Maduka ya mahitaji ya nyumbani yapigwe marufuku kuuza dawa za kutuliza maumivu

TheForgotten Genious

JF-Expert Member
Jan 18, 2014
996
1,511
Dawa za kutuliza maumivu ni dawa tiba kama dawa nyingine za tiba,hivyo zinahitaji kuwa na "prescription" kutoka kwa wataalamu wa afya,lakini cha ajabu dawa hizi zinauzwa kiholela holela tu kama bublish,dawa kama Paracetamol,Panadol,Diclopar,Dawa tatu nk,ukienda maduka ya kawaida unazikuta mtu anauza hata hajui anaenda kutumia nani na anashida gani,ana umri gani na atumie kiasi gani.

Mfano kuna jamaa kaumwa kichwa kaenda kununua dawa tatu dukani kabugia vidonge viwili,baada ya muda kaanza kuvimba macho,hii yote ni kwa sababu aliye muuuzia hajui dawa hiyo imeundwa na nini na itumike vipi.

Dawa kama PCM zina athari katika figo endapo zikatumika kwa muda mrefu ama kiwango cha juu.

Wapigwe marufuku.
 
Sasa huyo aliyevimba siyo tatizo la muuzaji ni yeye ndio ana aleji na Dawa tatu.
 
Dawa za kutuliza maumivu ni dawa tiba kama dawa nyingine za tiba,hivyo zinahitaji kuwa na "prescription" kutoka kwa wataalamu wa afya,lakini cha ajabu dawa hizi zinauzwa kiholela holela tu kama bublish,dawa kama Paracetamol,Panadol,Diclopar,Dawa tatu nk,ukienda maduka ya kawaida unazikuta mtu anauza hata hajui anaenda kutumia nani na anashida gani,ana umri gani na atumie kiasi gani.

Mfano kuna jamaa kaumwa kichwa kaenda kununua dawa tatu dukani kabugia vidonge viwili,baada ya muda kaanza kuvimba macho,hii yote ni kwa sababu aliye muuuzia hajui dawa hiyo imeundwa na nini na itumike vipi.

Dawa kama PCM zina athari katika figo endapo zikatumika kwa muda mrefu ama kiwango cha juu.

Wapigwe marufuku.

Kabugia dawa tatu kwa mpigo badala ya dawa moja ??😏😏, kweli duniani kuna watu majuha.
 
Dawa za kupunguza maumivu Dunia nzima zinauzwa kwenye counter tu
Wazungu wanauza na hata Asia na America wanauza sio marufuku

Ila cha ajabu kuna dawa nyingi sana ambazo zinauzwa pharmacy bongo bila prescription na ni mbaya zaidi
Antibiotics zinauzwa kama njugu tena mpaka watoto wanapewa huko

Dawa kama hizo hazizuiliki na zinapunguza maumivu na kila box lina maelekezo
Jukumu la mtumiaji ni kuuliza au kujua anataka nini hasa
 
Back
Top Bottom