Chalinze, Pwani. Mbunge wa Chalinze ndugu Ridhiwanii Kikwete ameendelea na ziara yake ya Kijiji Kwa Kijiji katika jimbo la Chalinze Kwa lengo la kuhamasisha wananchi kushiriki kwenye shughuli za maendeleo pamoja na kukagua miradi...
  16. H

    JamiiForums Tanzania SoC01 Nini kifanyike kuchochea maendeleo?

    Maendeleo ni chachu ya kila mtanzania hapa nchini ikiwemo maendeleo kwenye nyanja mbalimbali za kiuchumi, biashara, utawala Bora, uwajibikaji, afya, haki za binaadamu, demokrasia na kadhalika. UCHUMI NA BIASHARA TANZANIA. Ni wazi kua uchumi wetu Tanzania ni uchumi wa kati kwa mujibu wa takwimu...
  17. JamiiForums Tanzania Ni Mikoa au Wilaya gani za Tanzania ambazo zinatia huruma kwa kuwa nyuma kimaeendeleo?

    Je, hali (kimaeendeleo) ikoje katika mkoa/ wilaya uliyopo au uliyowahi kupita katika harakati za kimaisha? Kuna baadhi ya wilaya na Mikoa, inatia huruma, mvua ikinyesha mnalala barabaran kwenye gari, wakati wa kiangazi suala la mafua na kikohozi baada ya safari Ni kawaida. Aina ya magari ya...
  18. JamiiForums Tanzania Daniel Chongolo akemea watendaji wa Serikali wanaochelewesha kuidhinisha fedha za miradi ya maendeleo nchini

    DANIEL CHONGOLO, KATIBU MKUU WA CCM CHONGOLO AKEMEA WATENDAJI WA SERIKALI WANAOCHELEWESHA KUIDHINISHA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO NCHINI Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Godfrey Chongolo, akiambatana na Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kukagua miradi na...
  19. JamiiForums Tanzania SoC01 Akili ya binadamu ndio muhimili mkubwa wa maendeleo yote

    Dunia ya leo imesheheni mataifa mengi na jamii nyingi kutoka kila pande ambazo kila moja ya jamii hizo iko na desturi na utamaduni wake wa pekee. Tamaduni na desturi hizo zinaweza kuwa chanzo cha kuongezeka au kudorora kwa maendeleo katika jamii husika, mfano mzuri ni uzingatiaji wa afya ya...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Ustaarabu, Makazi, Maendeleo na Maisha ya watanzania na watawala (machifu na watemi)

    England United Kingdom Dresdane German Habari wanajamvi natumai mu wazima wa afya. Binafsi napenda utalii hasa utalii wa kihistoria kujua watu wa zamani na jamii zao waliishi vipi makazi, siasa, shughuli za kiuchumi nk. Tukija sehemu yangu pendwa ya makazi navutiwa sana na architects...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…