Mimi siyo mwanasiasa!
Kwa wale wasionijua niwafahamishe tu mimi ni Fundi umeme na ujenzi natambulika popote kama chata la fundi SAMICO!
Uchaguzi wa CHADEMA umenifanya nimtafakari sana binadamu!
Ndipo nikakumbuka moja utafti wangu nilioufanya kipindi niko nachunga ng'ombe huko Hanang...
Jana usiku nilikua na drive nje ya mji...nikaona dot 2 zinawaka kwa mbele, hatimaye nikagundua ni fisi amechill pembeni ya barabara... TAPETUM LUCIDUM ni layer yenye asili ya mng'ao iliyopo nyuma ya retina katika jicho la kiumbe hai. Sio viumbe wote wanayo, hii wamepewa viumbe baadhi ambao wapo...
Mahali ni utumwa kwani mwanamke auzwe kama mzigo au bidhaa Waafrika tufunguke tuzitoze mali watu kama wamependana tuwape baraka na sio tuendeleze utumwa.
Ndoa nyingi sana zinavunjika kwa sababu ya hii kitu watu wakifunguka macho wakaacha hii hakuna ndoa itakayovunjika upendo utatamalaki...
Nimetoka Lindi leo kabla tu ya mchana na basi letu limeenda mwendo mzuri tu! Hata Vikindu foleni haikuwepo.
Saa kumi na nusu ndo tunaikuta foleni ya Kongowe, imeanzia nyuma ya shule ya St Matthews. Hiyo foleni imechukua dk kama 45 hadi kufika makutano ya Kongowe kwenda Kigamboni.
Kwenda...
ikitokea umekutana na mwanamke akakuvutia kwa mara ya kwanza na ukamtazama directly machoni/usoni.
Basi tambua ubongo wa huyo mwanamke unaanza kukudescribe papo kwa hapo kama unafaa kuwa nae au hufai, na baadae huyo mwanamke hukaa na kukufikiria kisha atajipa jibu yeye mwenyewe kama ni YES au...
Mwaka 1994 Bashar aliitwa nyumbani kutoka Uk alipokuwa akipata doctorate katika fani ya ophthalmologist. Mwito huu ni kutokana n kifo cha kaka yake Bassel katika ajali ya gari, Bassel ndio aliyekuwa akiandaliwa kupokea madaraka.
Baba yao dictator aliyebadilisha jina la ukoo wake kuwa al Asaad...
Naombeni mnisaidie nimechoka kuwa mjuaji na kuumiza kichwa changu kwa swali ambalo wadau wana maswali aisee hivi kwanini nyoka hana miguu na anatembea na yawezekana anakimbia kuzidi binadamu? Na pia kwa jongoo hana macho na anatembea bila hata kujigonga na wala hatembei na fimbo? ?????
Vijana wanajifariji eeeh maisha popote ilimradi mkono uende kinywani.
Kijana bila aibu na kimeza chake cha matunda anasema Mimi nina degree. Are you mad?
Kama ungetaka kuwa muuza matunda ungeishia DARASA la kwanza tu au la pili.
Hesabu za darasa la pili zinatosha kwa mfanyabiashara wa matunda...
Sio siri viwanda ambavyo kuna Wahindi kuna unyonyaji mkubwa sana. Nabaki kushangaa jinsi ambavyo hawa Wahindi kwanza ni wageni katika nchi yetu lakini wanawanyanyasa sana watz mishahara midogo sana.
Unamlipaje mtu kutwa elfu 7 yaani atoke asubuhi mpaka jioni saa 11 unampa elfu 7?
Hakuna...
Hii ni alama inayoonesha mtu huyo ameathirika na virus vya ukimw na hutokea kipind virus vina zaid ya miaka miwil kitaalamu tezi hiz huvimba kama ishara ya kukusanya virus na kuwarundika sehwm moja kutengeneza uvimbe yaan kama dead cell usaha uchafu virus na nk
Hii hutokea kwa wanawake na...
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo anayeshughulikia Ushirika na Umwagiliaji, Dk. Suleiman Serera serikali haitamfumbia macho yeyote atakayechezea Sekta ya Mkonge kwa namna yoyote kwani sekta hiyo mtambuka ni ustawi wa maisha ya Watanzania wengi wa kaliba na kada tofauti.
Dk. Serera amesema...
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimeshtushwa na video zinazozunguka mtandaoni zikionyesha jaribio la utekaji dhidi ya Ndugu Deogratius Tarimo, mfanyabiashara na mkazi wa Kibaha, mkoani Pwani, tukio lililotokea nje ya hoteli ya Rovvenpec Resort, Kiluvya Madukani, Wilaya ya Ubungo, Dar...
Jana jioni nilikaa eneo fulani nikiwa napambana na hamu ya kunywa bia (nimeacha ulevi ila day by day sio rahisi kusema kweli) nikasikia makelele Bar ya jirani. Ingawa sio mpenzi sana wa mpira, nikasema nijongee nione nini kinaendelea. Nikiwa pale, nikaambiwa Yanga ipo ICU, hivyo nikakaa kuona...
Leo hii Israel ina:
50% Middle Eastern Jews.
Hawa ni wale ambao walikuwa wametapatapa katika nchi za mashariki ya kati na wachache sana walikuwa wamebaki Israel wakiishi kwa kubaguliwa. Hatimae walirudi nyumbani baada ya kuzaliwa upya kwa taifa la Israel 1948 na pia wengine walirudi Israel...
Tanzania ushoga upo na kama hili swala halitadhibitiwa mapema yawezaka ikachukua kizazi kizima (wastan wa miaka 100) kutokomeza kulithibiti
Siku hizi wana majina yao wanajiita watoto wa kimjinimjini wapo TikTok, telegram, Facebook na Instagram.
Zamani kupata mtoto wa kiume ilikua furaha...
Tume ya uchaguzi ipo chini ya CHAMA x
Mwenye kiti wa tume ni mteule wa CHAMA x
Wasimamizi wa uchaguzi ni wajumbe wa CHAMA x
Polisi wanaosimamia uchaguzi ni wa CHAMA x
Usalama wa taifa upo upande wa CHAMA x
Bajeti ya uchaguzi inatolewa na CHAMA x
Vifaaa na vyombo vya usafiri kwa ajili ya...
Kuna tatizo kubwa Kwa Afisa Utumishi wa HALMASHAURI ya KARAGWE hasa katika suala la kuhudumia watumishi.
Inajulikana kuwa Serikali kupitia wizara ya Utumishi wa Umma imetoa nafasi Kwa watumishi Kwa ambao wanahitaji kuhama ili kufuata wenza wao, waombe uhamisho ila kwa Karagwe, Afisa Utumishi...
Niliwaambia na nitawaambia kuwa shetani ndiye Mungu wa Dunia hii. Na ili akupe vya Dunia hii au akupe miliki yake lazima umsujudie. Wasanii wetu wanachotaka ni aidha pesa au umaarufu na hivyo vyote ibilisi anavyo. Ukimsujudia (kukubali amri zake) anakupa pesa nyingi na umaarufu anakupa.
Hawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.