macho

  1. S

    JamiiForums Tanzania Chadema nawasaidia - lazima muwe na macho ndani ya serikali na vyombo vyake.

    Hamuwezi kuwa na haitoshi mnajilabu ni lichama likubwa na kinawanachama wengi sana kuliko hata CCM,tuchukulie ipo hivyo , na kama haitoshi wengi walioko huko mnafahamiana nao kwa mbali na hata kwa ukaribu mkubwa sana. Ninachojaribu kukisema mnakosaje kuwa na majasusi ndani ya chama cha CCM na...
  2. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Manyara: Mwanafunzi auawa kwa kubakwa, atobolewa macho, mwili wake watupwa shambani

    Wakazi wa Kata ya Galapo, Wilaya ya Babati mkoani Manyara, wamegubikwa na huzuni, kufuatia taarifa za kubakwa na kuuawa kikatili kwa Suzana Samweli (13), mwanafunzi wa darasa la sita ambapo wananchi wamelaani vikali na kuitaka Jeshi la Polisi kuchukua hatua za haraka dhidi ya wahusika wa tukio...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Serikali iwe macho sana na Lissu na "Watu wake"

    Kuna kundi kubwa ndani na Nje ya Chadema lilikuwa limejipanga haswa kutaka kuharibu Uchaguzi Mkuu wa Rais Wabunge na Madiwani Octoba mwaka 2025 likiongozwa na Wanasiasa "VIGOGO" Wastaafu,baadhi ya Viongozi wa Kanisa na Mawakili(TLS). Kwenye KESI ya Ndugu Tundu Antipas Lissu ya Uchochezi April...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Macho yote mawili kucheza ni ishara ya jambo gani?

    Habari zenu? Toka juzi macho yangu yote mawili yananicheza. Yani likitulia la kushoto linaanza la kulia, kwa kifupi yanacheza kwa kupokezana. hayaumi wala hayatoi machozi. Je hii ni ishara ya nini wakuu?
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kwa tahadhari tu: Wanasheria wa Lissu kuweni macho zaidi ya hivi sasa

    Tukio la Padre Kitima si la kufanyia mzaha. Iwe wake up call kwa mawakili wa Lisu kuchukua tahadhali zaidi. Maisha yenu yanaweza kuwa hatarini Kwa asiye na unafiki, ana akili za kawaida ndogo tu, by 99.9999999% wahusika unaweza ukawatambua/ ukawahisi. Bwana Mungu awawekee mkono wa ulinzi wake.
  6. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanasimba popote mlipo kuweni macho

    Wanasimba wenzangu popote mlipo hapa nchini na kwinginepo kuweni macho,adui yetu namba moja "Nyuma mwiko" ameshaingia kazini kushirikiana na RS Berkane. Sio tu naandika,Bali Nina ushahidi wa huku mtaani wapinzani wananihakikishia kua watatia mkono, lakini pia ukiingia kwenye social media...
  7. Mende mdudu

    JamiiForums Tanzania Uchawi wa macho. Upo na unaishi

    Niliwai kwenda kula mgahawani sasa nikaja na samaki wakubwa nikagiza milinda nyeuc ugali nikachukua wa bei ya juu mwingi najaziwa pale ndani kulikua na waha wana kopesha vitu kama watatu wana ongea kiluga tu, iyo siku nilicho kula hakitoki, yani spati haja ndogo wala kubwa nina six-pack ila...
  8. President of China

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Irizar ya Simba itafika lini? Au ndio changa la macho kama la uwanja?

    Ukiona mtu anaongea sana bila kutoa detailed information ujue ni mpigaji. Hizo issues alizozisema aliye win tenda ya jezi za simba 80% ni porojo tu. Hatukuambiwa lini Irizar itafika bongo ili tufuatilie, hatukuambiwa ni model gani. Vitu vyote vilivyosemwa ni ahadi hewa. Aka Virtual issues.
  9. N

    JamiiForums Tanzania YAS yazindua huduma ya Matibabu ya Macho bure kwa Wakazi wa Mbeya

    Mbeya, 18–21 Aprili 2025 – Kampuni inayoongoza nchini Tanzania katika huduma za mawasiliano na maisha ya kidijitali, YAS, kwa kushirikiana na KSI Charitable Eye Centre, imezindua rasmi kampeni ya siku tatu ya matibabu ya macho bure kwa wakazi wa Jiji la Mbeya na maeneo ya jirani. Mpango huu...
  10. OCC Doctors

    JamiiForums Tanzania Tatizo la macho kutoa machozi

    Macho kutoa machozi mara kwa mara (Epiphora). Kazi ya macho ni kulainisha, kusafisha na kulinda jicho, ikiwa yatazalishwa mengi au ikiwa kitu kitayazuia kutoka vizuri - kunaweza kuwa na tatizo la macho kutokwa machozi mara kwa mara. Tatizo linaweza kuwa la muda, lakini pia inaweza kuwa ishara ya...
  11. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Zaidi ya wagonjwa 450 wapatiwa huduma upasuaji wa macho bure Arusha

    Zaidi ya wananchi 450 kutoka maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Arusha wamepata huduma ya upasuaji wa Mtoto wa Jicho (cataract) bure, kupitia kampeni ya afya iliyoendeshwa na Madaktari Bingwa na Wabobezi kutoka nchini Hispania. Huduma hiyo, iliyolenga kuwasaidia wananchi wa kipato cha chini...
  12. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Serikali yabaini Saratani zinazoongoza Kanda ya Ziwa ni Kibofu cha Mkojo, Mji wa Uzazi wa Kina mama, Damu, macho na figo

    Mbunge wa Jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema Serikali imefanya utafiti wa kina nchi nzima kuhusu saratani na imebaini kuwa upande wa Kanda ya Ziwa saratani zinazoongoza ni ya Kibofu cha Mkojo, Mji wa Uzazi Kina mama, Damu, macho na figo. Ameeleza kuwa visababishi...
  13. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kutana na Chura wa mitini wenye Macho mekundu - Nature's Neon Ninja!

    Kwa miili yao yenye rangi ya kijani kibichi, macho mekundu ya kumeta-meta, na michirizi nyororo ya bluu-na-njano, Vyura wa Mitini Wenye Macho Mekundu wanaonekana kana kwamba waliruka moja kwa moja kutoka kwenye misitu ya mvua! Wakiwa wenye asili ya misitu ya kitropiki ya Amerika ya Kati, vyura...
  14. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kamati ya wazee ishamaliza kazi hapa Kwamsisi, Simba anaua kuanzia goli 4, hamtoamini macho yenu

    Usiku kucha wa kuamkia leo kimepigwa kisomo kikali hapa kwamsisi na wazee washatoa go ahead tuwahi Dar es salaam tukashuhudie goli zetu 4 kuoanda juu. Kama una roho mbaya kama hao utopolo baki nyumbani Baraka Mpenja atakusimulia namna goli 4 kwenda juu zilivyopatikana. Narudia tena, goli ni 4...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Tanga mihogo ina kemikali hatari ya sayanaidi inaathiri mishipa ya ufahamu mwilini hasa macho

    Wadau hamjamboni nyote? Wakazi wengi Tanga wameathirika macho yao kutokana na ulaji mkubwa wa mihogo
  16. NYOLODO

    JamiiForums Tanzania Tatizo la macho, jicho kutoa kinyama juu

    Wakuu kwema? Kuna changamoto hapa jicho limetoa kijipu kina takriban miezi mitatu hakiponi wala hakipotei kama kilivyoadiriwa. Ni dawa gan inatibu hili? Cc. DR HAYA LAND
  17. M

    JamiiForums Tanzania Serikali itupie macho huduma zinazotolewa hospitali ya wilaya ya Maswa.

    Utoaji wa huduma duni za afya katika hospitali ya wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu unaweza kuwa na sababu nyingi, na si lazima lawama zote ziwe kwa mganga mkuu wa wilaya,Dk Hadija Zegega moja kwa moja, japokuwa yeye ni mmoja wa wasimamizi wakuu wa huduma za afya kwenye wilaya. Hospitali hiyo ina...
  18. Bueno

    JamiiForums Tanzania Espionage: Jasusi anapopokonywa Data zake kichwani akiwa amelala huku akijihisi km yupo Macho kumbe yupo usingizini?

    Nauliza tu hivi umeshawahi kulala kisha ukaanza kuota kwenye ndoto ukiwa unaona mazingira ni halisi kabisa bila kujua kwamba upo ndotoni ghafla bin vuu ndoto inaanza kuchangamka unajikuta aidha kwa kukasirishwa au kufurahishwa aidha unaanza kuongea katika hali kujitetea au unaanza kucheka bila...
  19. No Escape

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi. Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua...
  20. Kinau Michael

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuboresha afya ya macho pasi kutumia dawa za hospitali?

    Natumahi mko salama ndugu na rafiki zangu: Naomba kufahamishwa majibu ya jambo ambalo limekuwa likinitatiza kulifahamu kwa kipindi cha muda sasa. Je, naweza kuboresha afya ya macho kwa kutumia vyakula gani bila kutumia dawa za hospitali? maana nimejaribu kutumia Juice ya Karoti lakini sioni...
Back
Top Bottom