Maryam Malya
Senior Member
- Nov 29, 2021
- 115
- 258
1. Ukusanyaji wa tozo Tsh. bilioni 221 kwa mwaka 2021/2022 zilikwenda kusaidia kwenye mikopo ya elimu ya juu.
2. Kutekeleza miradi mikubwa ya kimkakati kama vile JNHPP na SGR kwa mara moja.
3. Kupitia tozo za miamala ya simu serikali imeweza kujenga vituo vya afya 234 kwa bilioni 117 na kila kituo kimegharimu milioni 500.
4. Kupitia tozo za miamala ya simu mwaka 2021/2022 Serikali imeweza kununua vifaa tiba kwa vituo vya afya 234 vilivyojegwa kupitia tozo za miamala.
5. Kupitia tozo ya miamala ya simu serikali imeweza kuajiri wauguzi (madaktari, manesi na wataalam wa afya) 7612.
6. Pia, miamala ya simu imesaidia kujenga majengo ya nje OPD na upasuaji, Maabara na wodi za wazazi nchini.