Kabla ya mauaji Rwanda viongozi wa kisiasa na vyombo vya dola waliminya watu Kama tunavyoshuhudia hapa nchini Sasa. Leo Mhe. Rais ametembelea Makaburi yaliyosababishwa na watu wachache walioona wao ndio waliozaliwa kutawala.
Mwenyenzi Mungu anakusudi kumpa safari siku chache baada ya dola...
CCM ndiyo inaongoza serikali kwa sasa. Kwa sasa haijalishi sana kujadili namna walivyopata mamlaka ya kiutawala aidha ni kwa uhalali au kwa uharamia.
Lakini muhimu ni hili, kuwa, wanadhani kuwa madai ya katiba mpya ya wananchi ni ili wao wanyang'anywe mamlaka na madaraka yao ya utawala wa...
Huu ndio ukweli kuhusu CCM ya leo ambayo imepoteza uhalali wa kisiasa na sasa inategemea nguvu za dola kubaki madarakani.
Uchaguzi wanavuruga na kuupora na sasa hata mikutano ya ndani ya vyama vya siasa wanaiogopa yakiwemo makongamano ya kudai katiba mpya.
Kwa mfano, CHADEMA wamekuja na hoja...
CCM wafanye yote wanayofanya ikiwemo kutumia propaganda na dola kubaki madarakani, ila waeleze tatizo la ajira na ugumu wa maisha pamoja na Katiba hii mbovu tulionayo, ndio vitu vitavyokuja kuwaondoa madarakani.
Hata hivyo, ili yatimie, lazima kwanza litokee jambo ambalo litatumika kama...
Mwanasiasa machachari wa Tanzania anayeishi mamtoni baaada ya kufanyiwa unyama amekanusha taarifa na kauli ya Igp Sirro kuwa alipigiwa simu na jeshi la polisi ili ahojiwe juu ya madhila yaliyompata.
Kupitia ukurasa wake wa Twita Lissu amedai kuwa taarifa hizo ni za uongo na hazina ukweli...
Kuna kila dalili kwamba CCM itaendelea kututawala watanzania kwa namna yoyote kwa miaka mingi ijayo, na ukizingatia kwamba mtaani njaa ni kali sana.
Hata kama ingekua ni wewe ndugu yangu, katika mazingira kama ya Tanzania ambapo chama tawala kinahodhi kila kitu serikalini, ungeacha kutumia...
Sasa hatuwezi kuendelea kuwaachia nchi watu walioshindwa kuiendesha, haiwezekani gharama za maisha kupanda kwa kiasi kikubwa huku pesa mzunguko wake ni mbovu halafu kila siku kudumu Chama chaMapinduzi.
Sasahivi kununua vifaa vya ujenzi ukiwa mipakani Tarime kutoka nchi jirani ya Kenya ni nafuu...
Tayari wameshapotezwa maboya wana deal na alichosema Diallo. Leo Diallo ni Shujaa sababu amemsema Magufuli vibaya. Wanasahau Diallo alishawahi kuwa katika watu wanaofanya ufisaidi nchini
Tuachane na Diallo. Hizi tozo za Kinyonyaji ina maana zinapita hivi hivi hatupazi sauti zetu tumehamia...
Hai. Bodi saba za watumia maji wilayani Hai, Siha na Moshi Vijijini mkoani Kilimanjaro zimeibuka na tuhuma nzito kwamba aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya aliwapora mali za mabilioni.
Bodi hizo zimeiomba Serikali kuingilia kati sakata hilo ili warejeshewe mali zenye thamani ya...
Wakati Rais wa Awamu ya Sita, Samia Suluhu Hassan ameshatimiza siku 100 akiwa madarakani, wachambuzi wa masuala ya diplomasia, siasa uchumi na wananchi wa kawaida wamesema ndani ya kipindi hicho yapo mengi ya kuigwa ambayo ameyafanya.
Katika kipindi hicho ametajwa kufanya mambo mbalimbali ya...
KATIBA INARUHUSU LAKINI NI NGUMU SANA BUNGE KUMWONDOA RAIS MADARAKANI
Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi,
Leo nimeona nije na hili jambo la kusisimua lililopo kwenye katiba yetu lakini lisilotekelezeka. Halitekelezeki kwa sababu CCM haijawahi teua mgombea mwenye matatizo yasiyo ya...
Wanasiasa uchwara jaribuni kufumba vinywa vyenu ili kuficha aibu kama hizi zisiwatafune ninyi na vizazi vyenu. Yaani mlikuwa mnapigia debe uvunjifu wa katiba?
Msukuma upo?
Kinanasi upo?
Ningependa kujua ikiwa ikatokea bahati mbaya amefariki katika ajali au namna yoyote iwayo, nani ateyeshika nafasi ya uongozi wa taifa letu?
======
37(5) Endapo kiti cha Rais kitakuwa wazi kutokana na Rais kufariki dunia, kujiuzulu, kupoteza sifa za uchaguzi au kutomudu kazi zake kutokana na...
Na Emmanuel J. Shilatu
Napenda kuungana na Mamilioni ya Watanzania kusherehekea maadhimisho ya siku 100 tangu Mhe. Samia Suluhu Hassan ale kiapo Machi 19, 2021 kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni siku zilizojaa maajabu, matumaini na mwangaza kwa Taifa letu.
Nitagusia baadhi ya...
Mama katimiza siku 100 madarakani baada ya kifo cha Magufuli
Ukiachana na kicheko kwa wafanyakazi weka tathmini yako ya haki hapa
Alikopatia
Alikokosea
Alikochapia
Alikozembea
Alikokurupuka
Weka projection yako na ushauri wako kwake. Anatusoma a ametuasa tusikosoe tu na kujibishana mitandaoni...
Waziri Mkuu wa Israel Naftali Bennett leo Juni 15, 2021 amefanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Idara Kuu ya Ujasusi nchini Israel Security Agency (ISA) Nadav Argaman.
Waziri Mkuu ameamua kuwa Mkurugenzi huyo wa ISA ataendelea kusalia kwenye nafasi aliyonayo hadi Oktoba 2021.
Kila siku nimekuwa nikijaribu kutafakari hali iliyotokea Tanzania au Malawi au Zambia au DRC au Rwanda au Burundi au Msumbiji ya viongozi wakuu wa nchi kufa wakiwa madarakani. Kwa nchi hizo nilizo zitaja, muitikio su matokeo yalikuwa tofauti tofauti.
Nchi nyingine ulikuwa mwanzo wa vurugu na...
Makamu wa Rais na Waziri mkuu mstaafu mzee Sinde Warioba amesema mzee Mwinyi alipoingia madarakani kama Rais mwaka 1985 na yeye kuwa msaidizi wake walikuta nchi haina kabisa akiba ya fedha za kigeni.
Warioba amesema hii ilitokana na ukweli kwamba nchi ilikuwa imetoka kwenye vita ya Kagera pia...
Tangu Rais wetu mpendwa aingie madarakani baadhi ya vituo vya mafuta havitoi receipt za ki eletronic. Mfano ukienda PUMA Kawe unaambiwa karatasi zimeisha, siku nyingine hakuna wino, ni mwezi sasa. PetroAfrica Bunju, unambiwa hakuna karatasi, Oilcom unaambiwa machinembovu. Ni vituo vingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.