madawa

Hum Sitaray is a Pakistani entertainment channel launched by Hum Network Limited on 14 December 2013. It is a major entertainment channel in Pakistan.

View More On Wikipedia.org
  1. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Giselda Blanco; Mwanamke mfanya biashara wa madawa ya kulevya

    Griselda Blanco, ambaye pia alijulikana kwa majina kama "Cocaine Godmother" (Mama wa Kokaini), "La Madrina" au "Black Widow" (Mke wa Njiwa Mweusi), anakumbukwa zaidi kama mdau wa cartel ya madawa ya kulevya kutoka Colombia ambaye aliunda na kuongoza biashara kubwa ya usafirishaji wa cocaine...
  2. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Kwanini Marekani haivamii China kisa changamoto ya madawa ya kulevya kama wanavyotaka kuivamia Venezuela?

    Nchi ya marekani kila siku imekuwa ikihituhumu China kuhusu changamoto ya fentanly na matumizi yake ndani ya nchi ya marekani. Marekani mara kadhaa inasema China ina zalisha kwa wingi na kupenyeza fentanly ndani ya marekani ili watu wake waathirike na waharibikiwe. Sasa kupitia malalamiko hayo...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Chid Benz: Wasanii wengi wanatumia cocaine, mimi nilikuwa natumia madawa ya bei rahisi sana

    Msanii wa Bongo Fleva, Rashidi Makwiro ‘Chid Benz’ alipozungumza na Clouds TV, jana Septemba 3, 2025 amefafanua aina ya madawa ya kulevya ambayo yanatumiwa na watu wengi, akichambua pia tofauti ya Heroin na Cocaine.
  4. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Tazama jinsi boti iliokuwa imebeba madawa ya kulevya kutoka Venezuela kuelekea Marekani ilivyodunguliwa na jeshi la Marekani.

  5. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Nini Kipo nyuma ya mafanikio ya vita ya madawa ya kulevya na ujangili?

    Serikali hii inayotuhumiwa kwa rushwa nilitegemea madawa ya kulevya yazidi na ujangili wa Meno ya tembo uendelee ila NI wazi mambo hayo yamepungua kwa Kasi Sana kama sio kuisha kabisa hasa ujangili hausikiki tena. Je NI jitihada za serikali ya awamu hii au takwimu tunazopewa hazina uhalisia au...
  6. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Kiwango cha madawa ya kulevya mtaani kimeshuka

    Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas Lyimo, amesema kuwa kutokana na juhudi kubwa wanazozifanya kwa kushirikiana na jamii, wameweza kupambana na uuzwaji wa dawa za kulevya nchini, na kwa sasa kiwango cha dawa hizo mtaani kimeshuka. “Kiwango...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Wakamatwa wakijaribu kusafirisha madawa ya kulevya kama wanawake wa kiarabu

    Wanaigeria watatu wakamatwa nchini Algeria wakijaribu kupanda ndege kuelekea Dubai kusafirisha madawa ya kulevya waliomeza tumboni mwao huku wamevalia kama na kupakwa rangi ya muonekano wa wanawake wa kiarabu.
  8. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Naombeni muongozo wa kwenda kushtaki jirani ambaye anachanganya madawa yenye sumu Kali ya kuua wadudu shambani

    Husika na kichwa Cha Habari Wadau naombeni muongozo hapa, je hii kitu ni sawa? Kwenye makazi ya watu mtu nyumbani kwake anachanganya sumu Kali zenye harufu Kali za kuua wadudu mashambani na kwenye mazao , hivyo harufu inasambaa kwa majirani na watoto are present Hivi hizi sumu si ndio...
  9. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya madawa ya kulevya yapamba moto Afrika mashariki

    Polisi katika Kaunti ya Migori mnamo Alhamisi walimkamata mshukiwa wa ulanguzi wa dawa za kulevya mwenye umri wa miaka 32 na kunasa shehena kubwa ya bangi yenye thamani ya takriban Ksh.13.7 milioni. Wakipokea taarifa, maafisa wa Kituo cha Polisi cha Oruba walinasa gari nyeusi aina ya Toyota...
  10. P

    JamiiForums Tanzania KERO Maji yanayotoka Tabora yana harufu kali sana za madawa. Wanazidisha sana madawa. (TUWASA) mtaleta madhara kwa watu

    Kuna baadhi ya maeneo mkoani tabora maji yanayotoka kwenye mfumo wa mabomba chini ya TUWASA yana harufu kali sana ya madawa. Hali hii ni tokea mwaka jana mwishoni hadi sasa. Harufu hiyo kero sana hasa pale unapoamua kuchemsha maji hayo ufanye yawe maji ya kunywa. Unakunywa maji yakiwa na harufu...
  11. Knock life

    JamiiForums Tanzania Mitaaa wanayotoka masikini ndo hutakuta kuna Madanguro, vilabu vya pombe, na wauzaji wa madawa hii ipo planned

    Binadamu ni Bidhaa ya mazingira yake . Wazungu walishamsoma MTU mweusi na kujua udhaifu wake kuwa ni ngono, pombe , na madawa bangi pombe na sigara. Unapozungumzia Anasa means is endless shit . So ukimjengea MTU danguro , vilabu vya pombe n.k usitegemee huyo MTU akafanikiwa kwa lolote He or...
  12. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ni Usonji au madawa ndio humpelekea Elon Musk kufanya vitendo vya ajabu akiwa mbele ya watu?

