Macho yote mawili kucheza ni ishara ya jambo gani?

Macho yote mawili kucheza ni ishara ya jambo gani?

Wasiliana na Wataalam wa afya za akili toka Hospitalini Mirembe, usiporudi kunishukuru hapa JF kamwe usijejilaumu kwanini unasotea laana usizofahamu vyanzo vyake maishani daima.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Habari zenu?
Toka juzi macho yangu yote mawili yananicheza.
Yani likitulia la kushoto linaanza la kulia,kwa kifupi yanacheza kwa kupokezana.hayaumi wala hayatoi machozi.
Je hii ni ishara ya nini wakuu?
Ingekuwa miaka ile "golden age" ya JF(2013 kurudi nyuma), huenda ungeshapata majibu sahihi ya swali lako.
Ila kwa hichi kizazi cha hovyo, tegemea dhihaka, kejeli, na majibu ya kipuuzi mengi.
 
Kuna mtu wako wa karibu anaenda kufa ilinitokea hiyo hali 2018 my brother akafa kemea hiyo roho ya mauti....
 
Mkuu! Jiandae kukamatwa na PT kama alivyofanyiwa MN wa mbeya.
 
Habari zenu?
Toka juzi macho yangu yote mawili yananicheza.
Yani likitulia la kushoto linaanza la kulia,kwa kifupi yanacheza kwa kupokezana.hayaumi wala hayatoi machozi.
Je hii ni ishara ya nini wakuu?
Mimi huwa inanitokeaga sana na yakitulia kwa siku mbili lazima nipate taarifa ya msiba hata wa mtu wa karibu au ninaemfahamu
 
Hakuna kitu chochote, kama yanacheza sana nenda hospital kaonane na daktari.

Ila kama unaamini ni uchawi basi itakua hivyo. Kama unaamini ni majini yapo karibu yako yanakua ivyo, kama unaamini ndugu yako anakusema inakua ivyo. Imani ya vitu vya kijinga ni kujiumiza kichwa bure na kuelekea kwenye ukichaa kamili.
 
Hakuna chochote unusual hapo. Vitu kama Stress, anxiety, depression, lack of sleep, dry eyes, eyes strain, mambo ya allergies vyote hivi vinaweza sababisha Hilo jambo. Ukiona vinazidi nenda hospitali, watu wengi tu tumetokewa na Hilo na huwa baada ya muda kidogo vinaacha na maisha yanasonga kama kawaida.
 
Hakuna chochote unusual hapo. Vitu kama Stress, anxiety, depression, lack of sleep, dry eyes, eyes strain, mambo ya allergies vyote hivi vinaweza sababisha Hilo jambo. Ukiona vinazidi nenda hospitali, watu wengi tu tumetokewa na Hilo na huwa baada ya muda kidogo vinaacha na maisha yanasonga kama kawaida.
Mimi pia nina kitu kama hicho macho yangu kuchezacheza tangu miaka 10 iliyopita na nilivyokwenda hospitali walinipa miwani nikachukua nikaanza kuivaa kwa miaka kadhaa ila sikuona unafuu wowote nikaachana nayo,hadi sasa hivi nimeizoea hiyo hali.
Hivi hii chanzo inaweza kuwa nini
 
Most likely ni hypnotism. Utashangaa, illiterate people hypnotizing you even though they don't know the meaning of the word " hypnotism"
We could list these trances. Zipo tano
1.Mimi napinga sana hypnotism isipokuwa kama tahadhari kubwa ikichukuliwa,kwa maana ikiwa umewekwa katika hypnotic trancena mtu asiye na uzoefu anaweza kuwa na hofu nyingi sana akijiuliza ikiwa utakuwa sawa, atajiuliza kama anaweza kukuondoa kwenye trance, nk. Hypnotic trance ni passive trance, ambayo husababishwa na mlolongo wa strong suggestions ( pendekezo zenye nguvu), pamoja na imani aliyo nayo mtu kwamba yeye anaweza kuwa hypnotized. Kwa kweli, wakati mtu amekuwa hypnotized hali ni sawa na wakati mtu ana macho ya makengeza ( cross-eyed)tofauti kwa sababu etheric double inakuwa out of synchrony with the physical body
Ikiwa utapata hypnotist mbaya anaweza kufanya uharibifu mkubwa, anaweza kukudhuru kwa miaka. Kwa mfano,huwezi kwenda kwa daktari wa upasuaji ambaye alikuwa amejifunza mbinu yake ya upasuaji kwa kuchukua kozi ya mawasiliano, unataka mtu ambaye anaweza kufanya kazi kwa hakika na kwa ufanisi. Kwa hivyo—kwa ajili ya afya yako ya mwili na ya na akili, usiruhusu wasio na ujuzi waingilie wakuchezee. Iwapo unataka kwa sababu fulani, au kwa sababu fulani unahutaji kuwa hypnotized, basi wasiliana na shirika la matibabu katika eneo lako na wataweza kukuambia kuhusu daktari ethical hypnotist ambaye amefunzwa chini ya hali uangalifu. Unaweza kufikiri kwamba ninasisitiza bila sababu hatari za hypnotism, lakini—oh! Unapaswa kuona baadhi ya barua ninazopokea kuhusu madhara ambayo yamesababishwa na watu , walaghai ,wahalifu. Kumbuka kwamba unapokuwa hypnotized roho yako inasukumwa nje ya sanjari synchrony)na vituo vya ufahamu wako.

2.Kwa upande wa medium, mara nyingi ni watu ambao huingia katika hali ya ndoto ya trance, hali ya ndoto ya hypnosis, labda bila kujua wanajihypnotizev wenyewe ili wawe hyper suggestible na katika hali kama hiyo wanaweza kutumika kama simu na watu wa upande mwingine wa maisha. Lakini kumbuka tulichosema, kile tulichojifunza pamoja kuhusu roho zisixo na mwili. Watu wazuri sana ambao wamepita huko wana shughuli nyingi sana hivi kwamba hawawezi kupoteza muda wao kutoa ujumbe kwenye mikutano.

Chini ya hali fulani, bila shaka, mtu unaweza kuwa na mtu mwenye ujuzi sana na mwadilifu ( conscientious)ambaye anaweza kuingia kwenye maono haya katika hali ya kimwili na bado kubaki macho katika astral, na hivyo anaweza kusimamia aina ya mtu ambaye anatoa ujumbe kwa kikundi cha sitters hapa chini. Hii ni chombo muhimu sana wakati mtu anafanya utafiti wa kina, lakini ni muhimu iwepo kimya na seance isiingiliwe ghafla na mtu yeyote.

Katika trance ya pili, mediumistic trance,ina maana unaweza kumuuliza mtu aliyeuawa,nani amekuua?
Umeona inasema hapo usitegemee utaingia katika hii trance halafu Yesu ataongea na wewe au Mungu ataongea na wewe. God is too busy for such things.
 
Ingekuwa miaka ile "golden age" ya JF(2013 kurudi nyuma), huenda ungeshapata majibu sahihi ya swali lako.
Ila kwa hichi kizazi cha hovyo, tegemea dhihaka, kejeli, na majibu ya kipuuzi mengi.
Jf kila uchwao inapoteza mvuto. Mimi mwenyewe nilikuwa sitamani hata siku ipite sijaingia. Lakini sasahv ukiingia ni ngono mwanzo mwisho ukihoji wanakqambia kuna jukwaa la kilimo nenda kule.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom