Sasa inakuwa rasmi mafuta bila stakabadhi

MSHINO

JF-Expert Member
Jul 26, 2013
1,067
709
Tangu Rais wetu mpendwa aingie madarakani baadhi ya vituo vya mafuta havitoi receipt za ki eletronic. Mfano ukienda PUMA Kawe unaambiwa karatasi zimeisha, siku nyingine hakuna wino, ni mwezi sasa. PetroAfrica Bunju, unambiwa hakuna karatasi, Oilcom unaambiwa machinembovu. Ni vituo vingi vinafanya hivyo.

TRA MPOOOOO
 
Tangu Rais wetu mpendwa aingie madarakani baadhi ya vituo vya mafuta havitoi receipt za ki eletronic. mfano ukienda PUMA kawe unaambiwa karatasi zimeisha, siku nyingine hakuna wino, ni mwezi sasa. PetroAfrica Bunju, unambiwa hakuna karatasi, Oilcom unambiwa machinembovu. Ni vituo vingi vinafanya hivyo.

TRA MPOOOOO
Sijawah chukua izo risiti,,,
Nachoangalia mafuta nimepata.
 
Hii kama hali ndio hii si majanga au ndio ile ya spika kusema watu wajinafasi kwenye nchi yao?

TRA kama hawakusanyi mapato serikali inawalipa salary za nini?
 
Back
Top Bottom