passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,784
- 13,007
The fact that maandamano yameleta usumbufu wa kisaikologia kwa watawala ni ushahidi kuwa watawala hawa waovu wanakosa utulivu na wametingishwa.tunajua kabla ya siku ya leo kila kiongozi wa serikali hii alitoa Tamko.
Lakini tujiulize haya mambo yataendelea hadi lini?hii ni zao la nchi kuendeshwa na watu waliolaaniwa kwa kuua watu,kuiba pesa za umma,kutesa watu Nk.waovu kamwe hawawezi kupata utulivu.
Ukweli ni kwamba anguko la hii regime ovu haliepukiki kwa sababu wametengeneza hili kwa mikono yao wenyewe. Tusubiri muda wa Mungu.