Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.
ELIMU NA MAENDELEO
Maendeleo ya nchi huitaji uwepo wa watu wenye uwezo wa kuleta mabadiliko katika jamii. Rasilimali watu inahusisha uwepo wa watu wenye ELIMU bora, afya bora na mitazamo chanya katika jamii husika.
Serikali ya nchi inajukumu Sana katika kuwajenga watu wake katika nchi katika...
Habari ndugu msomaji wa andiko langu la leo ijumaa 17 september 2021 litaangazia maendeleo yetu katika jamii na taifa kwa ujumla naomba ungana na Mimi tushere wote hizi pointi
MAENDELEO NI NINI
maendeleo ni hali ya mabadiliko chanya kutoka sehemu moja kwenda sehemu bora zaidi
mwalimu Nyerere...
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Dkt. Yamungu Kayandabila kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC)
Dkt. Naomi Katunzi ameteuliwa kuendelea kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW) kwa miaka mingine...
Daima wazo la mtu ndiyo kitu pekee anachoweza kutumia kubadilisha mfumo mzima wa maisha yake, ninaandika andiko hili nikiwaangalia vijana kama Maxence Melo aliyeanzisha JamiiForums na Milladi Ayo mwanzilishi wa Ayo Tv, hawa ni baadhi ya watu walioamua kutengeneza ajira za wengine badala ya wao...
Teknologia ni moja ya mandeleo makubwa yalioweza kuinua mataifa mengi kiuchumi kwa kuanzisha miradi mbali mbali inayoweza kuimarisha hali ya nchi kwa mfano teknologia imetumika kuvumbua kama ndege na meli ambazo zimesaidia sana kuinua uchumi wa nchi moja hadi nyengine, watu husafirisha bidhaa...
DUNIA NI YA NANI?
Dunia ni yenu (vijana), pia ni yetu (wazee), lakini katika uchambuzi wa mwisho, ni yenu. Nyinyi vijana, mkiwa mmejaa hamasa na nguvu, maisha yenu ndio kwanza yanachanua, ni kama jua la saa mbili au tatu ya ahsubuhi. Matumainio yetu (Wazee) yapo juu yenu. Dunia ni yenu...
Nimeenda mradi wa maji mmoja tunaoutekeleza hapa nchini kwetu kwa kutumia mkopo wa mabilioni kutoka "EUROPEAN INVESTMENT BANK" pamoja na AFD.
Mabilioni haya tuliyakopa tunatekeleza mradi huo kwa kutumia kampuni ya kichina.
Kampuni imeajiri wahandisi watanzania wanne na anayelipwa fedha nyingi...
Habari wanaJF na wasomaji wote wa andiko hili.
Hongereni na pilikapilika za ujenzi wa taifa.
Utangulizi.
Kumekuwa na misemo mingi sana ambayo imekuwa ikielezea maana na umuhimu wa elimu kwa mtu mmoja mmoja, familia, jamii na taifa kwa ujumla. Misemo kama: elimu ni ufunguo wa maisha, elimu ni...
Afya ya akili ndio msingi wa maendeleo kwa kijana yeyote mwenye chachu yakuweza kufanikiwa au kufikia malengo fulani ambayo amejiwekea. Katika kipindi cha ujana vipo vingi ambavyo kama vijana tumekua tukivifanya wenda tukifahamu madhara ya tukifanyacho au pengine hatukuwa na ufahamu juu ya...
Huu ni mwaka wa nane tangu China itoe pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja”. Katika kipindi hicho, ujenzi wa miradi ya ushirikiano kati ya China na nchi za Afrika kutokana na pendekezo hilo umepamba moto, na kusaidia nchi za Afrika kuboresha miundombinu ili kupata maendeleo ya uchumi.
Hali...
1: UTANGULIZI.
Tanzania katika miaka ya hivi karibuni imepata maendeleo mazuri katika nyanja za kisiasa kiuchumi na katika ustawi wa jamii. Ingawa bado nchi inakumbana na changamoto kubwa za kimaendeleo, kama vile rushwa ongezeko kubwa la watu magonjwa na kukosa usawa wa mgawanyo wa mapato...
Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mhe. Ridhiwani Jakaya Kikwete aishukuru Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais wa JMT Mhe. Samia Suluhu Hassan.
Kazi Nzuri inayofanywa na Serikali yetu ya Awamu ya Sita Chini ya Uongozi wa Mhe. Samia Suluhu Hassan ndani ya Kipindi hiki cha Miezi Sita katika...
MAENDELEO NA KAGERA
Dhana ya maendeleo watu wengi huitafakari tofauti kabisa.
Wataalamu wengi husema maendeleo ni ile hali ya kutoka kwenye hali duni kwenda kwenye hali bora( hali yenye unafuu kuliko ya awali)
Watu wengine hudhani maendeleo ni mfano kupatikana kwa umeme, barabara safi tena za...
Kaimu Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) upande wa taaluma Prof. Samweli Kabote akifunga maadhimisho na maonesho ya wiki ya tiba asili ya mwafrika Kanda ya Mashariki yaliyofanyika kwenye viwanja vya Soko Kuu la Chifu Kingalu Manispaa ya Morogoro.
Mkurugenzi wa...
Kiuhalisia kabisa jamii nyingi za kitanzania kuanzia wananchi wa kawaida mpaka viongozi wa maeneo husika wakiserikali na hata wale wasio wa kiserikali imekuwa ni kawaida sana kutumia muda mwingi na nguvu kubwa sana kupambana na changamoto zilizozoeleka ambazo ndio zinaonekana kwamba ndio viini...
Andiko hili linaelezea suala la ukombozi wa kifikra kwa Watanzania na Waafrika kwa ujumla kama nyenzo ya kujikomboa kiuchumi, kisiasa, kijamii na kiutamaduni.
Jamii ya watu wasiojiamini, wenye akili iliyofungwa, wenye kuwategemea watu wengine wawaletee maendeleo, wasioweza kufikria hatima yao...
msikilize huyu mtu ana hoja nzito zinazoweza kufanya upige hatua kubwa sana kwenye maisha yako msikilize mwanzo hadi mwisho mswahili mwenzetu huyu ana hoja nzito mno
Rashid Abdallah Makwiro mmoja kati ya wasanii bora zaidi wa Hip Hop nchini. Watu wengi hawawezi kulijua jina hili, huyu anafahamika kwa jina maarufu sana la Chid Benz.
Unamkumbuka Chid Benz katika ubora wake akiwa karibu na kipaza sauti? Alitisha sana, ukibisha unachotakiwa kufanya ni kutafuta...
Uungaji mkono wa China kwenye majukwaa ya kimataifa sio jambo la bahati mbaya
Katika muda wa miaka 20 iliyopita China imejitokeza kuwa msaada mkubwa kwa nchi nyingi duniani, hasa nchi za dunia ya tatu ambazo kwa muda mrefu zimekuwa wahanga wa unyonyaji, kupuuzwa na ukandamizaji.
Lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.