machinga

For the town in Malawi, see Machinga, Malawi. For the district of Malawi, see Machinga District.The Machinga are an ethnic and linguistic group based in Lindi Region on the southern Indian Ocean coast of Tanzania. In 1987 the Machinga population was estimated to be 36,000 people.

View More On Wikipedia.org
  1. msani

    SoC01 Je, tufumbe macho au tutafute suluhu la machinga?

    JE, TUFUMBE MACHO AU TUTAFUTE SULUHU LA MACHINGA? Labda niseme kwamba mimi ni machinga kwa style yangu ya biashara, na niseme wazi kwamba nimefanya umachinga tangu nikiwa shule ya msingi au niseme kabla sijaanza shule ya msingi. Maisha yangu, ambayo ni maisha ya machinga wengi, yalikuwa ni...
  2. Nawatania

    Machinga wanapangwa Dar es Salaam

    Machinga wanapangwa kuanzia leo katika jiji la Dar es Salaam Tunaomba zoezi liishe kwa usalama na amani bila kuacha chuki. Mkuu wa mkoa akifanikiwa hili basi nashauri Tanzania nzima waige mpango wake.
  3. mgt software

    Kutana na ‘Jeshi la Machinga’ lisilo na silaha linavyoitetemesha Serikali hadi inajificha uvunguni

    Wana Jf, Ukisikia kila mkoa una majeshi ya serikali, lakini jeshi butu lisilo na siraha wala chombo chochote hatarishi, jeshi la machinga lilijijengea nguvu za kutisha kiasi kwamba linaogopeka sana. Jeshi hili nimeshuhudia pale Kariakoo wakiondoa magari yanayoegeshwa kwa ajili ya parking...
  4. K

    SoC01 Tuanze kupambana na machinga raia wa kigeni, tunawaogopa?

    Kama tunataka kupambana na machinga tujifunze kupambana na ulanguzi wa bidhaa unaofanywa na wananchi kwa KUSHIRIKIANA na raia wa Kigeni. Serikali inaona machinga wa Kariakoo na maeneo mengine wanakosea kupanga bidhaa barabarani lakini hakuna anayethubutu kukemea kundi la raia wa kigeni...
  5. K

    SoC01 Machinga Tanzania ni wafanyabiashara wakubwa walioumizwa na mfumo wa kodi

    Utangulizi Nimetembelea Kariakoo Mara nyingi ninapopata fursa ya kufika Dar es salaam. Nimefanya tafiti kwanini bidhaa inayouzwa na machinga iwe nafuu kuliko bidhaa hiyohiyo eneo like inayouzwa dukani? Ukweli ni kwamba Kariakoo na masoko makubwa nchini hakuna machinga Bali Kuna kundi la watu...
  6. L

    Hatari ya machinga

    Kwenye swala la MACHINGA serikali inahitaji umakini mkubwa kuwatoa Hawa watu kwakuwa wamekuwa wakubwa Kama mbuyu. Kama mnakumbuka miaka ya 2000-2015 walikuwa wanafurushwa Sana na migambo. Kuanzia mwaka 2016 mpaka sasa wamejitawala kila mahali. Ukifika hapa Arusha Ni kero kubwa Sana. Nafikiri...
  7. CM 1774858

    Umachinga au Ujasiriamali ni hatua ya kutoka katika uchumi mdogo kwenda uchumi wa kati na baadae uchumi wa juu

    UMACHINGA SIO KIPAJI, SIO SIFA, SIO CHEO, SIO KIPAWA | UMACHINGA NI HATUA YA KUFIKIA NDOTO YA KUWA MFANYABIASHARA MKUBWA NDANI|NJE YA TANZANIA ________________________________________ Nguli wa Uchumi mfaransa Jean Baptiste mwanzilishi wa neno ujasiriamali|Umachinga alisema " Umachinga ni hatua...
  8. Peter Madukwa

    Sakata la Wamachinga: Suluhisho pekee ni Serikali kuhimiza wananchi kufanya biashara rasmi kwa mujibu wa sheria na kusimamia maslahi ya pande zote

    Salaam; Hivi karibuni mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mh Amos Makalla ametoa maagizo ya kuwataka wamachinga waliopanga bidhaa zao barabarani kuondoka mara moja katika maeneo hayo. Maagizo haya yametokana na mgogoro uliopo kati ya wafanyabishara rasmi waliopanga katika maduka dhidi ya wamachinga...
  9. Darmian

    Rais Samia toa kauli zenye nguvu na zilizo bayana

    Ni vyema Rais Samia wakati wa kutoa maelekezo yake awe anakuwa wazi nini hasa anataka na atoe kauli zenye nguvu ili ujumbe ufike kwa nguvu pia kwa wahusika wote wa pande mbili. Leo wakati anatoa hotuba yake mara baada ya kuwaapisha Mawaziri na Mwanasheria mkuu wa Serikali alitoa neno kuhusu...
  10. Lord Denning

