Takribani watu 728 wamejeruhiwa na polisi mmoja ameripotiwa kufa katika maandamano yanayoendelea Lebanon, baada ya kutokea mlipuko katika Bandari ya Beirut
Mamlaka za Lebanon zinawashikilia watu 19, huku uchunguzi ukiendelea kuhusu mlipuko huo ulioua watu 158 na kujeruhi zaidi ya 6,000, idadi...