machinga

For the town in Malawi, see Machinga, Malawi. For the district of Malawi, see Machinga District.The Machinga are an ethnic and linguistic group based in Lindi Region on the southern Indian Ocean coast of Tanzania. In 1987 the Machinga population was estimated to be 36,000 people.

View More On Wikipedia.org
  1. nyboma

    Huwenda hizi ndizo zama za mwisho kwa CCM kuiongoza Tanzania, nikitafakari kifo cha Rais John Magufuli na hili la Machinga nafsi yangu inaniambia kitu

    Kwa mambo hayo mawili naiona Tanzania mpya ikija kwa kasi ya ajabu, na tuelewe ya kwamba watu wa chini kama hawa machinga ndio wamekuwa chachu ya kuleta mabadiliko katika nchi za wengine. Tujaribu kukumbuka kilichotokea tunisia december 17/12/2020 baada ya machinga anayeitwa “Mohamed Bouazizi”...
  2. B

    Viongozi walewale waliopongeza machinga kupewa Uhuru ni haohao Wana bomoabomoa,Je, tutamkumbuka?

    Kuna watu ndani ya mfumo wa Serikali na chama Tawala wameshaona wananchi si kitu. Leo wakisikia mtu mmoja kasema funga wanasifia, kesho wakisikia fungia wanaendelea kupiga makofi. Watu wa aina hii wameqafanya wananchi kukosa dira na mwelekeo kwa sababu leo wanawaambia wananchi kaeni hapa na...
  3. K

    Baada Ya 'Machinga' Kukiona cha Mtema Kuni..! Bodaboda Wa Mjini Kati Kaeni Chonjo

    Wahenga Wana msemo Wao... 'Mwenzio Akinyolewa Wewe chako Tia Maji'. Tamko la Kuondolewa Machinga Likiendelea kwa Kasi huku Mabanda Sehemu Mbalimbali Yakiendelea Kuvunjwa Jijini Dar Kwa Mzee Amos Makalla. Ni Vema Bodaboda wa mjini Kati Wajiandae Kisaikolojia maana Chochote Kinaweza Kutokea...
  4. Yoda

    Uzazi wa mpango ni suluhu ya matatizo mengi ikiwemo umachinga uliokithiri

    Binadamu yoyote tofauti na wanyama ili aweze kukua vizuri, apate maendeleo na astawi anahitaji msaada, uangalizi na muongozo wa muda mrefu wa wazazi, familia, ndugu, marafiki, majirani na Serikali. Anahitaji apatiwe chakula bora, mavazi bora, makazi, na elimu bora tangu akiwa mdogo hadi angalau...
  5. ZINDAGI

    Tupeana updates za kuhama kwa Wamachinga

    Hebu tupeane update za zoezi la kuhama kwa wamachinga eneo ulipo. Mimi nimepita pale UHASIBU kutokea Kigamboni, nimekuta Wamachinga woote wameitikia wito wa kuhama, wapo busy wanabomoa vibanda vyao
  6. Miss Zomboko

    Dar: Machinga waongezewa siku 12 kuhama kwenye maeneo yasiyo rasmi

    Serikali ya Mkoa wa Dar es Salaam imewaongezea siku 12 wafanyabiashara ndogo ndogo (wamachinga) kuanzia leo wahame katika maeneo yasiyo rasmi wanayofanyia biashara zao. Awali Serikali ya mkoa huo iliagiza kuwa leo ndiyo iwe mwisho kwa wafanyabiashara hao kufanya biashara katika maeneo yasiyo...
  7. Msanii

    Kwanini Magufuli aliwakumbatia Machinga?

    Wanabodi, Hebu tujuzane hapa sababu zilizopelekea Rais wa awamu ya 5 hayati Magufuli kuwalinda Wamachinga hata kwa kutengua teuzi zake mbalimbali. Je, sababu hizo zina msingi wowote au ni huruma zake tu? Naomba tuelimishane hapa pls
  8. and 998 others

    CCTV zitumike kudhibiti Machinga

    Wafanyabiashara wasiofuata sheria za nchi/jiji wadhibitiwe kwa CCTV baada ya Agizo la kuwaondoa kutolewa. Hakuna haja ya kutumia nguvu kazi kubwa kukimbizana daily. CCTV zisaidie kukusanya ushahid ili zitumike mahakamani (faini iwe kubwa Sana)
  9. Cannabis

    Muonekano wa sehemu ya jiji la Dar es Salaam baada ya machinga kupangwa katika maeneo mapya

  10. Nyanswe Nsame

    Shilingi Milioni 251 zatengwa kulipana posho kuondoa machinga Jiji la Mwanza,wanaolipwa CD, DC na wenzao

    Milioni 251 zatengwa kulipana posho kuondoa machinga Jiji la Mwanza. Wanaolipwa CD, DC na wenzao KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida jiji la Mwanza limetenga Sh. milioni 251 kwa ajili ya kulipana posho watumishi wake kwa siku 10 ili kusimamia zoezi la kuwaondoa wafanyabiashara wadogo maarufu...
  11. white wizard

    Machinga waanza kumlilia Hayati Magufuli

    Hatimaye kilio cha machinga kumlilia JPM, chaanza kusikika, baada ya gari la matangazo kupita mitaa ya tandika na kuwaambia kuwa mwisho wa kupanga bidhaa zao, pembeni mwa barabara, mbele ya maduka, na kwenye hifadhi za barabara mwisho ni 18.10.2021. Hivyo wanatakiwa kuondoka mapema na kwenda...
  12. Logikos

    Machinga; Je tunatatua Tatizo ambalo Halipo?

