maduka

John Maduka (born 27 September 1970 in Thyolo) is a retired Malawian footballer. He used to play for Bloemfontein Celtic until his retirement in 2009

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa TRA nanyi fungueni maduka Kariakoo mlipe kodi hizi

    WAFANYAKAZI WA TRA FUNGUENI MADUKA KARIAKOO NANYI MLIPE KODI HIZI Mimi mfanyabiashara nacomply,ukiniita nakuja,nadaiwa Milioni 100 nimelipa yote bado Milioni 3 mnanifungia mashine,basi fungueni nyinyi maduka mlipe na hizi kodi zote, 1. Kodi ya mzigo unapoingia bandarini. 2. Kodi ya mapato...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa afika Kariakoo. Aagiza task force za TRA kusitisha shughuli zake haraka

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameamua kukutana na kuongea na Wafanyabiashara wa Soko la Kariakoo leo ambapo tayari amefika Kariakoo muda huu badala ya Jumatano May 17,2023 ambayo ilitangazwa hapo wali hii ni kutokana na uzito wa suala hilo. Awali mkutano kati ya Waziri Mkuu na Kamati ya...
  3. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Wafanyabiashara Kariakoo Aomba Msaada Kuwakamata Waliofunga Maduka

    Mwenyekiti wa Wafanyabiashara Kariakoo, Martin Mbwana amesema mgomo unaoendelea leo unasababishwa na kikundi cha watu wachache wenye maslahi yao binafsi huku akiomba wachukuliwe hatua na kuahidi kutoa ushirikiano kwa vyombo vya usalama. Ameyasema hayo leo Jumanne Mei 16, 2023 wakati akizungumza...
  4. JamiiForums Tanzania Maduka ya mahitaji ya nyumbani yapigwe marufuku kuuza dawa za kutuliza maumivu

    Dawa za kutuliza maumivu ni dawa tiba kama dawa nyingine za tiba,hivyo zinahitaji kuwa na "prescription" kutoka kwa wataalamu wa afya,lakini cha ajabu dawa hizi zinauzwa kiholela holela tu kama bublish,dawa kama Paracetamol,Panadol,Diclopar,Dawa tatu nk,ukienda maduka ya kawaida unazikuta mtu...
  5. JamiiForums Tanzania Uchumi wa Frame Tanzania

    Uchumi wa Frame unashika kasi sana Tanzania, ni Frame juu ya Frame, ni frame ukikata kona ni frame ukinyosha ni frame. Hii nchi na hisi uwezo wa wetu wa kufikiria nahisi usha fikia tamati yake, nchi kwa sasa iko kwenye uchumia wa frame, si Jeshi la Police, Si Jeshi la Wananchi, Si makanisa...
  6. JamiiForums Tanzania Fahamu namna Maduka yanayotumia uchawi, yanavyoweza kumpumbaza mteja

    Wandugu hiki sio kitu kigeni kwa nchi zetu za kiafrika watu hutafuta utajiri kwa namna yoyote Ile muhimu wafanikishe mambo Yao! Bila Shaka umewahi kusikia kuhusu kafara ya biashara au jini wa biashara ..ambapo mtu ili ammiliki huyu jini wa biashara ni lazima afanye kafara Zipo kafara nyingi...
  7. JamiiForums Tanzania Nape: Wafanyabiashara wa fedha za kigeni walioporwa fedha zao wamefutwa machozi

    Kwa lengo gani? Je kwanini wahusika warudishiwe haki yao? Ilikuwa uporaji? === Nape akiwa Clouds FM amesema "Rais Samia Suluhu Hassan katika miaka hii 2 ya uongozi amefanya kazi ya kuwafuta watu machozi na amefanya kazi ya kurudisha furaha na tabasamu kwenye maisha ya watu. "Wale wanasiasa...
  8. JamiiForums Tanzania Machinga wachachamaa Mwanza hali ni tete wanarusha mawe kwenye maduka

    Machinga wanarusha mawe maduka ya watu na wamefunga barabara wameweka mawe barabarani serikali iwasaidie wananchi Hawa. ==== Imedaiwa kuwa vurugu zilizotokea ni kati ya wafanyabiashara wadogo maarufu kwa jina la Wamachinga kukwaruzana na Mgambo ambao walikuwa na zoezi la kuwatoa kwenye maeneo...
  9. JamiiForums Tanzania Madiwani na mkurugenzi wa Mbeya kauli yenu inamaanisha biashara ya bajaji Mbeya ni haramu!! Maduka ya bajaji yafungwe, na hamtowatoza Kodi?

    Nachojua Mimi madiwani wa Mbeya ndio wamiliki wakubwa wa bajaji hapo mjini ,.nawafahamu na bajaji mnazomiliki nazifahamu mnataka kuwadhibiti raia wa kawaida wasimiliki bajaji ili biashara yenu isiwe na ushindani?? Biashara ni huria huwezi kuzuia watu wasiingize bajaji barabarani kwa sababu...
  10. JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa maduka yanayotoa pikipiki za mkopo na vigezo vyao ni vipi?

    Hello jamaa zangu, Tumaini langu mnaendelea vizuri. Nahitaji kupata pikipiki Kwa ajiri ya biashara ila pesa yangu ni kidogo sana. Ningependa kujua kama Kuna wadau wanayajua makampuni yanayokopesha pikipiki na masharti yao ni yapi?
  11. JamiiForums Tanzania Maduka ya fedha Dar hatarini kwa ujambazi

    Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limewakamata watuhumiwa wanne kwa unyang’anyi wa kutumia silaha na kuwataka mawakala wa huduma za kifedha kuchukua tahadhari za kiusalama dhidi ya uhalifu ulioibuka mwanzoni mwa mwaka huu. Ushauri huo umetolewa baada ya jeshi hilo kuwakamata...
  12. JamiiForums Tanzania Nimehama maduka mpaka nimekoma!

    Anaandika, Robert Heriel Hivi hawa wenye maduka siku hizi mnawaelewa kweli? Nazungumzia hawa wauza maduka ya vyakula Kwa rejareja kina Mangi na Muha hapo mtaani kwenu mnawaelewa? Labda ni Mimi pekee ndio siwaelewi. Anyway, mwanzoni wakati naanza maisha ya ubachela, Kigheto ghetto nilikuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Dunia kweli duara, leo hii Arusha wanalalamika Majambazi wanavunja maduka mchana kweupe

    Hii Dunia hii ukiona mwenzio ananyolewa wewe kasuke rasta. Watu wa Mikoani wameanza kuitikia Chorus. Arusha maeneo ya Ngalelo. Majambazi wanapita mchana wanaangalia duka wanalopenda wanapora wanaenda na la pili mpaka manne sometimes. Wanaondoka zao. Najiuliza wananchi wanafanya nini? Wanakuja...
  14. JamiiForums Tanzania UPDATE: GAME Supermarket kufunga rasmi biashara zake Tanzania

    Kampuni ya Massmart kutoka Afrika Kusini inayomiliki maduka ya Game imesema Desemba 25, 2022 ni mwisho wa maduka yake kutoa huduma Tanzania. Massmart imefikia hatua hiyo ikiwa ni miezi 12 ya kujaribu kuuza maduka hayo nchini Nigeria, Ghana, Tanzania, Kenya na Uganda kwa wawekezaji wapya wa...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa wenye maduka ya jumla na reja reja nina mzigo

    Kwema wakuu, Nafanya sole distribution ya bidhaa zifuatazo kwenu wenye maduka ya bidhaa muhimu ama FMCG na hata Pharmacy. 1.Sabuni za Ariel size zote (35gm, 500gm,1kg, 1.5kg. 3.5kg) 2.Always sanitary pads aina zote. (Long, Extra long) Cottony Soft, Maxi Soft, Ultra. 3.Gillete Razors(Silver...
  16. Z

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu biashara ya vifaa vya umeme kwa bei ya jumla, kwa Dodoma Mjini

    Habarini ndugu zangu, Nilikuwa nina wazo la kutaka kufungua hardware kwa mkoa wa Dodoma, sehemu ya mkonze,Bje kwa mtaji wa mill 3 unaweza nikafanikisha hii biashara maan nilikuw nataka nispecialize kwenye hivi vitu kimoja wapo ndio nianze nacho (i)Cement, misumari, binding wire, kench wire...
  17. JamiiForums Tanzania Wanawake wanaouza maduka ie...k/koo wanazidisha bei(over pricing) kwa wateja wanaume

    Habari zenu my virtual family(JF) Mara kadhaa huwa nikienda kununua vifaa vya electronics huwa nawakuta wauzaji wanawake...(probably nawafuataga sijui ila iko hivyo) ila sasa wana katabia ka kunitajia bei za ajabu ambazo ziko juu ya kawaida, Lakini... Nikienda duka lingine labda nkamkuta...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Siku ya sensa maduka ruhusa kufunguliwa?

    SIKU YA SENSA MADUKA RUHUSA KUFUNGULIWA? Tafadhali wekeni wazi maduka mitaani ni ruhusa kufunguliwa leo? Tunajua wafanyakazi leo ni mapumziko je sector binafsi hasa mitaani maduka nini utaratibu?
  19. JamiiForums Tanzania Ni halali kununua dawa maduka ya nje,na nina bima ya NHIF..kisa hospital niliyotibiwa hizo dawa hamna?

    Leo nimepata hasira sana,hiv wa mabwanyenye huko juu kwenye uongozi huwa yanatumia akili au ma..alio kufikiri? Hela ilivyongumu hivi nakatwa mchango wa NHIF alafu nimepanga foleni toka asubuhi mpaka saa 10 jion,majibu yanatoka na andikiwa dawa ila zingine kwenye stoo yao wanasema hamna . Alafu...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Golikipa Beno Kakolanya ni moja kati ya maduka ya Home shopping center (GSM)

    Haina salamu! Moja kwa moja kwenye uzi Hivi benchi la ufundi la timu ya simba linaruhusu vipi hili duka la GSM kuendelea kuidakia timu yetu??!!! Hawa wachezaji tunaowasajili kutokea Yanga si wa kuwamini hata kidogo! Ukiangalia magoli yote mawili ya jana yaliyofungwa na Fiston kaamka mayele...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…