    Elon Musk jana akitokea hadharani akiwa na ngeu usoni ameulizwa kuhusu taarifa za yeye kutumia dawa za kulevya akawa mkali sana bila kukanusha hayo madai.
  13. P

    JamiiForums Tanzania Naomba madawa Pilipili mwendokasi

    Habari za Ijumaa kuu ndugu zangu, Nilipata ushawishi toka kwa jirani yangu baada ya kuona nipo na eneo kubwa nifanye kilimo kitanitoa hii ni baada ya kupoteza kazi ili niachane na kuombaomba,sasa nilinunua 10gm nikaotesha kwenye kitalu japo nilichelewa kuziamisha lakini zilienda vizuri shida...
  14. britanicca

    JamiiForums Tanzania Kupitia video hii ni kweli viongozi wanahusika kwenye kusafirisha madawa ya kulevya alafu wanouwawa ni vijana

    Binti anayeenda kunyongwa Vietnam inaelezwa kwenye video hii na inaonekana Njoroge ambaye ni miongoni mwa watu wa Serikali waliofuma mbinu kwa Nduta kusafirisha madawa ya kulevya huko Vietnam, Baada ya kukamatwa wao wakazima simu , https://youtu.be/VK_s6RGOlps?si=EZe_9fBY4mHLeXyH
  15. N

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Jinsi Ifakara ilivyotekwa na kukithiri magenge ya uhalifu na matapeli wa mtandaoni maarufu kama halo-haloo

    Habari wanajamvi, Wilaya ya Kilombero eneo la Ifakara limekumbwa na wimbi la MATAPELI WA MTANDAONI maarufu kama halohaloo. Tumejaribu kila njia kuripoti katika vyombo vya usalama lakini hakuna hatua zozote zinachukuliwa dhidi ya MATAPELI Hawa.. Cha kusikitisha polisi wilaya ya Kilombero haswa...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Unaposikia mtu kafa kwa over dose ya madawa ya kulevya ni kwamba raha ilizidi mpaka akili ikasahau kupumua ili mwili upate starehe

    Madawa ya kulevya ni miongoni mwa changamoto kubwa zinazokumba jamii nyingi duniani. Mara nyingi, tunaposikia mtu amefariki kutokana na overdose, hatufahamu kabisa kinachotokea ndani ya mwili hadi kufikia hatua hiyo ya hatari. Overdose ya madawa ya kulevya mara nyingi inahusiana na hali ya...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini wakulima wa Bangi hawalimi Cocaine au madawa mengine yenye faida kubwa zaidi wakati vifungo vya kulima dawa za kulevya vinafanana?

    Ni swali critical linalohusu kuichimba akili ya muhalifu (criminal mind investigation) anaelima madawa kwa mrengo wa kiuchumi na hatari / risks za biashara haramu wanazofanya. Kilimo cha madawa ya kulevya ni haramu kwa sheria za Tanzania, ukilima bangi kuna mvua ya miaka 20+, ukilima cocaine...
  18. Knock life

    JamiiForums Tanzania Wale ambao ndugu zenu wameathirika na uraibu mbalimbali kama Pombe, Bangi, Madawa n.k, naomba tuwasiliane kwa ajili ya matibabu

    Wale ambao mna watoto au ndugu zenu Ila tayari wameathirika na uraibu mbalimbali kama Pombe, Sigara na Bangi naomba tuwasiliane ili niwapatie matibabu. Tupo na kituo cha rehabilitation (Rehab) Kwa ajili ya HUDUMA zifuatazo: 1. Waathirika wa pombe , bangi na madawa 2. Huduma za kisaikolojia...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Kumbe Rais Bashar al Assad alikuwa anauza madawa ya kulevya! Yalikutwa kwenye kasri lake Damascus

    Kilichonishangaza zaidi ni kiwango cha kipato alichokuwa anapata kupitia biashara hiyo ambayo ilikuwa inasimamiwa na kaka yake. Yaani, alikuwa anapata dola bilioni kumi kwa mwaka, wakati pato la taifa lilikuwa chini ya dola bilioni tisa!!! Kama ni kweli, hizi dhambi zinakuwaje? Yaani, familia...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda awataje hadharani Watu Wanaomroga Rais ili asije akafanya Maamuzi Makubwa kwa Kulogwa na hao watu

    Ndugu zangu Watanzania, Leo Tanzania na Dunia nzima imeshuhudia maandamano na matembezi makubwa sana ya amani kuwahi kushuhudiwa kanda ya kaskazini yakiongozwa na mkuu wa mkoa wa Arusha Mwamba Mwenyewe Paul christian Makonda kijana Jasiri kuwahi kutokea katika ukanda wa kusini Mwa jangwa la...
Back
Top Bottom