Mpaka Kenya nako polisi wametanda wakiogopa maandamano

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,759
Reaction score
37,374
Leo hapa Nairobi nako maduka yamefungwa na polisi wametanda.

Ina maana lugha moja inaanza kutawala kwa wananchi.
 
Mimi bado naamini wanaochochea hisia za watu kuandamana wapo kwenye mfumo na wanafanya hivyo makusudi ili kujipata pesa kilaini isiyo na Querry kwa Mkaguzi wa hesabu za Serikali.
Vijana wengine nao kama nyumbu wanatumika kuwasaidia watu kula pesa bila kujua.
 
DR CONGO Kesho nao wanakiamsha, maandamano yao wao ni kugoma na kubaki nyumbani
 
Kuna Mapolisi wanatamani kumshkuru alietangaza maandamano ya Mchongo maana hizi posho zitapush ada za shule sana.
 
Mimi bado naamini wanaochochea hisia za watu kuandamana wapo kwenye mfumo na wanafanya hivyo makusudi ili kujipata pesa kilaini isiyo na Querry kwa Mkaguzi wa hesabu za Serikali.
Vijana wengine nao kama nyumbu wanatumika kuwasaidia watu kula pesa bila kujua.
Usiende mbali ni hawa hawa watu wa ulinzi maana nadhani kwenye hili wao wanafaidika kwa kupewa budget kubwa zinazowanufaisha huko juu.
Maana ukiangalia hakukuwa na haja ya kupromote haya mambo kiasi hiki imagine siku muhimu kabisa kwa wafanya biashara Tanzania imekuwa ruined na huu ujinga mambo yamesimama watu wanapata hasara ni mwendo wakujazana hofu tu.
 
1783407949787.png
🔥 🔥 🔥 😅
 
Upo sahihi sana ndugu afisa.
 
Bila bantu/EA Spring mambo hayatanoga. M7 kageuza nchi kuwa mali ya familia, fagio linatakiwa kuanzia huko kuja mashariki na kusini.
 
Leo hapa Nairobi nako maduka yamefungwa na polisi wametanda.

Ina maana lugha moja inaanza kutawala kwa wananchi.
sabasaba ni public holiday, ndio maana hakuna masomo, hakuna baadhi ya huduma za umma, na maduka baadhi mitaani hufungwa ili kutoa fursa ya kusherehekea siku hii maalumu ya kibishara katika viwanja maalumu kama vile viwanja vya maonyesho ya kibaashara ya kimataifa sabasaba Tanzania n.k na kujipatia huduma, mahitaji na bidhaa mbalimbali kwenye maonyesho hayo.

ni muhimu sana kujua hili na itapendeza zaidi 🐒
 
Nipo chini ya uvungu ni nini kinaendelea huko mtaani?
 
Back
Top Bottom