maandamano ya amani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. pulex

    JamiiForums Tanzania Group la Discord kuelekea maandamano ya amani na ya kikatiba October 29

    Kufanikisha siku ya ukombozi ya October 29 kupitia maandamano ya amani na ya kikatiba basi tujiunge na group la Discord kupitia link iliyopo hapo chini kwaajili ya kujiorganize na kupeana motisha kwani tumeona uko Nepal, Morocco na kwengine, Discord imekuwa njia rahisi na pekee ya kuaminika...
  2. canular

    JamiiForums Tanzania Watanzania Amkeni kumekucha

    Watanzania wenzangu, tarehe 29 Oktoba 2025 ni siku muhimu sana kwa nchi yetu. Tumekuwa tukililia haki zetu kwa muda mrefu, lakini viongozi wameendelea kutunyima na kupora utajiri wa taifa letu. Sasa, ni muda wetu kuonyesha dunia nzima kwamba tumechoka kudhulumiwa na kutawaliwa bila haki...
  3. Damaso

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baadhi ya Vijana walioaga kuelekea maandamano ya amani Oktoba 29, 2025

    Hizi ni baadhi ya picha za watu ambao wameshaweka bayana kuwa wataingia road kukiamsha. Huko Tiktok kimeshanuka balaa, watu wanaonesha msimamo wa ajabu sana. Kama nawaona maafisa usalama wanavyowatazama na kujiandaa kwenda kutoa roho za watu ili kutetea masilahi ya viongozi.
  4. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Niwaombe TEC , kwakua CCM ni Sikio la Kufa , TEC itoe waraka Rasimi kuwataka Waumini kutoshiriki Uchaguzi au Maandamano ya Amani

    CCM Kwa aina ya Maisha yao ya nyuma na Sasa, Hofu kuhusu nini kitakachotokea mbeleni ndio inayowafanya wawe wagumu wa Mioyo Kuruhusu Mabadiliko ya Mfumo wa Uchaguzi. Ofcoz Kuna mambo ambayo ni lazima yajulikane ilikuaje kuaje tukafikie hapa , Mauaji ya Mzee Kibao, Tundu LISSU Kupigwa Risasi...
  5. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania NDUGU MWANACHADEMA, UNACHAGUA KUA UPANDE WA KIDEMOKRASIA, NO REFORM NO ELECTIONS AU UPANDE WA MAANDAMANO YA AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU WA OCTOBER?

    Kuelekea uchaguzi mkuu wa mwezi October mwaka huu, utata na migawanyiko imeibuka hususan ndani ya chadema. Je kama mwana chadema, ukiachilia mbali mvutano wa kamati kuu na g55, wewe ungependa uwe upande gani katika mgawanyiko huu wa kidemokrasia ndani ya chadema? :NoGodNo: Mungu Ibariki Tanzania
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Familia ya Hayati Magufuli yaongoza maandamano ya Amani Chato, yapongeza Rais Samia kwa kukamilisha miradi

    Familia ya Hayati Rais John Pombe Magufuli ikiongozwa na Mtoto wa Dr. Magufuli aitwaye Jesca Magufuli, imeongoza maandamano ya amani leo March 16 2025 Chato, Geita kumuenzi Hayati Magufuli na kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutekeleza na kukamilisha miradi iliyoanzishwa na Hayati...
  7. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Fananisha jinsi Polisi wa Ujerumani na Tanzania wanavyo shughulikia maandamano ya amani yanayopinga misimamo ya serikali

    Serikali ya Ujerumani inaunga mkono serikali ya Israeli kwa yale yote ambayo Netanyahu anawafanyia waarabu wa Palestina, Lebanon na kwingineko. Serikali ya Ujerumani inaipatia serikali ya Israeli misaada ya silaha na pesa kutekeleza hiyo genocide ya wapalestina. Huo ndiyo msimamo wa serikali ya...
  8. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya Amani kupinga mashambulizi ya Israel huko Lebanon Kwa Hezbollah

    Ndugu zangu katika Imani tupinge mashambulizi makali ya Mzayuni huko Kwa ndugu zetu katika Imani, Lebanon kwa maandamano ya Amani. Tarehe: Ijumaa, 06 Disemba, 2024 baada ya Salat Al jummah Mahali (route): Magomeni Kichangani - Jangwani - Viwanja vya Mnazi Mmoja Wabillah Taufiq
  9. L

    JamiiForums Tanzania Wana CHADEMA wamsaliti na kumgomea kabisa Mbowe kuandamana mpaka ajikuta akikamatwa akiwa mwenyewe na waandishi wa habari tu

    Ndugu zangu Watanzania, Mbowe ametia sana huruma leo alipokuwa anakamatwa na kupakiwa kwenye Gari la kifahari la polisi .Amejikuta hakuna mwana CHADEMA hata mmoja aliyejitokeza wala kuwa karibu naye kumtetea au kumsaidia kwa lolote lile ,zaidi ya kuona waandishi wa habari wakiongozwa na KIkEKE...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yatangaza Kupuuza Tamko la Jeshi la Polisi, Maandamano yako Pale pale

