maarufu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hawa hapa watu watano maarufu, na wenye ushawishi kuwahi kutokea nchini.

    Waku, Tanzania tunebarikiwa vichwa vitano maarufu.. ~ Baba wa Taifa, Julias kambarage Nyerere.(Rip) ~ Chuma, John pombe magufuli.(Rip) ~ Tundu Antipas Lissu ~ Steve Kanumba.(Rip) ~ Diamond platnum
  2. JamiiForums Tanzania Hii ni misiba ya watu maarufu iliyonihuzunisha sana

    Ingawa vifo humhuzunisha yeyote ila vinapishana viwango vya huzuni. Kwa mfano huzuni ya kufiwa na mama haiwezi kuwa sawa na huzuni ya kufiwa na girlfriend. Sasa hawa nitakaowataja kwenye huu uzi walikuwa watu maarufu ambao sikuwa na ukaribu nao wowote ila vifo vyao vilinifanya nihuzunike kama...
  3. JamiiForums Tanzania Hata ukifikiri wewe maarufu sana, kuna watu hawakujui

    Amitabh Bachchan (mwigizaji gwiji nchini India) aliwahi kusema: "Katika kilele cha kazi yangu, wakati fulani nilikuwa nikisafiri kwa ndege. Abiria mmoja karibu yangu alikuwa bwana mzee aliyevaa shati ya kawaida sana na suruali. Alionekana kuwa mtu wa kawaida na mwenye kipato cha kawaida sana...
  4. JamiiForums Tanzania Mabilionea uchwara wa Zimbabwe ni maarufu sana bongo kuliko bilionea halisi

    Sijui ilikuaje bongo mabilionea uchwara na wababaishaji wakafahamika na kuwa maarufu zaidi kuliko bilionea halisi. Hapa bongo mabilionea wanaofahamika kutoka Zimbabwe ni matepeli tu kama Ginimbi, Chivayo na baba yake Tony Kapola, Uebert Angel ila Zimbabwe ina bilionea wa kweli usiyiweza...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Pwani, Mkuranga eneo la Mipeko tunateseka na umeme mdogo kwa zaidi ya miezi miwili

    Tunaomba mtupazie sauti sisi wakazi wa Pwani, Wilaya ya Mkuranga, eneo la Mipeko maarufu kama Msikiti wa Kipati, kutokana na tatizo la umeme hafifu (Low Voltage ya takriban 133V). Tumeshatoa taarifa mara kadhaa TANESCO, na tuliambiwa kuwa inahitajika kufungwa transformer mpya kutokana na...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa nini watu wote maarufu lazima waishi Dar ?

    Hivi Mbeya, Mwanza, Arusha, Tanga, Dodoma na Morogoro hakufai kuishi watu maarufu ? Ukifuatilia umbea wote nchi hii wa wanaonekana watu maarufu hasa wa mitandaoni ni Dar tu!
  7. JamiiForums Tanzania Mwana Filosofia maarufu alitabiri tunayoyona saaa.

    Wakati mwingine hatuna haja ya maelezo mengi. Historia ilisha tabiri.
  8. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania SIM Cards Kadhaa Zapatikana Polisi Wakimkamata Mshukiwa Maarufu wa Utapeli wa M-Pesa

    M-Pesa attendant mmoja Garissa alidhani anasaidiwa kufanya line upgrade. Dakika chache baadaye, line yake ilikuwa imeswap na fedha zikahamishwa kwenda account nyingine. Polisi sasa wamemkamata Edwin Mugoi, ambaye DCI inamtuhumu kujifanya Safaricom agent na kuwalenga M-Pesa attendants katika...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Makabila Maarufu Afrika

    Ukiachana na Wamasai ambao wapo Kenya na Tanzania. Wachagga ndio Kabila pekee ambalo lipo Tanzania tu lilotokea kwenye hii list. Cha kushangaza Wachagga sio wanaongoza kwa idadi ya watu hapa Tanzania kama ilivyo kwa nchi nyingine nyingi ambazo makabila yaliyotokea ndio yanaongoza kwa wingi...
  10. JamiiForums Tanzania Mtengeneza maudhui maarufu - Youtube, aliyekuwa akibeza mambo ya dini, aamua kuokoka na kubatizwa katika maji mengi!

    Hii habari ni moto sana! Kila mtu anapaswa kuisoma mwanzo mpaka mwisho. Kweli Mungu anawapenda watu wote. Amebadilisha maisha ya Mtengeneza Maudhui(Youtuber) maarufu mwenye umri wa miaka 30, aliyejizolea mamilioni ya Subscribers kwa video zake za comedy, muziki, boxing na survival challenges...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini wanawake wanapenda watu maarufu?

    Mfano mdogo kipindi kabla mondi hajatoka alipenda kuitwa domo Kaya.. Ila baada ya kutoboa tu akageuka kuwa mtu wa kupendwa na kutamaniwa na wanawake? Je mtu maarufu, hata kwa ujinga kwa nini hugeuka kuwa crush kwa mademu? Swali la kizushi tu. Wanawake wangekuja kusema ili tuone, je ni nini...
  12. JamiiForums Tanzania Collection ya kauli maarufu (quotables) katika kesi ya Uhaini ya "Jamhuri vs Tundu Lissu"

    Katika kufuatilia kesi hii ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu, kumetokea kauli nyingi ambazo zinaweza kusimama zenyewe kama zenyewe. Uzi huu ni wa kukusanya kauli hizi. Kama umefuatilia kesi hii toka mwanzo, tusaidiane katika kushare katika uzi huu. Mfano, wakati John Mnyika anahojiwa siku...
  13. JamiiForums Tanzania PICHA: Utambuzi unaendelea, inasemekana ndiye anayetesa vijana wanaotekwa eneo maarufu kama Garage hapo Oysterbay

  14. JamiiForums Tanzania Jambo zito kisiasa lakaribia litatikisa, ni ama ajiamulie mwenyewe au wenyewe waamue

    Kwa heshima bora ajiamulie mapema aisee Litatikisa hakuna week kadhaa mbele miamba inatikisika Ni credit kwa Taifa Britanicca
  15. JamiiForums Tanzania Azma Yangu: Nitakuwa Maarufu Duniani Kufikia 2040

    Katika maisha nimekuja kugundua we know exactly who we are, we just try not to act soo Mimi de Gunner nimekuwa nikiwaambia watu since nikiwa mdogo kabisa ya kuwa am gonna be known worldwide like mtu maarufu na aliecha a big impact but these mediocres Wanaishia kuongea faul words juu yangu...
  16. JamiiForums Tanzania Ukiwa kwenye mahusiano na mtu maarufu Ni stress kwa kweli

    Ni stress kwa kweli... late night calls maana ndo katoka kwenye mambo yao A lot of Dm za mabinti duhh am going to ruin this tooo... Siwezi kwa kweli how unaweza dili na mtu wa namna hii
  17. JamiiForums Tanzania WAKILI MAARUFU MADELEKA KUPEWA KESI YA UGAIDI ?

    Kwa kile kinacho onekana kuendelea kukomoa raia yeyote anae enda kinyuma na usawa na haki , Mhimili wa Dola , Mahakama na Polisi wameamua kufungulia kesi za Ugaidi wote watakaoisema serikali ya Samia vibaya. Huku Jeshi la Polisi likiwa kinara kupin point anaefuata wa kupewa kesi ya Ugaidi jambo...
  18. JamiiForums Tanzania Nimeshavuka hofu

    Kwa level niliyo ifikia Itoshe kusema mimi ni mtu maarufu zaidi katika hili jukwaa kwa sasa Mimi ni kama maji tu usipo yanywa utaya oga, siogopi kitu chochote.. Nimesha vuka fear, ni naweza kuhandle presha na maneno ya watu, hakuna anyeweza kuni challenge na kunitoa mchezoni. Siongei haya...
  19. JamiiForums Tanzania Mother confesa🤔

    Karibu mwenetu wa faida kutoka kwenye ban , ila sijajua kosa lako , ila siwalaumu mods , seran karibu sasa sisi wafuasi wako ,tuna kukubali kinouma 🤗 Seran ,She carries the weight of the world without asking for sympathy.
  20. O

    JamiiForums Tanzania sishangai watu maarufu kwenye jukwaa hasa hawa verified member kuwa chawa hawana tofauti na wasanii

    Hauna haki ya kuwa chawa ni kujikosesha heshima tu, hamlipwi mnashinikizwa sababu mnafahamika. mtu kama Pascal Mayalla Robert Heriel Mtibeli n.k Ni case study hawana namna . kama mimi nilivyoenda ikulu nikakuta darasa la viongozi yule mama anawafundisha yeye ni mwema na alivyoniona mgeni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…