Kwenye madini na kamari(casino) ukienda na malengo hufanikiwi

Sandali Ali

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
4,953
2,000
Habari,

Hivi unajua kuwa ukienda Machimbo madogo ya dhahabu au madini ya vito unatakiwa kuweka uchu wa mafanikio mbali?

Malengo yoyote hupaswi kuweka. Nenda machimbo fanya kazi kama kazi wala kichwani usijijazie mimali.

Hii kanuni pia iko kwenye macasino.

Ukicheza casino huku unapigia hesabu ya fedha ambazo utazipata hutaambulia kitu.

Hili nimelifanyia uchunguzi wa kina, mimi mwenyewe nacheza sana casino hadi nimekuwa addicted.

Machimbo nimewahi kwenda pia.
 
Craig

JF-Expert Member
Feb 9, 2013
1,128
2,000
Wewe mkamalia wa kawaida tu, uliyefilisiwa na Casino na kuacha huwezi ndiyo unakuja kujifariji hapa.

Bora uwe mteja kuliko mkamalia manake ninamjua mzee mmoja aliwahi shinda milioni Mia mbili Pale Le Grande akaenda mpaka USA akanunua Costa za biashara.

Baada ya miezi mitano karudi kuwa ombaomba na mpaka Sasa anashinda pale Cassino kama kapagwa Fulani hivi.

Nina experience nimewahi kuwa dealer Cassino kubwa mjini nazijua akili za wakamalia, ninachowapendea Ni Mastermind Sana, ukicheza deal na Mkamalia una asilimia 89 za kufanikiwa.
 
Wangari Maathai

JF-Expert Member
Aug 13, 2018
35,062

Ina maana coaster hakuweza kuzisimamia vyema ama?
 
safuher

JF-Expert Member
Feb 11, 2019
8,525
2,000
😀😀! Mimi nilifika machimboni nna buku(1000)...madon wakaanza "zalau"zao anatumwa mtu unaambiwa uende uelekezwe kibra..nikawa najiapiza kama mchawi vile Mungu sitak hizi kebehi nazozipata...9mths na mm nikawa naitwa Boss..ni ww tu na akili yako
Hivi mkuu machimbo ulienda mwenyewe kuchimba au inakuwaje kuwaje ?

Mtu kama mimi nikitaka kuwekeza kwenye uchimbaji mdogo wa madini naanzia wapi
 
Wangari Maathai

JF-Expert Member
Aug 13, 2018
35,062
2,000
Hivi mkuu machimbo ulienda mwenyewe kuchimba au inakuwaje kuwaje ?

Mtu kama mimi nikitaka kuwekeza kwenye uchimbaji mdogo wa madini naanzia wapi
Mimi ukweli nilienda kisa nna njaa...nilifika nikaanza kuwa mpishi wa watendakazi...later nikajiona wananidharau sana vijana wale .nikaanza ongozana nao maduarani kusoma kitabu kuhusu dhahabu the rest ikawa histry..

Ww nenda kakae hata 3mths unasoma mchezo...usikubal kuombwa hela sijui mfanye kitu gani kataa .utapigwa daily
 
Chaliifrancisco

JF-Expert Member
Jan 17, 2015
16,513
2,000
Mimi ukweli nilienda kisa nna njaa...nilifika nikaanza kuwa mpishi wa watendakazi...later nikajiona wananidharau sana vijana wale .nikaanza ongozana nao maduarani kusoma kitabu kuhusu dhahabu the rest ikawa histry..

Ww nenda kakae hata 3mths unasoma mchezo...usikubal kuombwa hela sijui mfanye kitu gani kataa .utapigwa daily
Hebu eleza vizuri mkuu wengine hatuna tunalojua kabisa. Yani hatuna hata ABCs sasa ukieleza kama unaelezea wataalamu inakuwa tunakosa chakujifunza.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom