madawa

Hum Sitaray is a Pakistani entertainment channel launched by Hum Network Limited on 14 December 2013. It is a major entertainment channel in Pakistan.

View More On Wikipedia.org
  1. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Pamoja imefungwa TFF fanyeni uchunguzi kwa kuwapima wachezaji wa timu zote madawa yaliyopigwa marufuku michezoni

    NImeuangalia mchezo vyema napata mashaka kidogo kwa wachezaji wa timu fulani ni lazima tff wafanye vipimo vya ghafla kwa kuwapima madawa haramu yaliyopigwa marufuku michezoni kuna kila dalili hili jambo linafanyika katika ligi yetu si kwa pumzi zile........ Tunataka mechi halali zisizo na hila!
  2. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kasi ya Uhalifu Kawe na Mbezi Beach Mamlaka za Usalama chukueni hatua

    Jeshi la Polisi Napenda kutoa taarifa kuhusu eneo la Kawe na Mbezi Beach, maarufu kama "Makazi Mapya," ambalo limekuwa kimbilio la wahalifu. Eneo hili linatumika kama maficho ya wahalifu wanaovuta bangi na kuuza madawa ya kulevya. Aidha, kuna shughuli za uchimbaji wa mchanga zinazoendelea...
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu katania eti kampuni ya madawa ya Azuma wametokea kupapenda Bongo. Biashara imekuwa nzuri

    Apart from utani wanangu kuweni makini, vaeni mipira.
  4. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania Matumizi yaliyozidi ya Antibiotics, husababisha kansa!

    Kwa wale ambao wakiumwa Kichwa tu wanameza dawa, akijisikia kuchoka tu kameza dawa hii ni hatari. Tafiti zinaonesha Kutumia Antibiotics nyingi hupelekea kuua Bakteria walinzi wa mwili na kusababisha Fangasi sehemu za Mwili, kama Ulimi, Koo, utumbo, Ini, lakini pia Huchosha Ini na kuweza...
  5. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Jamii ihamasike kupeleka misaada ya kibinadamu Ngorongoro ikiwemo chakula, maji na madawa! NGOs na watu binafsi tuanze sasa, wamasai ni ndugu zetu…

    Niende kwenye mada moja kwa moja. Ndugu zetu Wamasai kwa sasa hofu imetanda; hawalali usingizi tena, hawajui nini kitatokea. Katika hali hiyo, wanalala wima kwa sababu ya hali ya sintofahamu inayowakabili. Nadhani hawalali usingizi tena. Tuhamasishane kupeleka misaada ya chakula, maji, na...
  6. Bob Manson

    JamiiForums Tanzania Kuvuta n'ge ili kufikia ulevi ni tatizo linalokua kwa kasi Asia

    Kuvuta n'ge ili kufikia ulevi au to get high ni tatizo linalo kua kwa kasi katika ukanda wa kusini mwa Asia. Mojawapo ya nchi iliyo na matumizi makubwa ya ulevi huu ni Pakistan. Ulevi au high hiyo inasemekana huwa maradufu zaidi kushinda heroine au cocaine, hudumu mwilini kwa zaidi ya masaa 10...
  7. chamilo nicolous

    JamiiForums Tanzania Nitapata wapi kozi ya uuzaji wa madawa ya binadamu?

    Wandugu, naomba niende kwenye mada moja kwa moja. Nimesoma masomo ya Biology na chemistry kisha nikasoma kozi za uhifadhi wa maliasili, kwa kozi hii mambo hayaeleweki. Natamani nipate kozi fupi ya uuzaji wa madawa, wanajamvi nisaidieni niwapi hii kozi inatolewa
  8. H

    JamiiForums Tanzania Mbolea madawa na mbegu ni tatizo Kwa mfugaji na mkulima

    Ni kweli serikali inataka kupiga hatua Kwa wananchi wake? Kama ni kweli ushauri wangu Kwa serikali yangu ijitazame katika mambo haya ya yafuatayo. Mbolea Kwa mkulima:ni wakati Sasa wa sekta ya kilimo kuwa wakali Kwa kuhakikisha mwananchi anapata mbolea ZeNye virutubisho sahihi na sio mbolea...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Madawa ya kilimo na madawa wanyama Kuna shida mahali

    Hivi naomba kujua na kufahamu madawa ya kwenye mazao na kilimo na mifugo huwa majaribio yake wanayafanyiaga wapi? Kuna maduka mengi yanauza madawa ya mifugo pamoja na madawa ila haya madawa mengi yamekuwa hayana matokeo Bora Kwa wakulima na wafugaji. Nikiwa kama mkulima n mfugaji na nikiwa n...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Tamko la Idara, baada ya vigogo wa madawa ya kulevya duniani kutiwa nguvuni

    25 July 2024 Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Marekani, Bw. Merrick B. Garland Atoa Taarifa kuhusu Kukamatwa kwa Viongozi Wanaodaiwa wa Kundi la Sinaloa Bw. Ismael Zambada Garcia (El Mayo) na Bw. Joaquin Guzman Lopez viongozi wa genge la Sinaloa Cartel, Ismael Zambada Garcia (El Mayo) na Joaquin...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Mh nimeskia waziri mkuu Leo anawasemea waliopona uraibu wa madawa ya kulevya wapewe ajira..

    Majobless mpo!? Naona Kila siku mnalia tamisemi zitatangazwa lini ajira , maana vijana wanasubiri ajira Hadi wanapata stress wengine ni walevi na yawezekana hata wengine wataingia kwenye dimbwi la dawa za kulevya...huku Leo waziri mkuu ametoa Rai Kwa tamisemi kuwaajira waliopona uraibu, sasa...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Tarehe 30/06/2024ni Killed Cha Maadhimisho ya Kupinga utengenezaji, utumiaji na usambaji wa madawa ya kulevya.

    Tukio ilo kitaifa litafanyika mkoa wa MWANZA Mh Waziri Mkuu atakua mgen rasmi wa jambo hilo kwenye uwanja wa Nyamagana.Brudan zitaanza saa 12:00 Karibuni sana.
  13. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Makonda alipopigana vita dhidi ushoga na madawa ya kulevya mlisema anadharirisha watu. Leo hii mnalialia nini?

    Mara mtandao wa X ufungwe mara vijana wanajiharishia kwenye mabasi ya mwendo kasi. Mara hoo wanavaa pampasi. Sasa kwa nini mlimdhihaki na kumpinga Makonda. Shujaa anayefuata nyayo za Shujaa wa Afrika?
  14. Sam Darfur

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kosa Litakaloliangamiza Taifa Miaka Mitano ijayo

    Mashuhuda wa ajali wanasema kwamba, eneo ajali ilipotokea ni hatari na huenda kukawa na jini ambaye anasababisha ajali zitokee mara kwa mara. Wanadai kwamba, inawezekana jini huyo ndio sababu ya kutokea kwa ajali hii kubwa na hatari, ajari iliyoondoa roho za watu 65 huku watoto chini ya miaka 18...
  15. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Nick Minaji akamatwa na Dawa za Kulevya!

    Jana siku ya jumamosi Nick Minaj amekamatwa Uholanzi kwa kuwa na madawa ya kulevya, baada ya kukaguliwa na kupekuliwa alikuwatwa namadawa hayo wanaita WEED ambapo yalionekana ni kwaajili y matumizi binafsi na hivyo kupigwa faini lakini akawa amechelewa tamasha lake London na hivyo tamasha...
  16. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Chidi benzi anasema ukweli Lakin mbona hasemi jinsi madawa yanavyosababisha vijana kua mashoga kisa uraibu wa unga??

    Chid benzi anadai wasanii wengi michicha miba lakini mbona haelezi ukweli kuhusu uraibu unavowafanya vijana kuwa mapapai
  17. Replica

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mtanzania Mansoor Daya Afariki Dunia, alianzisha kiwanda cha kwanza cha Madawa Afrika Mashariki 1962

    Mtanzania Mansoor Daya amefariki dunia jijini Dar es Salaam. Daya alikuwa mtu wa kwanza nchini kufungua kiwanda cha madawa Tanzania na Afrika Mashariki mwaka 1962 akianza kwa kuziuzia nchi jirani na baadae akaanza kuuza kwenye soko la ndani. Mpaka anafariki dunia alikuwa mkurugenzi mtendaji wa...
Back
Top Bottom