machinga

For the town in Malawi, see Machinga, Malawi. For the district of Malawi, see Machinga District.The Machinga are an ethnic and linguistic group based in Lindi Region on the southern Indian Ocean coast of Tanzania. In 1987 the Machinga population was estimated to be 36,000 people.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    Mbagala (Dar): Baadhi ya maeneo ya barabara yaliyokuwa yanazibwa na 'machinga' yaanza kuwa wazi

    Baadhi ya wafanyabiashara wa biashara ndogondogo (machinga) waliokuwa wakifanyia shughuli zao katika maeneo yasiyo rafiki, hususan barabarani na kwenye njia za watembea kwa miguu, wameanza kupisha na kuondoka katika maeneo hayo. Tukumbuke kuna mdau aliwahi kuleta andiko hapa jukwaani akieleza...
  2. Mcmillan de Maghayo

    Bodyguards wa rais Museveni utadhani machinga

    Mzuka Wana jamvi! Hawa walinzi wa rais wa Uganda Yoweri Kaguta Mseven Wanafanana kama wamachinga kariako na Karume. Wanakaa kishamba shamba tu. Yani wakowako tu na wanasura ngumu balaa kama watu wa Mara. Hata madalali wa bongo wako nadhif kuwaliko. Yani hawafananii kabisa na "ubodyguard".
  3. BigTall

    DC Mpogolo: Bodaboda na Machinga undeni Timu Maalum kuzunguka vijiwe vyenu kutoa elimu ya kudumisha amani

    Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amewataka viongozi wa Maafisa Usafirishaji na Wamachinga kuunda timu maalum itakayozunguka katika vijiwe vya bodaboda na maeneo ya wafanyabiashara kutoa elimu juu ya umuhimu wa kudumisha amani. Hayo ameyabainisha leo katika kongamano la Maafisa...
  4. Waufukweni

    PostGE2025 Bodaboda na Machinga Dar: Desemba 9 hatufungui biashara

    Shirikisho la Vyama vya Madereva Bodaboda na Bajaji na Uongozi wa Machinga mkoa wa Dar es Salaam, wameahidi kutofanya kazi siku ya Disemba 9, 2025, kwa madai kuhofia kuingizwa kwenye mkumbo wa watu wanaofanya vurugu, kufuatia tetesi za kuwepo kwa maandamano yanayohamasishwa mitandaoni. Viongozi...
  5. BVR 2015

    Tetesi: Machinga wanaofanya biashara Kariakoo wamezuiwa kufungua biashara zao ili waende kwenye ufunguzi wa kampeni ya CCM Kawe

    Machinga wa Kariakoo kesho wameambiwa wasifungue biashara zao ili waudhurie uzinduzi wa kampeni wa CCM Kawe. Kwa mujibu wa taarifa, kesho machinga wote wanaofanya biashara maeneo ya Kariakoo hawataruhusiwa kufungua biashara zao na badala yake wameelekezwa kwenda Kawe. Baadhi ya machinga...
  6. Meja Jenerali Isamuhyo

    Magufuli alikuwa muongo sana, eti vitambulisho vya machinga vingeombea mkopo benki

    Miongoni mwa matapeli waliowahi kutokea nchi hii basi mmoja wapo ni John Pombe Magufuli. Alikusanya umati wa bodaboda, machinga na mama ntiilie na kuwadanganya kuwa wakate vitambulisho vya maachinga kwani watakuwa na access ya kuchukua mikopo benki. Uongo ulioje? Kitambulisho hakina hata...
  7. Just Pray

    Wamachinga barabara ya Soko la Kariakoo wapewa wiki mbili kuondoka

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ametoa wiki mbili kwa wafanyabiashara ndogondogo walio katika barabara za kuingia soko kuu la Kariakoo kuondoka. Hatua hiyo inakuja ikiwa ni kuelekea ufunguzi wa soko hilo, lililokuwa katika ukarabati tangu Julai 10, 2021 baada ya kuungua...
  8. Roving Journalist

    Mbunge Mavunde awataka Machinga Dodoma kuchangamkia Mkopo wa Bilioni 7 za Jiji

    Umoja wa Wanawake Machinga Dodoma(UWAMADO) wamempongeza, Rais Dkt. Samia S. Hassan kwa ujenzi wa soko la kisasa la Machinga Complex na miundombinu ya kisasa ya soko hilo ambalo ni la kipekee nchini. Hayo yamesemwa jana wakati wa uzinduzi wa chama cha UWAMADO uliofanyika kwenye eneo la soko la...
  9. Meneja Wa Makampuni

    Orodha ya maeneo yote ya kuondoa machinga wote waliopanga bidhaa chini na kuzuia biashara za wenye fremu

    Hili ni jambo la kushangaza unakuta unaenda kununua bidhaa dukani unakutana na machinga mbele ya duka la muuza duka. Machinga huyo amepanga bidhaa zake chini ya duka la muuza duka. Kuna baadhi ya mambo inabidi serikali itumie nguvu kuwapanga watu vizuri ili watu waende maeneo rasmi ya...
  10. Waufukweni

    Rais Samia aagiza Waziri wa Biashara kudhibiti Wageni kufanya biashara za Machinga, ahoji vijana wetu watafanya kazi gani?

