maandamano ya amani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Simiyu: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA

    Kwa mujibu wa Ratiba iliyosambazwa na CHADEMA, leo ni zamu ya Mkoa wa Simiyu, ambako wananchi wataandamana mitaani kupinga Ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za Uchaguzi nchini Tanzania. Kama kawaida yetu na kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu tutawaletea kila kinachojiri. Usiondoke JF ==========...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kagera: Maandalizi ya Wiki ya Maandamano ya Amani yakamilika

    Taarifa ikufikie popote ulipo , kwamba ile wiki ya Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA yatakayofanyika Dunia nzima , kupinga Ugumu wa Maisha Nchini Tanzania pamoja na Sheria mbovu na Duni sana za Uchaguzi zilizosainiwa na Rais Samia , huku akijua kwamba Sheria hizo ni Hatarishi na...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Arusha: Yanayojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA, leo Februari 27, 2024

    Kama ilivyoelezwa tangu awali, hatimaye ile Neema ya Maandamano ya Kupinga Ugumu wa Maisha, Dhiki na Ufukara ikiwa ni pamoja na kupinga miswada mibovu ya sheria za uchaguzi Imeingia Jijini Arusha. Watu ni wengi kwelikweli na karibu vituo vyote vya kuanzia maandamano hayo vimefurika. Kama...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Polisi waridhia Maandamano ya CHADEMA Arusha, wasisitiza kuzingatia Sheria za Nchi

    Kila mwenye macho ajisomee mwenyewe.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Hivi maandamano ya amani ya CHADEMA yana tija gani mbona mambo yanazidi kuwa magumu kwa wananchi? Au ni usanii tu

    Wanajamvi kichwa cha habari chajieleza CHADEMA walianza maandamano ya amani kuishinikiza serikali kupunguza makali ya maisha kwa wananchi tarehe 24.01.2024 Hali ya sasa inayoendelea nchini ni kama maandamano hayo yamezidi kuchochea hali mbaya na yanaonyesha hayana tija yoyote zaidi ya kuleta...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Arusha: Zimebakia siku 6 tu kabla Neema ya Maandamano ya Amani

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba yale Maandamano yaliyoletwa na Mungu, ya kupinga Dhiki, Ufukara, Ugumu wa Maisha, Bei kubwa ya bidhaa zote ikiwemo Vyakula, pamoja na kupinga miswada mibovu ya sheria za uchaguzi, Maandamano yanayoandaliwa na Chama chenye Maono CHADEMA, Sasa yameingia...
  7. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa kauli ya DC Mbeya, maandamano ya CHADEMA yanafanyika sababu Rais Samia ameruhusu na sio kwa sababu ya Katiba

    Mara nyingine nikiwaza mambo yanavyofanyika hapa Tanzaniia, naona kama tumekuwa jumuiya fulani katika uwanja wa fujo. Tunaishi kwa matamko ya Raisi, mawaziri, wakuu wa Polisi, wakuu wa mikoa na mara nyingine katibu mwenezi wa CCM! Hivi hakuna watu wenye akili nchini, na hasa viongozi, wakaona...
  8. Tate Mkuu

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya CHADEMA Mkoani Mbeya Februari 20 yameleta faraja kubwa

    Nyinyi ndugu zangu humu jukwaani ni mashahidi. Kijana wetu leo ametulia sana humu jukwaani. Bila shaka alisafiri kutoka kwao Mbozi, mpaka Mbeya Mjini ili kwenda kuwaona Makamanda wa Chadema live! Yaani moyo wake utakuwa umesuuzika baada ya kuwaona Makamanda kama Lissu, Mbowe, na wengineo live...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe awasili Mkoani Mbeya tayari kwa Maandamano ya Amani

    Hii ndio taarifa mpya ya sasa , kwamba yule Mwamba wa siasa za Tanzania amekwishatua Jijini Mbeya , hii maana yake ni kwamba ataongoza Maandamano ya Amani ya kupinga dhiki , Ufukara na Ugumu wa Maisha , Pamoja na miswada mibovu ya Sheria za Uchaguzi
  10. R

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya Februari 20 Mbeya, kiongozi wetu atakuwepo nchini?

