Ni haramu sio haramu?
Uharamu wake unatokana na nini?
Je kuna mazingira haramu inaweza kuwa halali?
Je ndio nyama tamu zaidi duniani?
Je ndio nyama inayoliwa zaidi duniani?
Je ni kweli ndio nyama inayobeba magonjwa mengi?
Je ni kweli inafukuza mapepo na kusafisha nyota?
Je ni kwanini mganga...
Naibu wa Waziri wa Afya, Mhe. Dkt. Florence Samizi (kulia) akitoa mada katika Mkutano wa Afya kati ya nchi za Afrika na Nodiki jijini Stockholm, Sweden.
Wanasayansi kujikita zaidi kwenye quantum technology za hesabau mpaka sasa kwenye nyota yetu solar system tumefikisha sayari zaidi ya 5900 na zengine zikiendelea kutambuliwa .
Hii yote ni mapinduzi ya hesabu na teknolojia ambazo wagunduzi wamechangia.
Kuna kitu mpaka sasa kina wapa maulizo...
BAJAJI ZA UMEME KWA MIKOPO NA CASH weka oda Yako sasa
Habari
Pasipo kupoteza muda naomba niende kwenye mada.
Nikiwa kama wakala wa mauzo Toka kampuni ya JAHA ELECTRIC VEHICLE INTERNATIONAL COMPANY LTD. Nspenda kuwatangazia kuwa kuna promotion ya bajaji au pikipiki za miguu mitatu zinazotumia...
Pigia kura Member bora wa JF kwa vigezo.
Mimi nimeona tuanzie kuwapigia kura hawa. Pendekeza nan aongezweKwa List
Disclaimer: Haya ni maoni yangu binafsi.
Na pia sio ushindan na hakuna zawad ila ni Kuwapa Motisha kwa kuwatambua na kuthamini michango yao.
Kwangu JF wote ni bora.
Kitima anacho sema nilisema kabla ya kitima kuwa kuna watu walizikwa wakiwa wazima ila waliitaji kutibiwa majerehaa ya risasi,wengine walipelekwa mochwari,wengine waliitaji ICU, wengine walimaliziwa kabisa kuficha ushaidi.
Na hii order ilikuwa na vikosi maalumu ambavyo mpaka wengine idara...
Habari zenu Greate Thinkers,
Naomba kutoa wito wa kukataa kusifungua/kuzisoma/kuzitolea maoni mada zote zinazoihusu ccm, kufanya hivi ni njia moja wapo ya kuonesha CCM kwamba hatuwakubali na sera zao.
Fikiria wanaendelea na kampeni zao kwa raha zao familia zao lakini wamesahau kwamba sisi...
Hiyo mada siioni tena hapa, pengine imeunganishwa na ile kuu ihusuyo Kampeni za CCM.
Mimi nawaomba wahusika mada hii wasiiunganishe huko; kwa sababu ile mada ya mkuu Stuxnet ilihitaji mjadala makini sana kujuwa ni sababu zipi hasa zinawavuta waTanzania kwenye mikutano hiyo ya kampeni.
Ingawa...
Haya makundi ni wanasiasa na viongozi wa dini ndio wanaongoza kwa upinzani wa teknolojia yani ndio wapingaji wa teknolojia.
Kuna siku nilikuwa naangalia watu wa dini yani mtu anakwambia vitu ni vya sheatani vilivyomo duniani ila cha kushangaza anayepinga kavaa nguo ambayo ni teknolojia, katumia...
Mda mzuri wa kuwachanganya watawala weusi nguvu za giza ni zile mada unaleta usiku.Wazungu na waarabu na wa asia ukifatilia walivyokuja afrika waliingia usiku au kuna pambazuka na ili ndio watu weusi kushtuliwa usiku.
DMZ ni code ya kijasusi
Kama wewe ni mwanachama active wa JF angalau kwa miaka miwili na kuna mada ikawa inazungumzwa ambayo haitegemei taaluma fulani na ukashindwa kuchangia chochote angalau 50% basi wewe ni sawa na bure na hauna haja tena ya kuendelea kutumia JF maana umeshindwa kabisa kuchota maarifa ya humu.
Humu...
Kwasasa ukitembea mitaani utakutana na vitu vingi sana vyenye nembo ya CCM ambavyo watu wamepewa bure ikiwemo baiskeli na pikipiki ambazo zilitoka muda kidogo.
Mimi najiuliza kwanini vitolewe kipindi hiki cha kampeni za uchaguzi mkuu??
Je Takukuru iko wapi na kwanini hawahoji hili...
Within the interminably oscillating palimpsest of this terrestrial concatenation, where vicissitudes writhe in kaleidoscopic infinitude and temporality itself submits to recursive aberration, there subsists an anomaly of such preternatural incongruity that the multitudes, loquacious to the point...
Huwa nakaa najiuliza, hawa jamaa wanaomtaja Magufuli kwa matusi kwenye harakati za No Reform No Election, ni waoga wanaoepuka kumkosoa aliye madarakani? Maana wamekuwa wakimsema Magufuli kila mara, lakini kwa wazalendo wengi wa nchi hii, kadri mnavyoendelea kumtaja vibaya, ndivyo mnavyozidi...
Suala la uzazi hasa kwa karne hii imekuwa ni changamoto sana. Idadi kubwa ya wanawake inakumbwa na changamoto.za uzazi kwa wakati na pengine kupelekea utasa.
Lipo jambo moja ambapo umri wa mwanamke unapoonekana kwenda sana na hakuwahi kuzaa, kuna uwezekano mkubwa apate changamoto uzazi pale...
Narudia tena: kama wewe ni ajenti wa shetani usisome mada hii, utalia. Umenielewa? Nasema hivi: kama wewe ni mtumishi wa ibilisi, ukisoma mada hii, utatoa machozi kwa sababu mada hii inafunua ukweli utakaopenya hadi kwenye mifupa. Mada hii itakutikisa, itakutetemesha na kukufanya uache ushirika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.