mabadiliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Y

    SoC02 Kuufumua Msukosuko

    “Wanameremeta, wanameremeta”, sauti za akina mama zilisikika na vigelegele vilisikika hapa na pale. ‘’Shosti yetu kashauaga umaskini’’ Nyemo aliwaambia wasichana wenzake aliosimama nao huku akimuonyeshea Sapora na Dakute ambao walipanda gari kuelekea fungate. ‘’Cheki gari lile! Kuna usafiri na...
  2. E

    SoC02 Mabadiliko ya Kiuchumi

    Uchumi:Serikali iangalie swala La maeneo yaliyo wazi mjini haswa Dar es salaam wamilikishwe watu binafsi kwa mkataba ambao utakua wa kudumu ambapo atakayemilikishwa atapaswa kuanzisha mradi mfano apartments ambapo baada ya mradi kukamilika kutakua kugawanya faida Kati ya serikali na huo...
  3. Lidafo

    SoC02 Mabadiliko ya kufanya katika mfumo wetu wa elimu ili uweze kuendana na dunia ya sasa

    Tangu Tanzania ipate Uhuru imepita miaka 60 miezi 7 na siku 30 Sasa. Ushawahi jiuliza mfumo wetu wa elimu wa Sasa ni mfumo gani? na je umepitia mabadiliko gani mpaka kufika hapa? Wakati wa Mwalimu Nyerere tulikuwa na mfumo wa elimu ya kujitegemea, mfumo huu ulikuwa na lengo la kuhakikisha kila...
  4. Roving Journalist

    Wizara ya afya yakanusha Mabadiliko ya ratiba ya ufanyaji Mitihani

    Wizara ya afya yakanusha Mabadiliko ya ratiba ya ufanyaji Mitihani
  5. Rammie Singh

    Kujitambua na mabadiliko binafsi

    Mambo sita ambayo hufanya amani ya ndani ya moyo ( nafsi ) wako iwe rahisi: Kutoogopa mabadiliko Kuwa mwema kwa wengine Kua mwaminifu na wewe mwenyewe /Honesty with yourself Fanya vitendo kwa makusudio Kujitambua Shukrani
  6. T

    Rais Samia afanya mabadiliko Wakuu wa Mikoa. Ally Hapi, Kigaigai, Kafulila na Eng. Robert Gabriel watemwa

    Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa nchini huku akiingiza majina mapya tisa akiwemo Albert Chalamila aliyeteuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Kagera. Wakuu wa mikoa 10 wamebaki kwenye vituo vyao vya kazi vya awali huku 7 wakihamishwa. Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Mara, Ally Hapi...
  7. J

    SoC02 Elimu yenye kuleta mabadiliko kuendana na kasi ya mabadiliko ya Sayansi na Teknolojia ya Ulimwengu

    Elimu yenye Kuleta mabadiliko. Tanzania ya sasa, inauhitaji mkubwa wa elimu yenye Kuleta mabadiliko kuendana na Kasi ya mabadiliko ya kisayansi na kiteknolojia ya kiulimwengu . Elimu hii isiwe yenye kubaki kama alama tu kwenye vyeti vya wasomiwake,bali iwe elimu ya kimapinduzi (mabadiliko...
  8. Meja Jenerali Isamuhyo

    Vipi mshahara wa Julai umetoka? Je, kuna mabadiliko yoyote?

    Uzi huu ni mahususi kwaajili ya kujuzana kuhusu mshahara wa mwezi Julai. Je mshahara ushatoka? Vipi kuna mabadiliko? Ahsanteni sana. Baba mwenye nyumba, Kashai, Bukoba.
  9. intelligent scholar

    SoC02 Teknolojia katika upambanaji wa athari za mabadiliko ya tabia ya nchi

    Mjadala wa kisayansi juu ya uendelevu wa teknolojia ya ndani Mbadala wa kilimo kidogo mageuzi ya kukabiliana na athari za mabadilko ya hali ya hewa kwenye mazao ya bustani🍃🎋 Akinukuu ripoti ya mkutano wa kilele wa hali ya hewa duniani wa 2021 joto la dunia limeongezeka kwa nyuzi joto 1.18...
  10. Sky Eclat

    Kifungo cha jela kimempa mabadiliko chanya ya maisha

    Jana nilikua kwenye basi kuelekea nyumbani Kwamtogole. Jirani yangu alikaa mwanaume mwenye umri unaokaribia miaka 35. Hajui Kiswahili vizuri. Tuliongea hivyo hivyo na Kiingereza changu cha yes, no lakini nilifanikiwa kumuelewa. Huyu mwanaume ni raia wa Ghana lakini alifanikiwa kwenda Ulaya...
  11. M

    Siku mkifanya mabadiliko ya ya kweli na Chadema ikarudi mikononi kwa wanancho ndio mtapevuka kisiasa na kuwa na waelewa.

