madini

Abū al-Ḥasan ʻAlī ibn ʻAbdillāh ibn Jaʻfar al-Madīnī (778 CE/161 AH – 849/234) (Arabic: أبو الحسن علي بن عبد الله بن جعفر المديني‎) was a ninth-century Sunni Islamic scholar who was influential in the science of hadith. Alongside Ahmad ibn Hanbal, Ibn Abi Shaybah and Yahya ibn Ma'in, Ibn al-Madini has been considered by many Muslim specialists in hadith to be one of the four most significant authors in the field.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Viwanda: Milioni 420 ni kwa ajili ya ukarabati wa Jengo la Madini, siyo ujenzi wa Sanamu ya Hayati Dkt Magufuli

    "Milioni 420 ni kwa ajili ya ukarabati wa Jengo la Madini katika maonesho ya Sabasaba, wenzetu wakaomba tuliite Magufuli na tukafikiria kwanini isiwepo sanamu?" "Katika majadiliano hayo ndipo wanahabari wakachukua, 'Serikali kujenga sanamu kwa milioni 420" ---- Naibu Waziri Exhaud Kigahe Pia...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Utajiri ulio baharini

    ‌Utajiri wa baharini:Dhahabu imejaa baharini kwa sababu ya kuzama kwa meli kadhaa za kale ‌Kuna mali ya thamani ya mamilioni ya dola inayoharibika katika bahari mbali mbali duniani . Mali hiyo ni pamoja na maelfu ya tani za dhahabu na vito vya thamani ambavyo vilizama pamoja na meli...
  3. JamiiForums Tanzania Ole Sendeka: Hali ya umaskini imeongezeka Mirerani, amuomba Waziri Mkuu biashara yote ya madini ya Tanzanite iishie Mirerani

    Mbunge wa Simanjiro, Ole Sendeka ametoa Ombi kwa waziri Mkuu alipokuwa mkoa wa Manyara kuzindua kituo cha Tanzanite Magufuli, kwanza ameomba ukaguzi wa Staha kwa watu wake bila kuathiri mapato ya Serikali mgodi wa Mirerani. Pia ameomba kuongezwa chumba kimoja kwa ajili ya ugaguzi wa wanawake...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Nishati na madini toeni ufafanuzi; kwanini soko la shaba (copper) limepaa maradufu?

    Kuna malalamiko mengi sana juu ya soko la shapa kupaa! Gharama ya mauzo na manunuzi ya shaba (copper) imepaa sana kwa zaidi ya 45%-55% ya bei ya awali je tatizo ni nini? Nani anafahamu kwa nini soko la madini hayo limepaa sana? Shida iko wapi? Wenye majibu tafadhali
  5. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa madini, naweza kununua haya mawe kwa shilingi ngapi na kupata faida?

    Wadau wanaojua vizuri mawe naombeni Msaada wa makadilio haya mawe naweza kununua kwa wastani wa bei gani ili nikapate faida sokoni.
  6. JamiiForums Tanzania Kwenye madini na kamari(casino) ukienda na malengo hufanikiwi

    Habari, Hivi unajua kuwa ukienda Machimbo madogo ya dhahabu au madini ya vito unatakiwa kuweka uchu wa mafanikio mbali? Malengo yoyote hupaswi kuweka. Nenda machimbo fanya kazi kama kazi wala kichwani usijijazie mimali. Hii kanuni pia iko kwenye macasino. Ukicheza casino huku unapigia hesabu...
  7. JamiiForums Tanzania Hatimaye Rwanda yaanzisha Gold Refinery - Hope Makinikia hayataenda nje ya Africa tena

    Rwanda gets first gold refinery The refinery has capacity to process gold from around the continent, boosting efforts to ensure that Africa adds value to its minerals before exporting them. By Julius Bizimungu Published : June 19, 2019 | Updated : June 19, 2019 Rwanda has acquired its...
  8. JamiiForums Tanzania Mrejesho biashara ya madini ya dhahabu second season

    Panapo majaaliwa ya mwenyezi Mungu tumekutana tena kwenye kikao cha wapambanaji. Wakuu wa jukwaa hili hususani vijana nawasalimu kwa Salam adhimu ya mama yetu Samia Suluhu Hassan...... Bila kuwachosha ni kuwa tangu nimeianza safari yangu ya kibiashara nimekuwa nikiwashirikisha hatua...
  9. JamiiForums Tanzania Tutawekeza kwenye teknolojia ili watu wasikaguliwe kwa kuvuliwa nguo Mererani

    Kumekuwa na malalamiko kuhusu mgodi wa Mererani kufanya ukaguzi kwa njia ya kudhalilisha ambapo hufanywa hivyo ili mtu asiondoke na madini ya Tanzanite Katika Ukaguzi imesemekana kuwa watu huvuliwa nguo zote kwa makundi na kuanza kupekuliwa hatua ambayo inaonekana ni ya kudhalilisha Waziri...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Madini Dotto Biteko ulisubiri ifike tarehe 17 Machi, 2021 ndiyo uiseme hii Kauli yako iliyojaa 'Unafiki' mwingi? Tumewachokeni sasa!!

