mabasi ya mikoani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    Mkutano wa CCM Kawe, school bus, mabasi ya mikoani, madaladala nk. yametamalaki

    Nimepita viwanja vya Tanganyika packers Kawe nimeshtushwa na wingi wa mabasi yaliyobeba watu kutoka sehemu mbalimbali za ndani na nje ya mji wa DSM. Swali ninalo kuuliza wanajisikiaje kuhutubia umati bandia, uliosheheni watu wasiojua hata kinachoendelea nchini? Kweli CCM ni chama dola
  2. S

    SoC03 Usafiri wa mabasi ya mikoani kwa muda stahiki

    Mimekuwa nikifuatilia kwa muda mrefu mwenendo wa usafiri wa mabasi ya mikoni. Kiongozi mmoja akifuta safari za usiku na mwingine akizikirudisha. Mmoja ikichagua mabasi gani yasafiri usiku na mabasi gani yasisafiri usiku nap engine kusiwe hat ana vigezo vya ruhusa ama makatazo hayo. Lakini kwa...
  3. kwenda21

    Sikubaliani na Spika Tulia Ackson suala la mabasi kusafiri usiku

    MABASI KUTEMBEA KWA SAA 24 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tulia Ackson ameishauri Wizara ya Mambo ya Ndani kuangalia upya amri inayokataza mabasi ya abiria kutembea barabarani baada ya saa 6 usiku. "Nafikiri hili jambo nimewahi kulisemea mahali pengine, ni muhimu Serikali...
  4. I

    Hivi mabasi ya mikoani huwa yanafanya kazi sikukuu?

    Wadau ivi sikukuu ya keshokutwa mabasi ya mikoani yanapiga route km kawa au nao wako off
  5. crome20

    UWAMATA na wamiliki wa mabasi dhibitini wauza madawa na vitu kwenye mabasi ya mikoani

    Kwa wale wastaarabu tu ndio wanaoelewa. Ni kero kwa abiria wachuuzi kuingia ndani ya mabasï kuuza vitu vyao. Mwenye shida anunué hapo nje na sio kupishana na matenga, maboksi na kupigiwa kelele. Nilishangaa nikiwa kwenye basi la NEW FORCE kuelekea Lindi hadi mabeseni ya samaki yanapita. Kuna...
  6. GENTAMYCINE

    Kwa kukereka na mwendo wa taratibu wa Mabasi ya Mikoani naomba ombi langu likubaliwe

    Kuwe na Mabasi Maalum ya Waoga wa Kufa ( yaendayo taratibu ) kama sasa na pia kuwe na Mabasi Maalum ya Tusio Waoga wa Kufa ( yaendayo kasi ) ili tusichoshane humu Barabarani. Haiwezekani kutoka Dar hadi Moro zamani ukipanda Abood Dereva akiwa Dula Bedui ( sasa Marehemu ) unatumia dakika 90 au...
  7. 44mg44

    Wakati wa kusafiri napenda kipindi cha kuchimba dawa vichakani maana niliwahi kula mbususu!

    Kuna siku moja nilikuwa nasafiri kutoka mkoa A kwenda mkoa B na safari ilichukua takribani masaa 16. Kuna muda dereva wa basi alituamuru tushuke kichakani tuchimbe dawa na tutumie dakika 5, kweli abiria wote wake kwa waume tulishuka. Mimi nikaelekea upande fulani halafu kuna mdada nikashangaa...
  8. B

    Tuache tabia ya kusimamisha abiria mabasi ya mikoani

    JF . Imeniwia vigumu kukaa kimya lakini Nina hakika nitakuwa nimetoa mchango wangu kwa kulisaidia Taifa Trafik wapo mabarabarani lakini mabasi yanapita tu na abiria wamesimama abiria anasimama mpaka masaa manne ni ajabu wenye mabasi wakifika karibu na police block wanaambiwa wakae chini kwenye...
  9. H

    Mwenye taarifa hii tafadhali atuwekee humu.: jeshi la polisi lakamata madereva 150 wa mabasi ya mikoani.

    Habari wanajamvi. WIKI HII inayoishia leo 21 May 2022 Nilikuwa nimekaa mahali usiku nikasikia kwenye radio kwa mbali ilikuwa ni taaarifa ya habari nikawa interested kuisikia lakini bahati mbaya ikawa imepita. Nimejaribu kuitafuta kwa bidii kwenye mtandao nimeikosa.Inaelekea haina intrest...
  10. JanguKamaJangu

    Nauli mabasi ya mikoani zimepandishwa habla ya muda waliotangaza LATRA

    Licha ya Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) kutangaza kuwa mabadiliko ya bei za nauli za daladala na mabasi zitabadilika kuanzia Mei 14, 2022, asilimia kubwa ya makampuni ya mabasi yalishaanza kutumia bei hizo mpya. Safari ya Dar es Salaam kwenda Dodoma inatozwa Tsh 26,000 badala...
  11. Petro E. Mselewa

    Kwanini mabasi ya mikoani 'yalazimishwe' kuingia kila stendi?