    Niliona Morogoro wanazindua vibanda vya Machinga... Hio ni vema na Haki... ila swali la kujiuliza tuna tatizo la mabanda au sehemu za kufanyia biashara ? Machinga Complex ilijaa au tulikosea wapi ? Unaweza kusema ingawa frame / maduka yapo ila ni gharama Je Machinga wanashindwa kujichanga...
  13. M

    Njia ya Kuwatimua Machinga ni Serikali Kutengeneza Ajira Mpya

    Njia rahisi ya kuwatimu wamachinga ni serikali kutengeneza ajira mpya. Haina maana kabisa kuwa na mji msafi halafu watu wanakufa na njaa, watu wanashindwa kuhudumia familia zao. Tatizo liliopo siyo machinga kuteka mitaa, tatizo liliopo ni hakuna ajira mbadala. Tengeneza ajira umachinga utakufa...
  14. Tajiri Tanzanite

    Mkoa wa Arusha machinga wawapiga wenye maduka

    Hapo vip!! Katika pitapita zangu nilishuhudia machinga wakitaka kumchomea moto mfanyabiashara mmoja pale Ngulelo stand. Na ugomvi ulianza baada ya mfanya biashara yule kuwambia waondoe mabanda mbele ya duka lake kwasababu anashindwa kufanya biashara. Hao machinga walimvamia jamaa kama...
  15. U

    Serikali ya jiji la Dodoma Ondoeni Machinga barabara ya One way na barabara ya Nyerere square

    Ukienda Ulaya hata Asia nchi nyingi, Machinga wanakuwa na soko lao maalumu kubwa, na pia wenye maduka wanabaki madukani, Sasa inakuaje Machinga hataki fremu anataka akakae barabarani Tena mtaa wenye maduka, njia hazipitiki hili halikubaliki. Serikali ya jiji la Dodoma nawaasa muwaondoe Hawa...
  16. J

    Machinga: Rais Samia amesema tupangwe vizuri hajasema tuhamishwe kama inavyotafsiriwa na watendaji!

    Makamu mwenyekiti wa Wamachinga nchini mh Lusinde amesema Rais Samia ameagiza wamachinga wapangwe vizuri katika maeneo waliyopo na siyo kuhamishwa kama inavyotafsiriwa na watendaji wa chini. Source: ITV Malumbano ya Hoja
  17. APPROXIMATELY

    Kwa hili swala la wamachinga, Dar tutapaona pagumu

    Magufuli alitupa uhuru sana. Tukafanya biashara sehemu yeyote. Alituambia hata kama Ikulu kuna sehemu ya wazi tukafanye biashara. Kinachoendelea kwa huyu Mama ni noma! Serikali yake inafanya kinyume na ya Magufuli. Magufuli tutakukumbuka sana baba r.i.p
  18. M

    SoC01 Namna Bora na Endelevu ya Kutatua Tatizo la Mrundikano wa Machinga Katika Maeneo Yasiyo Rasmi kwa Biashara

    Utguanlizi: Machinga ni jina maarufu wanaloitwa wafanya biashara ndogondogo wa mijini na vijijini kote nchini. Wafanyabiashara wa kundi hili wanatabia ya kuhamahama kutembea huku na kule kutafuta maeneo wanayoona wanapata wateja wengi wanaowaungisha bidhaa zao. Utamaduni huu wa kuhamisha...
  19. Mr Q

    Ewe machinga, Ewe mmiliki wa duka uliye wakabidhi machinga bidhaa, usingoje siku 30 ziishe Ondoka haraka.

    Kilicho tokea kwa wenzenu kinakuja kwenu hakuna atakaye jali •umekopa shilingi ngapi •una bidhaa nzuri kiasi gani •bidhaa ulizo nazo mmiliki wake ni nani •umedumu hapo kwa muda gani •wala una unyonge kiasi gani •unalipa ushuru/kodi/kitambulisho cha mjasiria mali •wala mbunge Msukuma atakutetea...
  20. E

    Kumbomolea machinga ni sawa na kumuachisha mtu kazi bila malipo yoyote

    Machinga kujaa kila sehemu mijini ni tatizo kubwa ila hoja ya kuwaondoa katika maeneo yao kiholela ni unyama usiofikiria athari za kimaisha kwa hawa watu na kujiuliza tumefikaje hapa tulipo? Suluhisho la machinga ni kwa miji yote kutengeneza masta plani za miji na kuainisha maeneo ya wafanya...
Back
Top Bottom