    " Sekta ya Madini nchini haitakiwi iwe au iwekewe Sheria Kali kwa Wadau wake kwani itawakimbiza na hatutopata Faida yoyote kama Serikali na itatuchelewesha kama nchi. Tuongozwe na Busara pamoja na Hekima na siyo Ukali wa Kupitiliza " Nimemsikia akizungumza haya Leo Asubuhi katika Kipindi cha...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Madini yaliyopo kwenye hifadhi nadhani tuyaache kwa sasa

    Ni kama nimesikia kwamba tufikirie kuanza kuchimba madini yaliyopo katika baadhi ya hifadhi zetu. Hoja haipingwi kwa kupigwa rungu lakini nilikuwa nadhani tufikirie na yatokanayo baada ya kuanza kuvamia hizi mbuga na kuanza kufukua chini. Huenda ikawa mazingira tuliyoyapigania kwa muda mrefu...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Suala la Madini: Serikali ya Magufuli haikutueleza ukweli wote

    Jana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan katueleza wazi kuwa licha ya Ukuta wa Mererani, bado madini yanatoroshwa. Pia Rais Saia akatueleza kuhusu Mkataba wetu na Kampuni ya Madini ya Barrick kuwa kuna mambo mle kwenye mkataba hayajakaa vizuri. Sasa najiuliza, kama...
  13. JamiiForums Tanzania Pamoja na ukuta mrefu na JWTZ kulinda Mererani, nani bado wanaiba madini yetu?

    Nimemsikia jana Mhe Rais Samia Suluhu Hassan akisema kua madini yanatoroshewa chini na wakikamatwa wanakimbilia kuonyesha jiwe kubwa la madini, najiuliza pamoja na security yote hii ni kina nani waliendelea kutuibia madini yetu? Maana yake ule ukuta hauna maana zaidi ya kupoteza fedha la...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Rais wangu Samia Suluhu, tusiguse Hifadhi

    Watanzania na walimwengu wamemsikiliza vema Rais Mama Samia hii leo. Amezungumza mengi yenye tija kwa nchi na wananchi wa Tanzania. Mwanzo wake ni mzuri. Hatuna budi kumuunga mkono. Pamoja na utamu wote wa hotuba, naomba kwa taadhima kubwa nimpe hadhari kwenye msimamo wake wa kuchimba madini...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuanza uchimbaji mdogo wa madini (Almasi na Dhahabu) bila mtaji

    Habari za leo wakuu, Nahitaji kufahamishwa jinsi ya kuanza uchimbaji mdogo wa madini bila mtaji. Karibuni wakuu.
  16. JamiiForums Tanzania Lawd hamercy!! This can’t be!!

    Is this really real or my mind is playing tricks on me? Everyone involved in this phuckery got to go.
  17. M

    JamiiForums Tanzania Liswemwalo lipo: Je, ni kweli kuna uchotwaji wa kutisha wa pesa na madini huko BoT?

    Wakuu habari zenu, R.I.P jemedali na mbabe wa vita JPM. Kumekuwa na habari zikizunguka mtandaoni siku nyingi kabla hata ya Rais kutangazwa kifo, kwamba huko benki Kuu yetu ya Taifa kuna watu wamekwapua pesa na madini. Hiki kilikuwa kipindi ambacho tetesi zimezagaa kwamba Rais anaumwa na...
  18. JamiiForums Tanzania Secretary wa afisa madini Mkoa wa Geita ajirekebishe

    Secretary wa Afisa Madini mkoa wa Geita ajirekebishe. Ofisi ya madini Mkoa wa Geita umekuwa kero tena kero kubwa. Time ya madini imemficha PS au secretary wa afisa madini Mkoa wa Geita na kuruhusu huyu mama kufanyia wateja chochote anachotaka. 1. Hana customer care 2. Bila rushwa hakuhudumii...
  19. JamiiForums Tanzania Nataka kujitosa kwenye biashara ya madini

    Ndugu zangu wana jamvi, kijana wenu baada ya mapambano makali hapa mjini, nimeamua kujitosa kwenye Madini lakini nimelenga Mkoa wa Mbeya Wilayani Chunya, Najua issues za Madini ni Bahati, na mimi nimeona nikajaribu bahati yangu. Ninaomba kwa mwenye uzoefu wowote wa Mgodini anipe ili niwe na...
  20. JamiiForums Tanzania Je, haya ni madini gani?

    Kwa anayejua aina haya ya madini naomba aniambie.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…