    Salaam, Shalom! Baada ya kumaliza msiba, tuendelee na ujenzi wa Nchi yetu. Yalifanyika maandamano katika majiji makubwa nchini, Dar es Salaam na Mwanza, maandamano hayo yameendelea kupata mwitikio mkubwa wa wananchi, hayo yametokea kiongozi wetu ,Mkuu wa Nchi akiwa nje ya Nchi ziarani. Je ni...
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Tunduma: Sugu afagia uwanja kabla ya maandamano ya Amani 20 Feb 2024

    Huu hapa ni Mkutano wake wa leo wa kuwaanda wananchi wa Tunduma kwa ajili ya Maandamano Matukufu yatakayofanyika Mbeya
  12. Idugunde

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe: Tunaweza kufanya maandamano ya shari endapo hatutosikilizwa

    Katika maandamano yaliyofanyika Mwanza, Februari 16, 2024, Freeman Mbowe amesema "Tuna uwezo wa kufanya maandamano ya amani, lakini vilevile tuna uwezo wa kufanya maandamano ya shari. Nawaambia polisi na usalama wa taifa, waelezeni mabosi zenu, sisi kitu tunachokisema viongozi wa CHADEMA...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Picha: Yaliyojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na CHADEMA Mwanza

    Leo Tarehe 15 feb 2024 ni siku ya baraka Jijini Mwanza, baada ya umati wa wananchi kujitokeza kwa wingi kushiriki maandamano ya amani ya kupinga ugumu wa maisha n miswada mibovu ya sheria za uchaguzi. Viwanja vya Furahisha vyazidiwa watu wamesimama mguu mmoja mmoja, ukisimama miguu miwili...
  14. D

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kusimamisha maandamano ya tarehe 15 Februari ni udhaifu mkubwa

    Naona kuna wito unatolewa kwa CHADEMA na baadhi ya watu kuwa chama hicho kisitushe maandamano hayo ya kudai haki kupisha maombolezo ya kifo cha Edward Lowassa. Wanatumia kigezo kuwa Lowassa pia amewahi kuwa mgombea Urais wa chama hicho hivyo watakuwa wanadhulumu haki yake ya kuombolezewa...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwanza: Maandalizi ya Maandamano ya amani kupinga ugumu wa maisha, miswada mibovu ya Sheria za Uchaguzi yakamilika

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Maandalizi ya Maandamano ya Amani ya kupinga Ugumu wa Maisha , dhiki na ufukara uliopitiliza, yalioambatana na kupinga Miswada mibovu ya Sheria za Uchaguzi iliyowasilishwa bungeni yamekamilika. Leo Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Benson Kigaila ameongoza...
  16. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 KKKT Arusha wampongeza Rais Samia kwa kuruhusu Maandamano ya Amani ya Chadema jijini DSM, waomba aendelee kusikiliza Sauti ya Mungu

    Askofu wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini Kati anayestaafu Dr Tavsangwa amempongeza na kumshukuru Rais Samia kwa kuyaruhusu Maandamano ya Chadema yaliyofanyika jijini DSM. Askofu amesema yawezekana Sauti za kukataa Maandamano zilkuwa nyingi kutoka Bungeni, Mahakama, Vyama vya Siasa, Wananchi nk...
  17. comte

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya amani! takwimu zinaonyesha yaweza kuishia kwenye machafuko

    Armed Conflict Location & Event Data Project (ACLED) provides that while a majority of the events analysed did not feature contestation by competing sides, roughly 7 per cent involved some sort of interaction. The police or military were deployed in 5 per cent of events, a substantial number at...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Zikiwa zimesalia siku chache, Wadau wazidi kuunga Mkono Maandamano ya Amani

    Huku kukiwa Tayari kumetolewa ratiba kamili ya maandamano ya Chadema na Wananchi , ili kupeleka ujumbe duniani wa kushinikiza kuondolewa kwa miswada mibovu ya Sheria za Uchaguzi bungeni , Tayari lundo la Wadau wameunga Mkono jambo hilo wakiwemo Waandishi wa habari Hesabu ya leo inaonyesha...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Chalamila ni muumini wa maandamano ya amani, bado tunakumbuka kauli ya Mwanza

    Salaam, Shalom!! Ndugu Chalamila, uliwahi Kutoa kauli kuhusu kuhamasisha maandamano na kuandika mabango Ukiwa RC Mwanza. Ulisema, ni Ruksa kubeba mabango yenye jumbe mbalimbali. Ni muhimu ukawapa ushirikiano CHADEMA maana Dar Ina wapiga kura pia ambao wangependa kushuhudia na kushiriki...
  20. Msanii

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA na tamko la maandamano ya amani

    Mbowe amezungumza......
Back
Top Bottom