mada

Mada is a term from both Hindu theology and Hindu mythology. It is one of the Arishadvargas.

View More On Wikipedia.org
  1. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mada maalum: Tuijadili Tanganyika

    Kwa mapana yake Tulipotoka Tulipo na tuendako Tupopatia tulipokosea na tulipoumizwa Tulipopotea, tulipokengeuka, tuliporubuniwa na tulipojisahau Tuwajadili pia wazalendo waliojaribu kuipigiania Tanganyika. Timu ile ya G55 original, Rev. Mtikila na Akina Mwabukusi kwa sasa Tuyajadili kwa undani...
  2. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Kwanini mada zinazohusu mambo ya "kiroho", "utajiri", "majini", wakati mwingine zinapigwa "pini" zisiongelewe?

    Leo katika pitapita zangu humu nakutana na mada mbalimbali zinazohusu mambo ya kiroho ..mambo ya majini, n.k, lakini kwa namna ya ajabu mada hizo ama stori hizo mtu anayesimulia ambazo husema ni za kweli, hua hazimaliziki, zinaishia katikati, mara nimesoma kwingine mtu anasema alipokea maelekezo...
  3. Fbn

    JamiiForums Tanzania Jamiiforum naomba kujua kuna ukweli gani kwa nini mada ambazo uzushi wa ccm ya serikali zinakuwa jamiicheki ila zikiwa serikali zinafutwa

    Ili jambo naomba kuuliza maana siku hizi unaweza kujaza maneno ukaishia kufutwa uzi. Mfano huu na bado mnaweka mada kudai kama uzushi
  4. Jackpiano

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya mawazo jinsi inavyo weza kugeuza fikra kua nguvu ya mabadiliko

    MADA: Nguvu ya Mawazo – Jinsi ya Kugeuza Fikra Kuwa Nguvu ya Mabadiliko Watu wengi wana uwezo mkubwa wa kufikiri, lakini si wote wanaojua namna ya kutumia nguvu hiyo ya kiakili kuleta mabadiliko chanya kwenye maisha yao na ya wengine. Kama wewe ni mtu anayewaza sana—great thinker—basi huu...
  5. Palac

    JamiiForums Tanzania MADA: Uvaaji wa Vikuku Miguuni kwa Wanawake Mtazamo wa Jamii Yetu

    Uvaaji wa Vikuku Miguuni kwa Wanawake – Mtazamo wa Jamii Yetu Wakuu, natumai wote mpo salama. Leo naomba tujadili jambo ambalo linaonekana dogo lakini linagusa maadili, utamaduni na mitazamo ya kisasa uvaaji wa vikuku miguuni kwa wanawake, hasa wanapoviacha vionekane hadharani. Katika baadhi...
  6. Fbn

    JamiiForums Tanzania Tukisema sisi labda mtafungia mada zetu sikilizeni huko Kenya wanachokisema

    Wakenya wana uhuru wa kuhoji embu sikilizeni hii video mpaka mwisho.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mada maalumu ya magari, ufundi, garage, spareparts na kufahamu aina ya magari na huduma zake

    Habari za leo wadau wa JamiiForums! Kama unamiliki gari na unahitaji huduma bora, salama na za kuaminika, basi JERRY SPARE PARTS AND SERVICES ni sehemu sahihi kwako. Tunajivunia kutoa huduma bora zinazojumuisha uuzaji wa spea parts za magari, matengenezo ya magari katika garage yetu ya kisasa...
  8. Jackpiano

    JamiiForums Tanzania Hatua na Taratibu za Kupata Leseni ya Udereva Tanzania

    Title ya Uzi (Mada): Hatua na Taratibu za Kupata Leseni ya Udereva Tanzania Napenda kujua kwa undani juu ya jinsi ya kupata leseni ya udereva hapa Tanzania. Maswali yangu makuu ni: Ni vigezo gani muhimu vinavyohitajika kabla ya kuanza mchakato? Ada ya malipo TRA ni kiasi gani kiasi gani kwa...
  9. Setfree

    JamiiForums Tanzania Duh, walokole mnatuchosha - mnatuboa na mada zenu!