    Suala la Machinga, yafanyike haya

    Kwanza kabisa napenda kupongeza serikali kwa maamuzi waliyoanza kuyafanya ya kuwaondoa Machinga katika maeneo ambayo hawatakiwi kuwepo Mf Barabarani na kwenye maeneno ya miji yenye shughuli za kiofisi n.k Tulishauri hapa na tumeshauri hapa kwa miaka mingi sana namna ya kuhandle hili jambo na...
  11. Hismastersvoice

    Rais Samia afunga mjadala wa machinga; ataka wapangwe vyema bila uonevu

    Niliandika tarehe 13/09/2021 nayo itapita wamachinga watakuwapo, Leo tarehe 13/09/2021 Rais akiongelea kuhusu wamachinga alisema hataki kuona nguvu yoyote ikitumika kuwaondoa wamachinga, kauli hii ya Rais ni muendelezo wa kuwajengea kiburi wamachinga. Nilisema jukumu la kuwaondoa ni la Rais tu...
  12. Linguistic

    Vitambulisho vya machinga vimezikwa na hayati Rais Dkt John Magufuli huko Chato?

    Wakuu Wamachinga wa soko la Samunge maarufu kama NMC jijini Arusha wameieleza kilio chao kwa mbunge Mrisho Gambo cha kulipa ushuru wa shilingi 50 kila siku huku wanaowatoza wakiambiwa kuwa vitambulisho vya machinga vimezikwa na hayati Rais Dkt John Magufuli huko Chato. Machinga wa soko hilo...
  13. Crocodiletooth

    Usafiri na maoni yangu binafsi juu pahala sahihi pa kuwapeleka machinga ndani ya Dar

    Naishauri serekali yetu ilitwae eneo lote la shule ya sekondari Benjamin maps hapo kariakoo na pajengwe mall maalumu itakayokuwa na vizimba 5000 vyenye namba za utambulisho maalumu ili machinga wote waliotapakaa mabarabarani waingizwe humo, zoezi hili liende pamoja na kubotesha machinga complex...
  14. Jidu La Mabambasi

    Tatizo la machinga: Sasa Serikali imeanza kuamka toka usingizi wa ganzi

    Toka Serikali ya Awamu ya Tano ilipoanza kuwatukuza "wanyonge" kundi ambalo wamachinga wakaingizwa, ganzi iliingiwa kisawaswa katika vyombo karibia vyote vya dola. Rsis wa wakati huo alirudia rudia kuwa yeye yupo pale kwa ajili ya wanyonge, hivyo wasibugudhiwe mijini. Matokeo ya miaka mitano...
  15. E

    Tatizo la machinga litatuliwe kwa hekima sio nguvu

    Naona tuna tumia nguvu kutatua tatizo tulilo lisababisha wenyewe. Sikuzote tunasema vijana wajiajiri, tulitegemea watajiajiri wapi? Njia rahisi ya kutatua tatizo hili, kwanza nikuwatambua machinga, tuwape nafasi wachague viongozi, wajiorodheshe na tuwape vitambulisho. Tuwaruhusu wachague eneo...
  16. MTAZAMO

    Tatizo la Machinga, Tulikosea, Tunakosea, Tutaendelea kukosea!

    Ndugu zangu Watanzania, Kuna sehemu tulikosea, tunakosea na tutaendelea kukosea. Wimbo wa Machinga kufanya biashara maeneo yasiyo rasmi kama yupo anayefikiri ni wimbo wa juzi basi ana upungufu wa akili. Nani hapa ambaye anaweza kukataa kuwa kwa mfano mitaa ya Kongo ilivyo leo pako hivyo miaka...
  17. M

    Vurugu duka la Sandaland Kariakoo Kati ya Wamachinga na Mabaunsa. Mmachinga avua nguo

    Miaka 5 iliyopita mapato yalishuka au yaliongezeka? Si kuna supermarket sio lazima matajiri muende Kariakoo. Tunisia mmachinga alijichoma moto kwa uhuni kama huu
  18. Erythrocyte

    RC Makalla: Machinga wote Dar walio katika hifadhi ya barabara, Wataondolewa na vibanda vyao kuanzia Septemba 13, 2021

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla ameingia Kariakoo kwa kutumia basi la Mwendokasi (haijulikani alikotokea) na kutoa Maagizo kwamba baada ya siku 7 njia zote za watembea kwa miguu kwenye eneo hilo ambazo zimejaa wamachinga, mama lishe, wachoma mihogo na wauza Alikasusi ziwe wazi...
  19. kavulata

    Iko siku machinga watawashika viongozi pabaya

    Siku 4 baada ya kijana Hamza kusababisha mauaji ya wapendwa wetu pale Selander Bridge nilikwenda Airport kuwapokea jamaa zangu kutoka Ulaya. Tukiwa kwenye gari langu kuelekea Mikocheni, njiani kwenye barabara ya Nyerere tukaona vibanda vingi vichafuvichafu njia nzima kutoka Airport hadi...
  20. S

    Wanyonge waanza kumiliki barabara

    Hawa watu wanaoitwa 'wanyonge' walianza kujimilikisha sidewalks, now taratibu wameanza kununua hisa za barabara, soon nazo watazimiliki.
Back
Top Bottom