Wazalendo_Tz
Member
- Jul 7, 2026
- 17
- 25
Kila mtu atafute hela yake, mwanasiasa hawezi kukuletea pesa ya kula.
Vijana pambaneni, mnatumiwa na wanasiasa kupigania nafasi zao
Vijana pambaneni, mnatumiwa na wanasiasa kupigania nafasi zao
Mbona na wewe umetumika na hao wanasiasa kuja kujisemesha hapa. Usitumie kichwa kama mfuniko wa shingoKila mtu atafute hela yake, mwanasiasa hawezi kukuletea pesa ya kula.
Vijana pambaneni, mnatumiwa na wanasiasa kupigania nafasi zao
Inaonekana wazi wewe bado kinda.Kila mtu atafute hela yake, mwanasiasa hawezi kukuletea pesa ya kula.
Vijana pambaneni, mnatumiwa na wanasiasa kupigania nafasi zao
Mbona na wewe umetumika na hao wanasiasa kuja kujisemesha hapa. Usitumie kichwa kama mfuniko wa shin
Ww uko kwa shemeji yako ama kama umetoka umepata kiajira kwa connection huwezi elewa umuhim wa maandamo
huyo jamaa wa ajabu sanaNani alikwambia watu wanaandama ili wapate hela?
Uko sawa kweli wewe?
Kumbe wewemkundu umejiunga leo humu na umeamua kunya kabisa?Kila mtu atafute hela yake, mwanasiasa hawezi kukuletea pesa ya kula.
Vijana pambaneni, mnatumiwa na wanasiasa kupigania nafasi zao
lakini pia anaweza kuzuia pesa yako ya kula. Hivi vitu vinahitaji ufahamu, vinginevyo utaendelea kuamini kuwa mwanasiasa hausiki kabisa katika uendeshaji wa maisha yako... mwanasiasa hawezi kukuletea pesa ya kula.
Kwani mkuu wewe ukitafuta hela yako si inatosha, na wanaotaka maandamano wakaandamana. Kila mmoja afanye yake. Usidhani maandamano ni kwa kila kiumbe mradi unapumua.Kila mtu atafute hela yake, mwanasiasa hawezi kukuletea pesa ya kula.
Vijana pambaneni, mnatumiwa na wanasiasa kupigania nafasi zao