    Nayazungumzia mabasi ya mikoani yanayoanzia Dar es Salaam kupitia barabara ya Morogoro au ile ya Bagamoyo. Yamekuwa na kawaida ya kuingia na kutoka kwenye kila stendi ya mabasi waikutayo ikiwa hata kama hakuna abiria anayeshuka au kupanda. Kiukweli, kuingia na kutoka kwenye stendi hizi (kwa...
  12. GENTAMYCINE

    Mamlaka: Madereva wa Mabasi ya Mikoani 'Wanaobeti' Kufika haraka waendako Kukiona cha Mtema Kuni

    Kwa hili GENTAMYCINE nasema mmechelewa sana hata hivyo nawapongezeni kwa Kuliona na kuamua kulivalia Njuga hivi sasa kwani kuna Watu wamepoteza Maisha na wengine kupata Ulemavu wa Kudumu kutokana na Upuuzi wa baadhi ya hawa Madereva wa Mabasi ya Mikoani. Yako Mabasi mengi yenye huu Upuuzi ila...
  13. King Kong III

    Tanzania ya enzi hizo katika picha

    Hapa Ni Tanzania Elimu Supply(TES) Enzi Hizo 1947 Mabasi ya Ekarusi Kumbakumba kwa nyuma Azania Front Tanganyika Parkers Enzi Hizo 60s Salender Bridge 1960s Dar-Es-Salaaam 1975 Hiyooooo!!! Seaview-Mawingu House 1960 Arusha-Clock Tower 1966 Dodoma City Center 1974 Bukoba City...
  14. M

    Wamiliki wa Mabasi ya Mikoani, kwanini mnatutesa na kutukomoa Abiria wenu katika dakika 20 za huduma mnazotupa mkisimama njiani?

    Yaani inawezekana vipi dakika hizi hizi 20 mnazotupa tukiwa tumesimama Mombo au Msamvu au Singida Sisi Abiria wenu tuweze kuzigawa Kiustadi kwa Kula, Kukojoa na Kunya wakati tukifika tu haya maeneo tunakuwa Abiria wengi na waliotutangulia pia Kihuduma? Kwani mkisema tu kuwa muda wa Kula na...
  15. MK254

    Wakenya bana...tiketi za SGR zimeisha, mabasi ya mikoani yamekodiwa yote kuelekea msimu wa Krisimasi

    Yaani tuna desturi ya kuchapa kazi mwaka wote kisha tunajiachia msimu wa Krisimasi kwa raha zote, kula bata kwa kwenda mbele, ndio utamu wa kuwa kwenye nchi yenye uchumi bora na ya wachapa kazi. ===================== The standard gauge railway (SGR) passenger service from Nairobi to Mombasa is...
  16. E

    Kero yangu kuhusu "Timetable" kwa mabasi ya mikoani

    Habari wanajamii, Aisee nimekuja kuweka kero yangu hapa nikitumaini pengine mamlaka husika zitaona na kuangalia namna ya kutatua changamoto hii. Nianze kwa kupongeza Serikali na mamlaka husika namna zinajitahidi kupunguza madhara yatokanayo na ajali za barabarani hususani kwa mabus. Siku hizi...
  17. N'yadikwa

    Ili tuharakishe maendeleo, Miji mikubwa na mabasi ya mikoani vifanye kazi 24/7

    Hakuna haja ya kufunga, kuzima taa na kuegesha mabasi wakati tunashughuli ya kukimbiza UCHUMI wa TANZANIA. Kwanini miji kama DAR ES SALAAM, MBEYA, MWANZA, ARUSHA, KAHAMA, MAFINGA, TUNDUMA BORDER nk ifungwe? Nyakati za usiku? Kwanini mabasi yasisafiri usiku!? Je, hatuwezi kuimarisha ULINZI...
  18. Mwifwa

    Basi la Sauli lapata ajali Picha ya Ndege, Kibaha. Wanne wajeruhiwa, 40 wanusurika

    Nimepita sasa hivi eneo hilo nimeona Sauli imegongana na Lori, Sauli imesukumizwa mtaroni hadi ikapanda kingo ya mtaro. Sijajua kama kuna majeruhi na idadi yake. Inaonekana walishindwa kupishana Sauli akaamua kupita upande wa kushoto mwa Lori likiwa linaelekea Mashariki hapo ndipo...
  19. Mzee Tumbo

    Si lazima uwe na Pesa ili uwe na Maendeleo: Elimu ya Matumizi ya Choo

    Doro aliimba stimu ya Kuber ndo imeshaleta matata Yeye ndo anajua jinsi ipi alikua na demu mkali ila umaarufu akauweka pembeni Akatia usanii mbele kama ule wa Prof Jize, na skills za Weusi jinsi ambavyo walimshirikishaga Chin Bees mnyama ilihali wao pia wanaimba. Na unaeza cheki skills za Joh...
Back
Top Bottom