Machinga waanza kumlilia Hayati Magufuli

white wizard

JF-Expert Member
May 18, 2011
8,277
13,212
Hatimaye kilio cha machinga kumlilia JPM, chaanza kusikika, baada ya gari la matangazo kupita mitaa ya tandika na kuwaambia kuwa mwisho wa kupanga bidhaa zao, pembeni mwa barabara, mbele ya maduka, na kwenye hifadhi za barabara mwisho ni 18.10.2021.

Hivyo wanatakiwa kuondoka mapema na kwenda sehemu walizopangiwa, baada ya muda huo, wasije kuilaumu serikali.

Ndipo wakaanza kuimba "tunakukumbuka jpm mtetezi wa wanyonge sasa haupo tumeanza kunyanyaswa" Sasa naona serikali imeamua kweli, ni jambo zuri sana kwani ilikuwa ni kero tupu.
 
Hakunankitu kama hicho mkuu, kwani ushindi wa CCM, wala hautegemei kura za wananchi, wao wana fomula zao, ambazo hazionyeshi njia bali ni jawabu tu.
WIZI WA KULA NA MATUMIZI YA VYOMBO VYA DOLA NAZO UNAITA FOMULA?

Shame on you!
 
9
Hatimaye kilio cha machinga kumlilia JPM, chaanza kusikika, baada ya gari la matangazo kupita mitaa ya tandika na kuwaambia kuwa mwisho wa kupanga bidhaa zao, pembeni mwa barabara, mbele ya maduka, na kwenye hifadhi za barabara mwisho ni 18.10.2021.Hivyo wanatakiwa kuondoka mapema na kwenda sehemu walizopangiwa, baada ya muda huo, wasije kuilaumu serikali!!Ndipo wakaanza kuimba "tunakukumbuka jpm mtetezi wa wanyonge sasa haupo tumeanza kunyanyaswa" Sasa naona serikali imeamua kweli, ni jambo zuri sana kwani ilikuwa ni kero tupu.
Waambie wakamfuate KABURINI.
 
Walizidi kuvunja sheria za nchi na kujifanya watemi na halafu wengine wanastahili kabisa kulipa kodi lakini wanajificha kwenye umachinga.
Pia wajue malipo ni hapa hapa duniani maana wao walikuwa wanashangilia wakati wa baba yao pale wengine walipokuwa wakionewa kwa kubambikiwa kodi za kimagumashi.
 
Walizidi kuvunja sheria za nchi na kujifanya watemi na halafu wengine wanastahili kabisa kulipa kodi lakini wanajificha kwenye umachinga.
Pia wajue malipo ni hapa hapa duniani maana wao walikuwa wanashangilia wakati wa baba yao pale wengine walipokuwa wakionewa kwa kubambikiwa kodi za kimagumashi.
Wewe huna tofauti na mama anayemtesa mtoto wa mke mwenzie
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom