machinga

For the town in Malawi, see Machinga, Malawi. For the district of Malawi, see Machinga District.The Machinga are an ethnic and linguistic group based in Lindi Region on the southern Indian Ocean coast of Tanzania. In 1987 the Machinga population was estimated to be 36,000 people.

View More On Wikipedia.org
  1. kavulata

    JamiiForums Tanzania Iko siku machinga watawashika viongozi pabaya

    Siku 4 baada ya kijana Hamza kusababisha mauaji ya wapendwa wetu pale Selander Bridge nilikwenda Airport kuwapokea jamaa zangu kutoka Ulaya. Tukiwa kwenye gari langu kuelekea Mikocheni, njiani kwenye barabara ya Nyerere tukaona vibanda vingi vichafuvichafu njia nzima kutoka Airport hadi...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Wanyonge waanza kumiliki barabara

    Hawa watu wanaoitwa 'wanyonge' walianza kujimilikisha sidewalks, now taratibu wameanza kununua hisa za barabara, soon nazo watazimiliki.
  3. Donnie Charlie

    JamiiForums Tanzania Kero: Msongamano wa vibanda vya machinga Mbezi Mwisho unaziba maeneo ya waenda kwa miguu

    Msongamano wa vibanda vya wafanyabiashara wadogo maarufu machinga hadi kuziba eneo la waenda kwa miguu katika eneo la Mbezi Mwisho, Manispaa ya Ubungo, mkoani Dar es Salaam, kitendo kinachosababisha usumbufu kwa wapita njia na vyombo vya moto. PICHA: SABATO KASIKA Chanzo: Nipashe.
  4. Logikos

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Machinga mimi Masikini

    Utangulizi Maisha matamu sana, haya ni maneno ambayo nisingeweza kuyatamka miaka ishirini iliyopita, sikujua cha maisha wala uzuri…, na si mimi tu wengi tulikuwa kwenye dhahama hizo… Nasogea kwenye bustani na kuketi napigwa na upepo mzuri naona wanafamilia wakitembea kutoka makwao kuelekea...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Serikali itazame ujenzi holela wa vibanda mitaani

    Naomba serikali yetu ya mama Samia ifanye juu chini kuondoa vibanda barabarani. Mji unazidi kuharibika naona wameanza hapo Ilala mtaa wa Uhuru ukuta wa Hospitali ya Amana kuweka vibanda na meza za kudumu.
  6. Lole Gwakisa

    JamiiForums Tanzania Machinga mentality: TANROADS mpo? Miundombinu ya serikali sasa inaingiliwa!

    Sipingi biashara huria kakini this is too much! Hapo ni Mbezi Beach Goig, Bagamoyo Road. Miundombinu ya barabara inapogeuzwa kuwa na matangazo ya watu binafsi, hii ndio laisszes faire yaani machinga mentality kushamiri ndani ya wananchi. Mitaro inazibwa bila aibu. Taka zinatupwa barabarani ...
  7. Replica

    JamiiForums Tanzania Serikali yaunda Kamati kuchunguza chanzo cha moto Soko Kuu Kariakoo. Waziri Mkuu asema hatua zitachukuliwa moja kwa moja ikijulikana kuna mkono wa mtu

    Habari wakuu, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla akiwa Soko Kuu la Kariakoo, amesema serikali imeunda tume ya watu kumi kuchunguza na kupata ukweli wa chanzo cha moto na athari zilizopatikana ikiwemo mali zilizoteketea, pia amesema Waziri mkuu yuko njiani kuja kukagua na kuongea na...
  8. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Moto Kariakoo: Tunaendekeza machinga mentality, tumeanza kuvuna mabua

    Management ya miji mikubwa kwetu Afrika ni kitu kipya. Wenzetu Ulaya na kwingineko walijifunza the hardway. Moto wa London, The Great Fire of London mwaka 1666, karibia miaka 500 iliyopita , Uingereza ilijifunza kutokana na moto huo wa siku nne mfululizo. Chanzo: Machinga type mentality. Sisi...
  9. Elitwege

    JamiiForums Tanzania Maagizo ya machinga na Corona kupuuzwa nini chanzo? Ni kivuli cha Magufuli?

    Tulishuhudia mkuu wa mkoa wa Dar Bw. Amos Makala alipoapishwa tu alitoka mbio mbio kwenda kutangaza oparation ya kuondoa machinga na ombaomba wote ili jiji lirudi kwenye hadhi yake ya usafi, lakini mpaka leo agizo hilo halijatekelezwa. Makala alifanya mpaka kikao na wakuu wa wilaya, madiwani na...
  10. Championship

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Jangwani paboreshwe Wamachinga wa Kariakoo wahamishiwe hapo

    Wanabodi, Ni dhahiri kwamba ipo changamoto kubwa sana ya wafanyabiashara hawa wadogo pale Kariakoo. Wamekuwa wengi mno na kusababisha adha kubwa sana kwa wenye maduka na wateja waendapo kupata huduma. Ninapendekeza eneo lote la jangwani painuliwe, pajengwe vizuri na kuwekewa vibanda modern...
  11. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Suala la Wamachinga: Kuwatimua DC na DED inaweza kuonekana ni kuwatetea "wanyonge" lakini ni kuendeleza kero kwa wananchi

    Tumeona karibuni Mama Samia kamtumbua DC na DED huko Morogoro. Suala ni namna ya kuwaondoa Machinga barabarani. Kwanza, kuwaondoa Machinga na kuwaweka sehemu "iliyotengwa", kwa kweli ni kutoelewa how a machinga operates. A machinga is a small trader of no fixed abode. Machinga angeweza...
  12. beth

    JamiiForums Tanzania Musukuma ataka machinga wasibugudhiwe. Asema Serikali imechuma Bilioni 43 kwenye Vitambulisho

    BUNGENI: Mbunge Joseph Kasheku Musukuma amesema Machinga anaposumbuliwa na kuharibiwa Biashara, Taasisi za Kifedha nazo zinaharibiwa. Amesema, "Kuna watu wako pale wana mikopo, wamekopeshwa wana marejesho. Tuna shida gani tukisema magari yasiingie Kariakoo ili iwe kitovu cha Biashara? Watu...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Kwa Taifa lenye mipango na maono mazuri huliwezi kutegemea Machinga na mama lishe kwa uchumi endelevu

    Habarini wakuu, Kwanza nipongeze juhudi mbalimbali za taifa letu katika kujikomboa kiuchumi. Niwapongeze pia vijana wenzangu tuliomua kujiajiri kwa njia mbalimbali Machinga mama lishe boda boda nk. Nirudi kwenye mada yangu , katika kutafakari kwangu nimejaribu kuangalia Mambo muhimu...
  14. S

    JamiiForums Tanzania RC Makala: Wafanyabiashara ndogo ndogo kupangwa upya Dar es Salaam, walioko barabarani kuondolewa

    Leo RC Makalla amekaa na madiwani kuwaelezea nia yake ya kuwapanga upya wamachinga ktk jiji hili la kibiashara Chanzo: ITV habari Wamachinga walipewa Uhuru usiyokuwa na mipaka kiasi kwamba waligeuka kuwa kero kwa kila mtu. Uamuzi wa RC Makalla uungwe mkono ili hawa wanyonge wafuate...
  15. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Vitambulisho vya machinga ulikuwa mradi wa nani? Kwanini ile hela haikukusanywa na TRA?

    Za asubuhi wadau, Uongozi wa hayati ulikua na mambo mengi yenye ukakasi. Mojawapo ni hili la kuwauzia wamachinga kitambulisho kisicho na utambulisho wowote wa anaye kimiliki. Manaake kitambulisho kingeweza kudondoka na kikaokotwa na kutumiwa na mtu mwingine. La kushangaza zaidi malipo ya hivi...
  16. kavulata

    JamiiForums Tanzania RC Kunenge kufanya hivyo ni sawa na kuwafukuza Machinga Dar es Salaam

    Kwanza wasizibe njia za waendao kwa miguu, barabara za Mwendokasi na Barabara za Magari mengine Pili wasifanye biashara mbele ya wafanyabiashara wengine Tatu msijenge vibanda vya kuuzia biashara na kujikinga na mvua na jua Mwisho wasipikie mihogo na vitumbua kwenye msongamano wa watu. Kama...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, suala la Machinga kuwa nalo makini. Usije ukajichanganya

    Ndugu Rais, Hili suala la wamachinga ni very sensitive nakushauri uende nalo kwa busara kubwa sana. Nadhani uliona maelfu ya waliotoka mabarabarani kumlilia Magufuli, naweza kusema probably kuwa zaidi ya 70% ni Wamachinga. Hili ni jeshi kubwa sana ambalo ukilizingua litakuzingua kweli...
  18. Mlima simba

    JamiiForums Tanzania Vibanda vilivyowekwa kando ya barabara Jijini Dar es Salaam kuondolewa

    Gari la tangazo linapita kutangaza ya kuwa ifikapo tarehe 18 mwezi huu hakitakiwi kibanda chochote kuonekana kando kando ya barabara katika jiji la Dar es Salaam. --- UPDATE MAY 11, 2021-- Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Jumanne Shauri amewataka wafanyabiashara waliojenga vibanda katikati...
  19. EMMANUEL JASIRI

    JamiiForums Tanzania TRA tafadhali angakieni upya huu utaratibu wa kitambulisho cha machinga

    Mimi ni mjasiliamali mdogo mdogo,nayajua maumivu tunayo yapitia sisi wajasilia mali wadogo.Natambua uwepo wa wafanya biashara weye mitaji mikubwa ambao wamejigeuza kuwa machinga kwa lengo la kukwepa ulipaji kodi. Hata hivyo wapo wengi ambo ni machinga halisi,pia wapo pia ambao hapo awali...
  20. Stroke

    JamiiForums Tanzania Ili kuwasaidia Machinga, ipo haja ya kuvisajili vitambulisho vyao BRELA na kuwapa TIN

    Salaam wakuu, Moja wapo ya Initiatives za awamu ya tano katika kuboresha maisha ya watu wake ilikuwa ni kuwatambua na kuwaruhusu wafanyabiashara wadogo qadogo, jambo hilo lilifanikiwa kwa asilimia kubwa na kuiwezesha serikali kupata mapato yake. Awamu ya sita (6) imeonekana kutokuwa mbali sana...
Back
Top Bottom