Mimi nadhani itakuwa ni busara kwa Serikali kuwaachia Lissu na Hamad kufanya maandamano yao, tena iwape ulinzi mzuri na thabiti kusudi maandamano hayo yasiharibu mali za watu wengine.
Ikiwezekana maandamano yote yarekodiwe tangu mwanzo hadi mwisho; yakiisha bila kuingilia uhuru na haki za raia...