madai

Madai (Hebrew: מָדַי, pronounced [maˈdaj]; Greek: Μηδος, [mɛːˈdos]) is a son of Japheth and one of the 16 grandsons of Noah in the Book of Genesis of the Hebrew Bible. Biblical scholars have generally identified Madai with the Iranian Medes of much later records. The Medes, reckoned to be his offspring by Josephus and most subsequent writers, were also known as Madai, including in both Assyrian and Hebrew sources. Some scholars in more modern times have also proposed connections with various earlier nations, such as Mitanni, Matiene, and Mannai. In addition, the Kurds still maintain traditions of descent from Madai.According to the Book of Jubilees (10:35-36), Madai had married a daughter of Shem, and preferred to live among Shem's descendants, rather than dwell in Japheth's allotted inheritance beyond the Black Sea; so he begged his brothers-in-law, Elam, Asshur and Arphaxad, until he finally received from them the land that was named after him, Media.
Another line in Jubilees (8:5) states that a daughter of Madai named Milcah (Aramaic: Melkâ) married Cainan, who is an ancestor of Abraham also mentioned in the Septuagint version of Genesis and in the Gospel of Luke (3:36).
Medos (Μηδος), and his mother Medea, were also reckoned to be the ancestors of the Medes in classical Greek mythical history. Christian scholars have proposed linking Hebrew Madai and Greek Medos since at least the time of Isidore of Seville [Etym 9.2.28], ca. 600 AD.
Madai is also the name of the deified ancestor of the Kachin people of Myanmar, according to the indigenous Kachin religion.
Also linked with Madai is the Iranian city of Hamadan.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania CHADEMA, Huwa inawasaidia vipi raia wenye kesi za jinai na madai dhidi ya Jamhuri kwa kuwawekea Mawakili? Au ndo wanaishia kuwachangisha tu?

    Kuna kesi nyingi sana zilizofanyiwa hukumu na ambazo mashauri yanaendelea na wengi wa watuhumiwa ni kutokana kaya masikini sana ambao hawana uwezo wa kuweka Mawakili katika Mahakaman mbali mbali.Kwakuwa CHADEMA ni chama kinachopigania haki na demokrasia , kina program yoyote ya kuwasaidia hawa...
  2. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bodaboda waishitaki Serikali kwa madai ya kuwatelekeza katika mipango yao, wadai fidia ya Ksh. Bilioni 426 (Tsh. Trilioni 6.7)

    Baadhi ya waendesha pikipiki (bodaboda) kutoka jijini Malindi wameamua kuchukua hatua ya kisheria dhidi ya serikali ya Kenya Kwanza, wakidai kuwa wamesahaulika katika mipango ya serikali na kusababisha hasara kubwa kifedha pamoja na matatizo ya kisaikolojia. Kulingana na nyaraka za mahakama...
  3. JamiiForums Tanzania Madai ya Mlipuko wa Kipindupindu Simiyu, RC asema ‘Ni Ugonjwa wa Matumbo, tumewapiga faini Wananchi wasio na vyoo’

    Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dkt. Yahaya Nawanda amezungumzia madai ya uwepo wa mlipuko wa maambukizi ya Kipindupindu katika Wilaya ya Bariadi Mkoani hapo akisema kuwa kilichotokea ni magonjwa ya tumbo na tayari Serikali inachukua hatua kisha akatoa ushauri kwa Wananchi. Amesema hayo siku chache...
  4. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi ya ndugu wa Wakulima waliokamatwa Kiteto, watoa madai ya kuombwa rushwa ili dhamana ipatikane

    Pia soma = Wakulima 27 Wilayani Kiteto washikiliwa na Polisi kutokana na mgogoro wa Ardhi = Manyara: Wakulima Kiteto warejea kwenye mashamba waliyoondolewa, watuma ujumbe kwa Rais Samia wakidai wameporwa Ardhi yenye mashamba yao
  5. L

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya IMF yafichua madai ya “mtego wa madeni" yaliyotengenezwa na Marekani

    Shirika la Fedha la Kimataifa IMF hivi karibuni lilitoa ripoti ya mtazamo wa uchumi wa Afrika ikikiri kuwa China sio chanzo kikuu cha mzigo wa madeni katika Afrika Kusini mwa Sahara. Wachambuzi wanasema wakati Marekani na nchi nyingine za kimagharibi zinaendelea kuishutumu China kwa kutengeneza...
  6. JamiiForums Tanzania Msanii Ditto afungua kesi ya Madai ya Tsh. Bilioni 6 dhidi ya Multi Choice (DSTV)

    Mwanamuziki, Lameck Ditto amewasilisha vielelezo tisa wakati akitoa ushahidi katika kesi ya madai dhidi kampuni ya Multichoice Tanzania Limited, akiituhumu kutumia wimbo wake bila ridhaa yake katika kipindi cha kampeni ya Afcon 2019. Ditto ambaye jina lake halisi ni Dotto Bernard Bwakeya...
  7. JamiiForums Tanzania Cassie amfungulia mashtaka Diddy yakiwemo madai ya ubakaji na unyanyasaji wa kijinsia

    Cassie amefungua kesi ya dola milioni 30 dhidi ya Diddy akimtuhumu kwa ubakaji na unyanyasaji wa kijinsia. Mwanadada huyo anasema muda mfupi baada ya kukutana na Diddy mwaka 2005, akiwa na umri wa miaka 19, alianza tabia ya kumdhibiti na kumnyanyasa ikiwa ni pamoja na kumlazimisha kutumia dawa...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali yasema inashughulikia madai ya Wafanyakazi wa SGR wanaodai malipo ya NSSF

    Naibu Waziri wa Wizara ya Uchukuzi, David Kihenzile amesema Serikali inafahamu Mkandarasi Mkuu wa Mradi wa Reli ya SGR (Yapi Merkezi) anasuasua kufanya malipo kwenye Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa Watumishi na kuwa vikao vinaendelea ili awe anakamilisha malipo mara tu anapolipwa fedha...
  9. JamiiForums Tanzania Hamas yakanusha madai ya Israel ya kusonga mbele Gaza. Waonesha video za kipigo chao kwa IDF

    Katika hali isiyotegemewa kabisa.Viongozi wa kundi la Hamas wamekanusha madai ya jeshi la Israel kwamba wamepoteza udhibiti wa Gaza na kwamba jeshi la Israel limesonga mbele mpaka katikati ya Gaza. Mshangao unakuja kutokana na ukubwa wa mashambulizi yaliyofanywa na jeshi la Israel na kutoa moto...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali yatoa ufafanuzi madai ya Wakulima wa Vanilla kutolipwa zaidi Tsh. Bilioni 1 na Kampuni ya Sosaka Limited

    Wakulima wa zao la Vanilla Mkoani Kagera wameendelea kuiomba Serikali kuingilia kati kuwasaidia kupata malipo yao ya zao hilo walilouza kwa Kampuni ya Sosaka Limited. Imeelezwa kuwa Kampuni hiyo ilifuata taratibu zote na kupata vibali kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera, ikanunua Vanilla...
  11. JamiiForums Tanzania TRC yajibu madai kuwa kuna uhaba wa Mafuta ya Dizeli kwenye Mradi wa SRG

    Baada ya memba wa JamiiForums kudai kuwa kuna changamoto ya kukosekana kwa mafuta ya Dizeli kwenye Mradi wa Reli ya SGR, Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetoa ufafanuzi. Kusoma malalamiko yenyewe ni haya - Mkandarasi wa Reli ya SGR ameishiwa Mafuta ya Diesel, Mradi umesimama, hatufanyi...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Taharuki: Ang'oa mita ya maji nyumbani kwake na kuipeleka idara ya maji (Suwasa-Singida) kwa madai maji hayatoki wiki ya pili

    Mwanaume mmoja huko SINGIDA MJINI achafukwa kwa ukosefu wa maji mitaa ya MISUNA na kuamua kuingo'a mita ya maji na kuirudisha kwa wahusika..Angalizo; Enzi za jiwe haya hatukuyaona..ova
  13. JamiiForums Tanzania Uongozi wa UDOM wajibu madai ya kuwepo kunguni kwenye mabweni ya Wanafunzi

