macho

  1. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Hakuna anayemhujumu Rais Samia. Wananchi kwa macho yao wanaona namna anavyoboronga ila hawana mbadala kwa sasa

    Bei ya vya vyakula ni mateso raia wa kawaida sasa ni mateso kuishi Tanzania kwa raia wa kipato cha chini. Maana kula imekuwa anasa. Wale mabwenyeye CCM wasio na huruna na raia wanyonge wameshika hatamu. Maana umeme kero,.maji kero ajira kero na amayeumia ni mlalahoi. Madeni ya taifa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Tupeane elimu ya macho katika ulimwengu huu wa Kidigitali

    Habar wakuu, Nadhani sisi wote tunatumia digital devices lakini shida ya hivi vifaa vinasababisha matatizo ya macho lakini ajabu ni kwamba wapo watu wameajiriwa kama secretary au developers muda mwingi wapo on screen na hawana miwani au matatizo ya macho, sasa najiuliza hawa wanawezaje...
  3. Upekuzi101

    JamiiForums Tanzania Gari imekosa mwelekeo, abiria wanatoa macho kuangalia inapokwenda kuangukia

    Wakati unakuja watanzania wataishiwa uvumilivu kwa kuona Mali zao na nchi yao ikiuzwa pasina wao wenyewe kuridhia. Ni kama kufumba na kufumbua maji hayapatikani tena wakati ilo jambo lilishasahaulika, umeme siyo wa uhakika tena sasa watanzania hawajui mwekezaji gani atakuja kuwekeza kwenye nchi...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Madereva wa mabasi Nyegezi wakimbia kupimwa ulevi na macho

    Jeshi la Polisi kikosi cha usalama barabarani mkoani Mwanza, linawasaka Madereva zaidi ya 10 wanaoendesha magari ya mikoani na nje ya nchi waliokimbia kupimwa ulevi pamoja na macho katika kituo kikuu cha mabasi cha Nyegezi. Mkuu wa kikosi cha usalama barabarani mkoani Mwanza Sunday Ibrahimu...
  5. britanicca

    JamiiForums Tanzania Chama changu CCM mkitaka tusiwe wapinzani groom Vijana wengi ila kwa sasa macho yenu yaweke kwa Vijana hawa

    Chama changu cha Mapinduzi Tukitaka kuendelea kuongoza nchi tubadili mbinu Hakikisha hatuweki mtu anayetumia nguvu kubwa kijibrand badala ya kazi kumbrand, kuna Vijana ambao kwakweli tuwe wakweli wanapiga kazi na wanakubali wanapokosea, wako humble Kwa wananchi , na ni wasafi Narudia ni wasafi...
  6. Bridger

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Ulaji wa Chips husababisha ugonjwa wa Macho

    Chips ni chakula maarufu sana kinachotumiwa na watu wengi, hasa vijana. Baadhi ya watu huamini kuwa chakula hiki husababisha ugonjwa wa macho hasa kutoa machozi, maumivu ya mishipa ya macho pamoja na upofu. Je, kuna ukweli wowote kuhusu madai haya?
  7. M

    JamiiForums Tanzania (Ukraine) anajisifu: Ngumi kumi, nimekwepa tisa ni moja tu ndio ilinipata, kinachoonekana dogo amechakaa usoni, uso umevimba na macho hayaoni!

    Kiuhalisia Ukraine inachakazwa sana!! Ila vyombo vya magharibi vinapotosha ili kukwepa aibu ya kushindwa kuilinda ukraine kupitia air defenses walizopeleka huko! Asilimia 80 ya mji mkuu kiev hauna maji, na umeme na kila jimbo la ukraine hali ni mbaya hawana maji na umeme!! Kisa dogo...
  8. bioto

    JamiiForums Tanzania Macho yako yaniita kwako sioni kasoro

    Wakuu poleni na majukumu naombeni msaada was kupata hi nyimbo ya bongo fleva yenye mistari ''sura yako inaiita kwako...macho yakoyananiita kwako sioni kasoro...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Asilimia 4 ya Watanzania wana matatizo ya macho

    Asilimia 4 ya Watanzania wana matatizo ya macho huku zaidi ya asilimia 90 ya matatizo hayo ya macho yanatibika. Amesema Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel alipokuwa akizungumza na wananchi mara baada ya ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassm Majaliwa kuzindua jengo la...
  10. Narumu yetu

    JamiiForums Tanzania Special military operation (SMO) ya Urusi ni 'changa la macho'

    Wanaofahamu maana ya SMO watashangaa sana ,huu uvamizi kuitwa SMO, kwanza SMO lazima ifanywe na special force(SF). Kwa putin tumeshuhudia kikosi ambacho kiukweli ni jeshi lisilo na mafunzo maalumu na isitoshe unafanya mobilazation kwenye SMO. Ninavyofahamu SMO ikifeli ndipo jeshi kamili...
  11. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Funga macho, vita picha katika fikra kwamba umeweza kuishi mpaka 2100, ni kitu gani unakiona ?

