Setfree
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 6,128
- 8,058
Nyimbo za matusi na uasherati zikichezwa kwa sauti mitaani, watu wanacheka tu. 😀 😀
Harusi zenye pombe na mabinti waliovaa nusu uchi zikifanyika kila wiki, watu wanasema "ndiyo maisha."
Filamu za mapepo na uchawi 'zikipamba' TV kila siku, watu wanasema "ziongezwe."
Mtu akijenga bar kila mtaa, wanasema "ana juhudi sana."
Ibada ya mkesha ikifanyika mara moja kwa mwezi, wanasema "walokole wamezidi kelele!"
Hao hao wakiona video za injili kila social media, wanasema "walokole mnatuchosha!"
Duh, kweli
"Mtu ambaye hana Roho hawezi kupokea mambo yanayotoka kwa Roho wa Mungu, kwa kuwa ni upuzi kwake, naye hawezi kuyaelewa kwa sababu hayo yanaeleweka tu kwa upambanuzi wa rohoni."(1 Wakorintho 2:14)