    Baada ya memba wa JamiiForums.com kudai kuwa kuna changamoto ya Wadudu aina ya Kunguni kwenye mabweni ya Wanafunzi wa Chuo Kukuu cha Dodoma (UDOM), ufafanuzi umetolewa kutoka kwenye mamlaka ya chuo hicho. Taarifa ya awali ya Kunguni hii hapa - Kunguni wanatutesa Wanafunzi tunaolala kwenye...
  14. JamiiForums Tanzania JOWUTA yaiomba Serikali kufikisha Mahakamani madai ya Wafanyakazi Sahara Media

    Chama cha Wafanyakazi wa Vyombo vya Habari Tanzania (JOWUTA) kimetoa maombi hayo baada ya kudai kupokea malalamiko kutoka kwa Wanachama wake kuhusu maslahi yao na haki zao ikiwepo kutolipwa mishahara, kutopewa mikataba licha ya kufanyakazi kwa muda mrefu, kufukuzwa au kusimamishwa kazi bila...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Je, madai ya Hellen White yana ukweli kuwa shetani na malaika zake walitubu dhambi baada ya uasi lakini Mungu aligoma kuwasamehe?

    Wadau hamjamboni nyote? Naomba kujua kama upo ushahidi wa Maandiko kuthibitisha madai kuwa Shetani na Malaika zake baada ya uasi mbinguni waliamua kumlilia Mungu wao awasamehe ila aligoma? Nimeweka nukuu ya Mama Hellen G White Nabii wa Wasabato hapo chini. "After Satan was shut out of heaven...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Je, madai ya Nabii Hellen White kuoneshwa saa na siku ya kurudi Yesu yana ukweli wowote

    Wdau hamjamboni nyote? Nimeweka nukuu ya Nabii Mke wa Waadventista Wasabato Hellen G White akidai kuambiwa saa na siku ya kurudi kwa Yesu Kristo katika njozi "As God has shown me in holy vision ... we heard the voice of God like many waters, which gave us the day and hour of Jesus' coming"...
  17. JamiiForums Tanzania Kesi ya Mirathi ya Dkt. Likwelile: Vicky Kamata ashindwa, mahakama yasema ndoa yao haikuwa halali

    Vicky Kamata ameungukia pua kwenye kesi ya mirathi ya aliyekuwa mume(danga) wake Dr. Servacius Beda Likwelile. Mahakama imesema ndoa hiyo haikuwa halali kwa sababu Dr. Likwelile alikuwa ameoa hapo mwanzo na hajawahi kutalikiana na mke wake. Hivyo ndoa ya Vicky Kamata haikuwa halali na hivyo...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali yatoa ufafanuzi kuhusu madai ya Wakulima kudai kucheleweshewa malipo ya Mahindi

    Wakulima wa maeneo mbalimbali Nchini waliofanya biashara na Serikali kupitia Bodi ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko mnamo Agosti 2023, na kuahidiwa kulipwa ndani ya siku 5 za kazi (Agosti 21 hadi 25, 2023) wamesema hawajapata malipo yao na hakuna maelezo kutoka idara husika. Wamesema mazingira...
  19. JamiiForums Tanzania Iran yakamata meli ya mafuta yenye bendera ya Tanzania kwa madai ya kusafirisha mafuta kwa njia ya magendo

    Iran seizes Tanzania-flagged tanker for alleged oil smuggling Iran has seized two oil tankers allegedly carrying smuggled fuel in the Gulf and arrested their crews, state television announced on Friday. "The Revolutionary Guards naval forces seized two ships over the course of the last two...
  20. JamiiForums Tanzania Ushahidi waanza Kutolewa kuhusu madai ya kuwepo Kwa Alliens na UFO

    Kwa muda Sasa kumekuwa na mijadara hisia mingi kuhusu kuwepo Kwa viumbe wa ajabu kutoka sayari za mbali "Aliens", pamoja na technolojia yao ya usafiri almaarufu kama UFO(unidentified flying object). Dhana hii imekuwepo sana uko Marekani Kwa muda na wakeleketwa wa hii hoja wamekwenda mbali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…