Kampuni ya mabasi ya NEW FORCE yaanzisha Safari za mchana Dar-Mbeya/ TUNDUMA

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,871
155,834
Habari njema kwa wasafiri na abiria wa mikoa ya nyanda za juu kusini magharibi.
Kampuni ya mabasi ya NEW FORCE yaanzisha Safari za mchana. Hii Ni habari njema Sana.
Pruuuuu mpaka Maka
141042099_3321305181308491_4700894373487447220_n.jpg
 
Waongeze na za usiku unatoka Ubungo saa 1 usiku...itasaidia sana wale wa dharura
 
Majinjah mbona wameanza hilo siku nyingi
Hata Rungwe wamefanya sana hiyo route, tena pale Uyole njia panda zilikuwa zinaondoka hadi Majinjah 2 kwa mchana. Baadaye walianza kusumbuana na malumbano mengi ikasimama kwa muda.
 
Back
Top Bottom