    Rais Samia, amesema haiwezekani wageni kuingia nchini na kufanya biashara za machinga, huku akieleza kuwa vijana wetu (Kitanzania) watafanya nini? na kuagiza Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo kuhakikisha suala hilo linasimamiwa ipasavyo ili kulinda fursa za ajira kwa wananchi wa...
  11. M

    Huku Manispaa ya Songea, Watoto wadogo wamekuwa Machinga wa kuuza mifuko hadi muda wa usiku

    Watoto wa Manispaa ya Songea ambao ni Wanafunzi wa Shule za Msingi wenye umri kuanzia Miaka 8 wamekuwa wauzaji wa mifuko (vifungashio) mpaka muda wa usiku. Kipindi hiki ambacho wamefunga shule, wamekuwa wanaanza biashara hiyo asubuhi hadi usiku wa saa tatu hadi nne katika soko la jioni maarufu...
  12. ngara23

    Kuruhusu machinga kufanya biashara barabarani sio kuwapenda

    Machinga wapo kila pahala Dar hapo wanapanga bidhaa barabarani na Mwanza Wapo hapo round about Nyerere road Hizi ni sehemu hatarishi Unakuta kariakoo mtu kapanga nyanya na bamia, makele yasiyo na msingi Watu wa mpango mji mnafanya Nini ofsini Tunajua hawa ndo wapiga kura ila serikali ni...
  13. ChoiceVariable

    Dar: Raia wa China wageuka machinga, Wananchi washitushwa

    Wawekezaji kutoka China wakiendelea na shughuli za uwekezaji wa biashara zao Jijini Dar. Pia soma Samia: Msiruhusu Wageni Kufanya Biashara za Wenyeji ==== UNAPOTEMBEA katika Mitaa ya Agrey, Nyamwezi, Livingstone, Swahili na Congo jijini Dar es Salaam, ni kawaida kuona raia wa kigeni...
  14. BICHWA KOMWE -

    Wote wote tukiwa machinga, nani atanunua kwa mwenzake?

    Huko Tanganyika kila mtu ni machinga, hata wasio na ujuzi wa kibiashara nao unawakuta wanachuuza malapa mitandaoni. Tangu Watanganyika waambiwe kujiari basi imekuwa fujo mno, mara huyu anauza ubuyu, mara huyu anauza tumikoba twa kike! Mitandao imechafuka biashara uchwara za kuchuuza malapa na...
  15. ndege JOHN

    Bidhaa ndogondogo ambazo unaweza kuuza kama machinga ukasafiri nazo popote kwenye bag

    1. Smartphones na mobile ndogondogo nzuri zenye mvuto mfano nokia Og au vile vidogo kbs.pia kuna protector na cover za simu 2. Flashes na memory card..sio nzito hivyo zinabebeka kiurahisi hauhitaji kufungua duka hizi unatembea nazo kwenye minada au unategemea msimu wa mavuno vijijini huko.tena...
  16. Jaji Mfawidhi

    Kariakoo Machinga vs Wenye Maduka! Kufa kufaana!

    Wafanyabishara wanauliza Mmachinga ni nani ? Je watu kama hawa mwenye vyombo vingi kiwango hiki ,wanapanga barabarani vyombo vyote hivi bado wanasifa za kuitwa Wamachinga. Mtu ambaye ana bidhaa ukizijaza kwenye duka moja havitoshei eti ni machinga lakini bidhaa hizo hizo nje ya kariakoo...
  17. Allen Kilewella

    Wanasiasa wameshindwa kuwa na tafsiri moja ya nani ni machinga?

    Mtu ana mtaji wa shilingi milioni tatu lakini anaitwa mmachinga Kwa kuwa anapanga bidhaa zake barabarani na Halipi Kodi! Mwingine ana mtaji kama huo huo lakini kwa kuwa anauza bidhaa zake kwenye fremu, anaitwa mfanyabiashara na Anatozwa Kodi. Hivi kigezo cha kuitwa mmachinga ni jinsi mtu...
  18. aise

    Analia mke wake kutumiwa ujumbe usiku na mwanaume mwingine, ametudhalilisha wanaume

    Huyu jamaa kwakweli naona hana haiba ya kiume! Asubuhi yote hii kwenye gari amepiga simu kwa mwanaume mwenzie analia kuwa kwanini anachati na mke wake usiku. Yaani watu wamebaki wanamcheka na kusikitika tu hapa. Kwa mujibu wa maelezo yake mkewe anafanya kazi kiwandani, na kazi za viwandani...
  19. sky soldier

    Mna deal vipi na machinga wanaoziba duka

    Hali hii ipo miaka nenda rudi, kama mnavyojua machinga hupenda kusogelea sehemu zenye frame nyingi mbaya zaidi wanaweza kuweka biashara inayofanana na yako mbele ya duka lako yani unapigwa block.
  20. Kiplayer

    Nimepapenda machinga Complex Dodoma

    Soko lipo mjini kati, daladala zote zinafika na usafiri mwingine upo wa kutosha. Hapa Kuna kitu serikali imefanya.
Back
Top Bottom