    Akizungumza na Waandishi wa Habari leo mara baada ya Tamko Batili la Jeshi la Polisi la Kuzuia Maandamano Halali ya Chadema, Mkurugenzi wa Itifaki wa Chama hicho, John Mrema, amesema kwamba Wajibu Pekee wa Polisi kwenye mandamano yoyote ni kuimarisha Ulinzi tu, hawana Mamlaka yoyote ya...
  11. milele amina

    JamiiForums Tanzania Sababu za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa na wasiwasi kuhusu maandamano ya amani ya September 23, 2024

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaweza kuwa na wasiwasi kuhusu maandamano ya amani kwa sababu kadhaa: 1. Kudhibiti Siasa: CCM inaweza kuona maandamano kama njia ya kuonyesha upinzani na kutishia ushawishi wao katika siasa. 2. Usalama wa Umma: Kuna hofu kwamba maandamano, hata kama ni ya amani...
  12. Msanii

    JamiiForums Tanzania Intelejensia: CHADEMA wamewatega polisi, wamejazana Dar na sasa wanapaswa kulinda maandamano ya amani 23/09

    Barua hii ya tarehe 20 Septemba 2024 inayotajwa kupelekwa polisi mikoa ya Ilala na Kinondoni ni dhahiri imeonesha namna chama hiko wanavyozichanga vyema karata kuelekea maandamano ya 23 Septemba 2024. Tumeshuhudia mrundikano wa polisi kutoka mikoani kuletwa Dar kudhibiti maandamano haya...
  13. dog 1

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waendelea na ajenda yao ya maandamano ya amani. Wapeleka barua Polisi kuomba ulinzi

    CHADEMA leo ijumaa imewasilisha taarifa ya Maandamano ya Amani tarehe 23 SEPTEMBA, 2024 kama sheria inavyoelekeza. Yaonyesha njia, ajenda na hitimisho litakuwa wapi. Watimiza masharti ya kuwasilisha taarifa saa 48 kabla ya Maandamano kufanyika. Soma Pia: Freeman Mbowe: Tutaandamana kudai...
  14. D

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 "Samia Must Go!": Kuna kila dalili za CHADEMA kutaka kupindua Serikali halali!

    Hakuna asiyejua kuwa Rais Samia Suluhu Hassan hajaingia madarakani kinyemela bali ameingia madarakani kikatiba. Kuja na kauli mbiu ya maandamano ya Samia Must Go ina ukakasi ndani yake. She Must go, well where and why? Kama siyo mapinduzi ni nini? Sheria inasemaje kwa watu au mtu anayepanga...
  15. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maandamano ya amani yanazuiwa Tanzania?

    Hakuna sababu ya kuzuia political activity. Vijana wanalia, literally,kwa sababu wananyimwa haki zao za kikatiba. Msajili wa vyama badala ya kufacilitate political activity,yeye anataka kuizuia. CCM always kilikuwa Chama compassionate, lakini sasa kinakuwa Chama cha ukatili. Halafu EU au...
  16. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kama taifa kuna umuhimu mkubwa sana wa kufanya maandamano ya amani ya kitaifa Tanzania

    ni katika kuipongeza serikali hii sikivu, kutambua, kumpongeza na kuunga mkono nia na dhamira ya dhati ya mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Tanzanian Dr. Samia Suluhu Hassan, kwa hatua muhimu za makusudi, kimkakati katika chochea mageuzi na kuwaletea waTanzania maendeleo endelevu, kijamii...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Natangaza maamdamano ya amani kwa sisi vijana ambao hatuna mwelekeo baada ya kuhitimu vyuo. Tukutane kesho Posta

    Sisi Watanzani ni waoga sana. Inafahamika kuwa ni jukumu la serikali kujua mstakabali wa vijana na kama imeshindwa suwala zima la kujua ustawi wetu na haisemi ni wajibu wetu kuingia barabarani wajiuzuru. Haiwezeknani ajira hakuna, hata za ualimu au udaktari na zikitilewa ni kujuana kwa kwenda...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA kutoa ratiba mpya ya Maandamano ya Amani hivi karibuni

    Taarifa njema iliyotufikia hivi sasa inaeleza kwamba, Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) kinatarajia kutoa Ratiba mpya ya Maandamano ya Amani yenye lengo la kupinga Ugumu wa Maisha, Kikokotoo na sheria mbovu za Uchaguzi. Habari zinaeleza kwamba maandamano hayo yatagusa maeneo yote...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yanayoongozwa na Freeman Mbowe

    Kama ilivyotangazwa awali , leo ndio hitimisho la awamu ya kwanza ya Wiki ya Maandamano, Ambapo Mwamba Kabisa Freeman Mbowe ataisimamisha Kilimanjaro pale atakapoongoza Maandamano Moshi Mjini Usiondoke JF kwa Taarifa kamili =========== Ukombozi unaendelea Pia soma: Mbowe hebu tupe...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Manyara: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yanayoongozwa na Tundu Lissu

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Tundu Lissu anasimamia Maandamano ya kupinga Ugumu wa maisha , kikokotoo pamoja na sheria mbovu za Uchaguzi . Maandamano hayo yanafanyika Mkoani Manyara . Kama kawaida Mimi Mtumishi wako nitakuletea kila kinachojiri . Usiondoke JF =========== Tayari...
Back
Top Bottom