    Nyimbo za matusi na uasherati zikichezwa kwa sauti mitaani, watu wanacheka tu. :D :D Harusi zenye pombe na mabinti waliovaa nusu uchi zikifanyika kila wiki, watu wanasema "ndiyo maisha." Filamu za mapepo na uchawi 'zikipamba' TV kila siku, watu wanasema "ziongezwe." Mtu akijenga bar kila...
  10. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mada ya ushirikina: Miongozo namna watu wanavyoumizwa kwenye ulimwengu usio na ithibati za kisayansi

    Ni mpaka yakukute haya mambo ndio unaweza kukaa chini na kuanza kuyatafakari kwa kina Ushirikina hauna ithibati za kisayansi LAKINI UPO na unafanya kazi Ushirikina ni kama moshi.. Upo una uona lakini huwezi kuushika Ushirikina ni kama akili.. Unayo lakini huwezi kumuonesha yeyote.. Ni matokeo...
  11. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kwa kuchambua mada zao humu JF tutaweza kuwatambua wale makomandoo wa Yanga

    Namba Moja ni Labani og , alikuwa kabebwa kwenye boda na ngara23 . Shadeeya na Numbisa walikuwa kwenye IST wakichukua tukio zima Kwa Tekno zao. 😃😄😆😂
  12. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mrejesho utakanao na mada za ubunifu

    Baada ya miezi miwili na ushee ya kupost mada za ubunifu kwenye majukwaa mbalimbali hasa jukwaa la makazi na ujenzi na kidogo ujasiriamali.. Hatimaye picha zimeanza kupungua sasa Dhima ya hizi mada ilikuwa kuamshq udadisi, kuchagiza ubunifu na kusherehesha sanaa ya ubunifu kwenye majukwaa...
  13. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Kwanini mada za mapenzi na mahusiano zinatrend Sana?

    Hii inakera sana na inanichukiza natamani niache kuingia social networks au kusikiliza main stream media au kuangalia main stream media kwa huu ujinga ambao unatrend yaani all the time and all the day mijitu inazumgumzia ngono ngono ngono,mapenzi,usaliti na upumbavu ungine kama huo yaani...
  14. Fredrick Nwaka

    JamiiForums Tanzania TBC YAJA NA KIPINDI KIPYA CHA MADA KUU

    Shirika la Utangazaji Tanzania TBC kupitia luninga ya Taifa TBC 1 limeanzisha kipindi kipya Kiitwacho “MADA KUU”. Ni kipindi kinachohusu mijadala moto moto kuhusu masuala mbalimbali yanayojiri katika jamii iwe ni siasa, uchumi, michezo, uongozi n.k Tayari TBC imejizolea umaarufu miongoni mwa...
  15. Setfree

    JamiiForums Tanzania Masters and PhD holders, mpoo? Karibuni tujadili mada hii

    The Responsibility of Open Discourse The tagline of our Jamiiforums declares, "Where We Dare to Talk Openly." Yet, does unfettered expression justify indiscriminate speech? Intellectual freedom, when devoid of restraint and wisdom, risks devolving into chaos, undermining the integrity of...
  16. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Marine time: Mada maalum ya viumbe maji, uoto, mazao kwenye mito, maziwa na bahari

    🌱🌱 Chumvi ya Baharini {Ile ya Mawe) husaidia kuponya Wenye changamoto ya ngozi (eczema) na ukoma Chunusi Psoriasis Inasaidia follicles za nywele kukua Hurudisha Utumbo Uliojikunja Inaua Bakteria Inaua Fangasi aina ya Mould Inaondoa fangasi aitwaye candida yeast Husaidia ktk usagaji chakula...
  17. Magical power

    JamiiForums Tanzania Mada kuu: Matambiko

    MADA KUU: MATAMBIKO Mada ndogo: KUTEMBELEA MAKABURI. Somo linaendelea . . . Makaburi ni makao ya roho za mababu (mizimu) ambao hawajazaliwa tena kwenye miili mipya (reincarnate) na ambao nafsi na roho zao (spirit-soul body) hazijaachana au hazijatengana. Kwa kawaida, mtu ni roho yenye nafsi...
  18. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Nimechoshwa na mada za Mbowe vs Lissu

    CHADEMA yenyewe inaelekea shimoni, hizi mada za Mbowe vs Lisu zimetuchosha. N.b. MODS: Hii si complaint, ni hali ya wana JF wengi, kuna kero nyingi kama ajali za kila siku.
  19. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Mada ya ndege

    Picha za ndege na majina yao zitakuwa katika uzi huu
  20. chiembe

    JamiiForums Tanzania Nani kamuelewa Mwamakula? Kuna mada anasema kuna baadhi ya taarifa enzi ya JPM zilikuwa classified, asingeweza kuzitoa, alijuaje? Hebu avue kinyago

    Kuna uzi hapa umeandika mambo ya enzi ya JPM kwamba Mwamakula alikuwa anapata baadhi ya taarifa, na hata wakati mwingine alitumiwa mtu na JPM. Hoja yangu imejikita pale aliposema baadhi ya taarifa zilikuwa classfied (za siri) asingeweza kuzitoa. Classified information zinalindwa na sheria ya...
Back
Top Bottom