    Mnaburuzwa hovyo. Mnapelekwa hovyo. Mnapayuka hovyo. Mbona mnashindwa kutambua kuwa hiki chama ni mali ya mtu binafsi. Ninyi ni kama wasindikizaji tu na hamna lolote. Family business at hand. Ndio maana mnachezewa akili kama watoto.
  12. Suley2019

    UTEUZI: Rais Samia amefanya mabadiliko madogo ya Makatibu Wakuu

    Rais Samia amefanya mabadiliko madogo ya Makatibu Wakuu 1. Dkt. Francis Michael amehamishiwa Wizara ya Elimu, sayansi na teknolojia 2. Prof. Eliamani Sedoyeka amehamishiwa Wizara ya Maliasili na Utalii
  13. Ritz

    CHADEMA, kabla ya kudai Katiba Mpya fanyeni mabadiliko kwenye chama chenu

    Wanaukumbi. CHADEMA mnatuambia tudai Katiba Mpya ili kuondoa mfumo wa chama dola (CCM) madarakani. Hoja zenu ni kwamba CCM imeng’ang’ania Uongozi tangu 1961. Vipi CHADEMA? kuna mabadiliko gani ya Uongozi tangu 1993? Ni sahihi Edwin Mtei kumpa chama mkwewe aongoze kama familia?
  14. L

    Mabadiliko ya hali ya hewa yana kasi zaidi kuliko ilivyotabiriwa

    Utafiti mpya uliotolewa jana umeonyesha kuwa, mchakato wa mabadiliko ya hali ya hewa duniani una kasi zaidi kuliko ulivyotarajiwa na hatua za haraka zinahitajika ili kupunguza uharibifu. Kwenye utafiti huo uliotolewa na jarida la Nature Claimate Change, watafiti kutoka taasisi ya sayansi ya...
  15. Maxence Melo

    Mabadiliko ya mwonekano JamiiForums - Juni 2022

    Wakuu, Tupo kwenye hatua za mwisho kuja na JF yenye mwonekano mpya ambayo inaendana na mabadiliko ya teknolojia. Kwa wanaohitaji kuwa sehemu ya majaribio, mnakaribishwa... Katika mabadiliko haya, huenda ukakutana na kitu kikakufurahisha, kikakuchanganya, kikakufanya uone kuna haja ya kuongeza...
  16. L

    AfDB yapanga kukusanya dola bilioni 25 za kimarekani kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi

    Mkurugenzi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Bw. Akinwumi Adesina amesema kwenye mkutano wa mwaka wa benki hiyo uliofanyika tarehe 24 mwezi huu huko Accra, Ghana kuwa benki hiyo itakusanya dola bilioni 25 za kimarekani kabla ya mwaka wa 2025 kwa ajili ya kuunga mkono nchi za Afrika kwenye...
  17. Jidu La Mabambasi

    Tanzania Tax regime inahitaji mabadiliko ya kimawazo, bidhaa zile zile majirani bei ni ndogo kuliko hapa kwetu!

    Msimamo wa Tax regime ya nchi yetu ina matatizo Ya kimtazamo. Tax-kodi inakuwa set for maximum extraction, yaani kodi zetu zinajaribu kufyonza fadha kubwa iwezekanavyo toka kwa mfanyibiashara au any business deal kiasi ambacho bei ya bidhaa zetu zinapanda bei hadi kukosa ushindani. Hili ni...
  18. sudan iii

    Maazimio yatakayoleta mabadiliko chanya kwa Sekta ya Afya na Medical Laboratory Tanzania

    Kikupe mrejesho kidogo kwa kikao MELSAT cha mwisho kilichofanyikia MUHAS kati ya mambo tuliokubaliana na yakachukuliwa na mwanasheria kuyafanyia citation ili yapelekwe kwa wahusika yaanze kutumika rasmi ni kama ifuatavyo 1. Mkuu wa maabara au msimamizi wa department anatakiwa awe na basic...
  19. MK254

    Mabadiliko makubwa Turkana, nchi hii kila kona raha tu

  20. JanguKamaJangu

    TCRA inachunguza mabadiliko ya mabando ya simu yaliyofanyika kimyakimya

    Baada ya malalamiko mitandaoni kuwa kampuni za mawasiliano ya simu Nchini Tanzania zimefanya mabadiliko ya kushusha vifurushi vya huduma za intaneti (mb's) pasipo kutoa taarifa kwa wateja wao, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema inafuatilia. TCRA imesema: “Tumeona malalamiko kutoka...
Back
Top Bottom