    Nafunga macho naanza kuvuta picha kwamba kama ntafika mwaka 2100 1. Bangi imeruhusiwa karibu Kila nchi, ni bidhaa unayoweza kuipata hata Kwa Mangi na kutumia hadharani. 2. Jiji la dar limepanuka sana, Mlandizi pamebomolewa na kujengwa upya, maghorofa kibao 3.Smartphone zitakuwa kama...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Law School kufumbia macho tuhuma zinazowakabili haikubaliki

    Kumekuwa na tuhuma mbaya sana kuihusu LST na kwa muda mrefu. Hii ni taasisi ya umma na yeyote afanyaye kazi pale ni dhamana tu. Kwa mahitaji ya ufafanuzi tuhuma hizi ziliorodheshwa kwenye uzi huu hapa chini: Dokezo - Tuhuma za Siasa chafu "Law School of Tanzania" wahusika wajitokeze kuzijibu...
  13. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Upofu na uoni hafifu

    Takwimu za Shirika la Afya Duniani (WHO) zinaonesha uwepo wa watu takriban bilioni 2.2 wenye changamoto za macho zinazohusisha upofu na uoni hafifu. Kwa kiasi kikubwa, changamoto hizi zinaweza kuepukika kwa kushughulikia vizuri magonjwa yanayoweza kudumaza afya ya macho mfano kisukari na...
  14. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Ameshasaini tayari sasa tuelekeze macho Ukraine

    MWAMBA Putin signs unification treaties for new regions The Russian president has signed agreements on accepting four former Ukrainian territories into Russia Putin signs unification treaties for new regions The Russian president signed into law four unification treaties with the Donetsk and...
  15. otembei

    JamiiForums Tanzania Serikali tupieni macho usafiri wa Kamanga Ferry Mwanza

    Wizara inayoshughulikia vivuko ndani ya ziwa victoria na Serikali mkoani Mwanza tunaomba mtupie macho wananchi tutakufa. Hali ya bandari siyo rafiki kwa usafirishaji. Kwa wasafiri wa kivuko cha KAMANAGA FERRY kutoka Mwanza Kamanga na Sengerema tunatabika sana hiloeneo ni barabarani watoto...
  16. Monica Mgeni

    JamiiForums Tanzania Nyepesi: Huwezi amini lakini CHADEMA wamefikia hapa...Yetu macho

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinaendelea na vikao vya ndani ambavyo vilianza kurindima tarehe 17/09/2022. Sasa tazama hizi picha kisha tafakari nini namaanisha.
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Sijui na London pia kutatokea Fursa ya 'Kupaishwa' kama ya Nairobi ili 'niwarembulie' zaidi na 'Macho Kungu' yangu..!!!!

    Ikitokea nitaamini kuwa kweli Wasukuma wana Dawa Kali ya Mvuto mbele ya Wageni wanazowapa Wageni wao hasa hasa Wasio Wasukuma japo Dawa ya Kutuliza Hasira ya Tozo Kali kwa Watanzania mpaka hii leo wameikosa.
  18. Narumu yetu

    JamiiForums Tanzania Modi kamchana live Puttin uso kwa uso bila kupepesa macho

    Huyu mwamba namwaminia sana kwenye ,ukweli anasema hana biashara za kinafk amemwambia kabisa puttin kama unataka kufanya biashara achana na hiyo vita ,haikusaidii achana nayo tukae tupige michongo ya biashara ,kumbuka msela kamchana live live yan makavu live ana kwa ana.Putin akamjibu kwa aibu...
  19. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania TANESCO ya Rais Samia , Iache Uhuni , Watanzania walifunuliwa Macho na Hayati Magufuli!!

    Et Mgao wa Umeme kuanzia 15--18/9 . Sababu , Kupungua Kiwango Cha maji pale Kihansi na Pangani .......... Niwaulize, Kwa hiyo kuanzia tarehe 19 , Maji hapo Kihansi na Pangani yatakua yamejaa ?????? ACHENI UHUNI.!!. Mbona wakazi wanaozunguka maeneo hayo wanakiri kutokupungua Kwa maji ...
  20. Championship

    JamiiForums Tanzania Uingereza haina utawala wa kifalme, kinachoendelea pale ni kiini macho

    Sifa za mtu anayetambulika kama mfalme: 1. Awe anamiliki ardhi yote anayotawala. 2. Awe na amri juu ya watu wote wa eneo lake kila wakati 3. Awe anamiliki mali zote katika eneo lake na kwamba kila raia awe anafanya kazi kwa ajili ya mfalme 4. Tamko la mfalme linakuwa sheria ambayo inatekelezwa...
Back
Top Bottom