maendeleo

Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Afrika unaweza kuendelea kuitegemea China kujipatia maendeleo na ustawi

    Ni miaka 20 sasa imetimia tangu Umoja wa Afrika uanzishwe, lengo kuu likiwa ni kuhimiza mafungamano ya kisiasa, kiuchumi, kiusalama, kiutamaduni na hata kwenye mambo mbalimbali ya kijamii. Katika kipindi hicho, kuna mambo mengi yamepata mafanikio makubwa. Kwa mujibu wa takwimu za Benki ya...
  2. JamiiForums Tanzania SoC02 Umuhimu wa kuwa na Dira ya Taifa ya Maendeleo na kuzingatia utawala bora

    UMUHIMU WA KUWA NA DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO NA KUZINGATIA UTAWALA BORA Dira ya taifa ya maendeleo ni kielelezo ambacho jamii au taifa linaongozwa kufanikisha matakwa au matumaini ya kuwa na maisha bora zaidi katika muda uliokusudiwa na matakwa hayo sharti yaeleweke na kukubaliwa na jamii au...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Hatuwezi kutegemea tozo na kodi za nchi wanazotusaidia kwa maendeleo yetu

    Tanzania kama nchi haiwezi kuweka mipango kwa kutegemea kodi, tozo za nchi nyingine kama msaada wakati sisi wenyewe hatujiendelezi na nchi haina uzalishaji. Serikali inajaribu kuwekeza kwenye kilimo lakini watu hawataki kulipa kodi wala tozo sasa ni mpaka lini tutategemea pesa za misaada wakati...
  4. JamiiForums Tanzania Siku ya kwanza kusoma hii paragraph ikifananisha utozaji kodi na ujambazi nilicheka sana. Leo naona ukweli

    The government does not, indeed, waylay a man in a lonely place, spring upon him from the roadside, and holding a pistol to his head, proceed to rifle his pockets. But the robbery is none the less a robbery on that account; and it is far more dastardly and shameful. The highwayman takes solely...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Milioni 13 ya pesa za tozo yatumika kujenga mradi mkubwa wa maendeleo

  6. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kilimo kwa maendeleo ya jamii

    KILIMO KWA MAENDELEO YA JAMII Kilimo ni uzalishaji wa mazao kwenye mashamba, kilimo kinajumuisha mifumo ya uzalishaji mimea, ufugaji wa wanyama, ndege, nyuki, na uvuvi wa samaki. Kilimo ni uti wa mgongo kwa uchumi wa nchi zote zinazoendelea. Asilimia 95% ya vyakula, na mavazi tunavyotumia...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Fahamu Tozo za Miamala ya Simu Ilivyochangia Maendeleo Katika Taifa

    1. Ukusanyaji wa tozo Tsh. bilioni 221 kwa mwaka 2021/2022 zilikwenda kusaidia kwenye mikopo ya elimu ya juu. 2. Kutekeleza miradi mikubwa ya kimkakati kama vile JNHPP na SGR kwa mara moja. 3. Kupitia tozo za miamala ya simu serikali imeweza kujenga vituo vya afya 234 kwa bilioni 117 na kila...
  8. JamiiForums Tanzania SoC02 Kama ni kweli tunataka kushirikiana na Wananchi wanyonge kujiletea maendeleo basi yafanyike haya!

    Kwanza nisema huwezi kuunganisha nguvu ya Tajiri na Mtu mnyonge maskini zikawa kitu kimoja, Simba yenyewe pamoja na kwamba Ina Mashabiki wengi na wanachama Bado inajiita Nguvu Moja!! (Hapa nimetania tu😆). Jana wakati mheshimiwa waziri wa Fedha anatetea Tozo alisema mambo mengi sana lakini Mimi...
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania inabidi ijifunze namna ya kuendesha nchi na kuleta maendeleo kwa muda mfupi kutoka China

    Serikali inayoongoza taifa hili la TANZANIA na WATANZANIA wote inabidi tujifunze mambo mbalimbali ya faida kutoka China :- i, Ni kwa namna gani serikali inaweza kuiongoza nchi kiufasaha. ii, Ni kwa namna wananchi wanapaswa kushirikishwa katika kuleta maendeleo ya taifa lao...
  10. T

    JamiiForums Tanzania SoC02 Uhusiano kati ya usafi wa mazingira na maendeleo

    Mazingira ni vitu vyote vinavyotuzunguka mfano miti,mito,miamba,hewa safi. Utunzaji wa mazingira ni kitendo kinachohusisha uhifadhi wa mazingira asilia,kuyalinda yasiharibike kutokana na shughuli za kibinadamu mfano utupaji hovyo wa Taka. Usafi wa mazingira Inauhusiano mkubwa sana katika...
  11. N

    JamiiForums Tanzania SoC02 Uchawi na Ushirikiana unavyoathiri maendeleo ya taifa

    Kwa majina naitwa ramadhani selemani ramadhani ni kijana wa kitanzania. Leo nimependa kuzungumzia maswala ya imani ya kishirikina na uchawi zinavyo athiri maendeleo ya nchi kwa ujumla. Katika mchi kuna makabila mbalimbali zaidi ya 150 kila kabila lina utamaduni wake na imani zake. Katika...
  12. P

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tanzania tukiamua, elimu inaweza kuwa silaha dhidi ya maadui watatu wa maendeleo

    Moja kati ya hotuba maarufu sana ya aliyewahi kua muasisi wa taifa letu, Hayati Mwalimu Julius K. Nyerere ni ile ya mwaka 1995, ambapo kiongozi huyo aliongea kuhusu swala zima la maadui watatu wa maendeleo, ambao ni umasikini, ujinga na maradhi. Katika karne hii ya 21, adui ujinga amekua...
  13. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Maendeleo ya leo

    Jamii ya sasa imekuja na nadharia ya maendeleo ya Leo ambayo kwa kiasi Fulani imeshika hatamu katika kuifanya jamii iache kufata utamaduni wao . Nadharia hiii ndiyo iliowavisha dada zetu vimini na suruali mbano hadharani wakiamini ndio maendeleo ya Leo. Nadharia hiii ndio iliwafanya vijana...
  14. E

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kila maendeleo ya mtu basi kuna mtu nyuma yake kasaidia

    Mwandishi Efrahim Mabena mawasilino:0745323576 mahali: Makambako_Njombe Kundi la watalii walikuwa wakitembelea bwawa la ziwa na walikuwa kwenye jengo linaloelea katikati ya ziwa la mamba. Mmiliki wa bwawa hilo alipiga kelele: "Yeyote anayeruka ndani ya maji na kuogelea hadi kutoka, atapata...
  15. JamiiForums Tanzania SoC02 Uwajibikaji na Maendeleo

    UWAJIBIKAJI NA MAENDELEO Palikuwa na kazi ya muhimu kufanyika na kilamtu aliamini kwamba mtu fulani angeliweza kuifanya. Mtu yoyote angeliweza kuifanya, lakini hapakuwa na mtu aliyeifanya. Mtu mmoja akapata kufadhaika kwa kazi kutokufanyika, kwasababu ilikuwa ni kazi ya kilamtu. Kilamtu...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia Ingilia kati. Kodi zinazolipwa na wananchi zimezidi na haziendani na Miradi ya Maendeleo inayofanywa na Serikali

    Wanabodi, Tumeshuhudia nguvu iliyotumiwa na serikali katika kuhakikisha kwamba kuna tozo kwenye miamala ya kielektroniki inayofanywa na wananchi. Hii inaweza ikawa njia ya serikali kutanua wigo wa kodi ya kuwa wezesha kufanya shughuli zingine za ziada ambazo zinaweza zikawa na manufaa kwa...
  17. JamiiForums Tanzania SoC02 Chuki, ubinafsi na unafiki, ndio vinachelewesha maendeleo ya nchi yetu

    Utangulizi:nchi yetu ina utajiri mkubwa wa rasilimali lakini ina umaskini wa maendeleo, watu wengi wanajiuliza swali kwa nini? Sababu zipo nyingi ila tatizo kubwa ni fikra na mitazamo ya kimaskini iliyopo kwa wananchi walio wengi inayosababisha vitu hivi (chuki,ubinafsi na unafiki) ambavyo...
  18. N

    JamiiForums Tanzania SoC02 Utafiti na Maendeleo Tanzania

    Utafiti na Maendeleo Tanzania Andiko hili limejikita katika kuangazia sekta ya utafiti nchini hasa kwa kuonesha changamoto zinazoikabili sekta hiyo na kutoa mapendekezo kwa ajili ya kuchukua hatua dhidi ya changamoto hizo. Utafiti ni moja ya kichocheo kilichochangia maendeleo ya dunia. Hii ni...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali: Mtu anayepinga tozo na kodi kwa maendeleo ya Taifa akamatwe

    Nyakati kama hiziz kujikwamua kiuchumi kwa maendeleo ya taifa ni muhimu sana kwa kila mwananchi kuunga mkono juhudi hizi zinazochukuliwa na Mh Rais Samia na serikali yake. Hivyo natoa wito kwa kila mwananchi mzalendo kuunga mkono juhudi hizi za kujikomboa kama taifa dhidi ya mgogoro wa kiuchumi...
  20. JamiiForums Tanzania SoC02 Tujenge mtazamo chanya na kubadilisha fikra juu ya ushabiki wa soka la Simba na Yanga kwa maendeleo ya Taifa

    Historia ya mpira wa miguu katika nchi hii imetoka mbali sana , tunacho cha kujivunia tunapoona maendeleo na uwekezaji mkubwa katika soka letu. Mathalani, vuta picha enzi za chama cha soka cha Tanzania enzi hizo kikiitwa FAT hali ilikuaje kiuchumi kwa timu zetu? Ni ,mara ngapi timu zetu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…