maandamano ya amani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi: Maandamano yapo 9/11 kama ilivyopangwa

    Huu ni mrejesho wa yenye kujiri: (a) Kuhusiana na ukimya Mwakaleli, Mbeya: 1. Kulipita tafrani hadi kuhitaji usaidizi tokea ofisi kubwa: "Mbowe, Lissu chukueni hatua kurejesha nidhamu kwenye chama" 2. Heshima kwenu sana waheshimiwa Freeman Aikael Mbowe na Tundu Antipas Lissu. 3. Wajumbe...
  2. Mdude_Nyagali

    JamiiForums Tanzania Rasmi: Maandamano ya kupinga mkataba wa bandari ni tarehe 9 Novemba 2023

    Rasmi sasa maandamano yetu ya amani ya kupinga mkataba wa bandari ni tarehe 9 Novemba 2023 kama tamko linavyojieleza. Watanzania anzeni kujiandaa na mvua za manyunyu kabla hatujaanza na mvua za mawe.
  3. P

    JamiiForums Tanzania Maandamano makubwa ya Amani kupinga DP World kufanyika Julai 22

    Wakuu, Maandamano hayo ni kwa ajili ya watu wote wanaopinga mkatabda wa bandari kati ya Tanzania na DP World. Maandalizi ya maandamano hayo yanaendelea ikiwa ni pamoja na kuwasisitiza watu kuwa maandamano hayo ni ya amani na kuwafundisha jinsi ya kushiriki maandamano hayo ikiwa ni pamoja na...
  4. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kulinda Haki za Kikatiba: Jukumu la Serikali katika Kuwalinda Wananchi wakati wa Maandamano ya Amani

    KULINDA HAKI ZA KIKATIBA: JUKUMU LA SERIKALI KATIKA KUWALINDA WANANCHI WAKATI WA MAANDAMANO YA AMANI Imeandikwa na: MwlRCT UTANGULIZI Suala la maandamano na haki za wananchi ni jambo muhimu sana katika kuhakikisha demokrasia inazingatiwa katika nchi yetu. Uhuru wa kujieleza na kuandamana ni...
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Tunachokishuhudia Kenya si maandamano ya amani bali ni vurugu na uhalifu

    Maandamano ya tarehe 20/3 tulishuhudia maduka yakivunjwa na waandamanaji na kupora mali za watu, tumeshuhudia magari yakichomwa moto, matairi yakichomwa barabarani vurugu tupu. Juzi trh 27/3, Tena tumeshuhudia makanisa na misikiti ikichomwa moto na waandamanaji, lakini pia shamba la Rais...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Maandamano Nchini Kenya, Machi 20, 2023

    VIONGOZI WA UPINZANI WAKAMATWA, RAIA APIGWA RISASI Seneta wa Kilifi, Stewart Madzayo pamoja na Wabunge Amina Mnyazi na Ken Chonga, wanaripotiwa kushikiliwa na Polisi kwa kushiriki maandamano ya kuipinga Serikali katika Mji Mkuu, Nairobi Hadi hivi sasa Raia kadhaa wanaripotiwa kushikiliwa huku...
  7. Poppy Hatonn

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raila aitisha maandamano ya amani siku ya Jumatano kulalamika kuhusu hali ngumu ya maisha

    Raila anawaambia Wakenya vitu vimepanda bei, (kama wanakubaliana naye) watu waandamane siku ya Jumatano. Kwanza Raila alitoa ultimatum kwa Rutto, ultimatum ya wiki mbili ambayo itaisha Jumatano.(Ultimatum hiyo bado sijajua inahusu nini).
  8. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Mfumuko huu wa bei nchini, Watanzania tumekuwa wapole mno. Tunahitaji maandamano ya amani

    Hali mtaani inatisha sana, karibu kila kitu kimepanda bei, kuanzia maduka ya ujenzi hadi maduka ya vyakula, hadi pipi zimepanda bei. Kipato cha Mtanzania kiko palepale na asilimia kubwa ya vijana hawana ajira wala kipato chochote. Sahivi ukininunua mafuta ya elfu moja ya kupikia hayatoshi...
  9. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Onyo: CCM msijaribu kufanya vurugu Agosti 5, 2021

    Nawakumbusha kwa upole sana, CCM na wengine, tunazo taarifa zenu kuwa mnataka kupandikiza vijana wa UVCCM mkijifanya ni CHADEMA siku ya kesi ya kishenzi mliyompa FM. Mipango yenu yote tunayao, tunajua vijana mnaowatuma na pesa mnazowapa ili wafanye vurugu then mpate ajenda yenu. I warn you...
  10. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuweni makini mkianza maandamano ya amani

    Mtakapoanza maandamano ya amani nendeni na simu zenu zenye video kamera ili kuwa na ushahidi wa watakaoanzisha uvunjaji wa amani na kuwatambua hata kwa sura. Ni wazi magaidi ambao siyo wa CHADEMA watataka walianzishe ili lawana ziende CHADEMA. Nawasilisha.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Wapinzani na wanaharakati, andaeni maandamano ya amani kutaka uwazi wa mikataba ukiwemo wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo

    Naomba nitoe wito kwa wanasiasa upinzani pamoja na wanaharakati, waombe kibali cha kufanya maandamano ya amani kushinikiza uwazi wa mikataba ukiwemo mkataba wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo. Mradi huu ni mkubwa sana na kwa maana hiyo, unaweza kuleta matokeo makubwa kwa nchi yetu ambayo yanawe...
Back
Top Bottom