maandalizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania NFRA lipeni fedha za mahindi ya wakulima ili waanze maandalizi ya kununua pembejeo

    Tunaishukuru sana Serikali kwa uamuzi wa kununua Mahindi ya Wakulima kwa Bei elekezi ya KG 1 Tsh 860. Hata hivyo tangu Wakulima wapekele Mahindi yao bado hawajalipwa Fedha zao hali inayosababisha kuleta ugumu wa kufanta maandalizi ya Kilimo kwa msimu huu wa Masika ambao kwa mikoa ya Nyanda za...
  2. JamiiForums Tanzania Maandalizi ya kubinafsisha Bandari yalikuwa makubwa, sasa ni reli

    Mheshimiwa Posi nimekusikiliza vizuri kipindi cha jambo na nimesoma citizen ninakukupa maua yako toka nyota yako ilipong'ara serikali ya awamu ya Tano umefaa kila kona uliyopelekwa kutumikia Taifa, naamini unaweza kuishauri serikali ikakusikia kama mwana uchumi. Hivi inaingia akilini kweli...
  3. JamiiForums Tanzania Kanda ya Nyasa: Maandalizi ya Oparesheni 255 yakamilika

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Kamati ya Utendaji ya CHADEMA kwenye ile kanda kabambe ya Nyasa imemaliza vikao vyake kwa ajili ya Maandalizi ya Oparesheni 255. Oparesheni hiyo Kabambe ina lengo la kuwaamsha Wananchi juu ya Umuhimu wa Katiba mpya ikiwa ni pamoja na kuwafundisha Uzalendo...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Maandalizi ya shughuli au sherehe ya Engagement: Nahitaji Ushauri Wenu

    Nina mpenzi wangu ambaye natarajia kabisa kufunga naye ndoa, lakini kuna mambo ambayo naona yanakwenda kinyume na matarajio yangu. Kibinafsi, sipendi kufanya sherehe za harusi zenye gharama kubwa ambazo mara nyingine huwa ni israfu. Hata hivyo, mpenzi wangu ni mtu ambaye anathamini na kupenda...
  5. JamiiForums Tanzania Simba mtakachoambulia kwenye Super League ni zile b.5 mlizopewa za maandalizi vinginevyo hamna chenu mbele ya Al Ahly

    Ni vile tu kukaza roho na kuondoa aibu but kiuhalisia simba alikuwa anatamaniwa na kila timu iliyokuwepo kwenye hii michuano, na kwa bahati mbaya kaangukia mdomoni mwa wababe wa misri! Kiufupi ni kwamba mwendo mmeumaliza mechi ya kwanza tu out! Itakuwa ni asante kwa kushiriki, labda walale...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kama huu mkataba (IGA) ulikuwepo zaidi ya mwaka, HGA pia ipo zaidi ya mwaka sasa, kinachofanyika ni maandalizi muafaka ili uanze HGA iingie kazini!

    Kuna hoja dhaifu kuwa kwa kuwa IGA katika mkataba wa bandari una matatizo, basi tuje tuwe macho kwenye maandalizi ya HGA ili yale madhaifu ya kwenye IGA yarekebishwe na HGA. Kwanza kwa faida ya baadhi yetu ni kwamba HGA (Host Government Agreement) ni makubaliano ya msingi kati ya mwekezaji wa...
  7. JamiiForums Tanzania Uwanja wa Amaan Zanzibar wakaguliwa maandalizi ya AFCON 2027

    Timu ya Wakaguzi ya utayari wa nchi za Kenya Uganda na Tanzania kuhusu utayari wao wa kuwa wenyeji AFCON 2027, leo hii Julai 31, 2023 wapo Zanzibar ambapo wamekagua Uwanja wa Amaan, hospitali ya Mnazi Moja, Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Aman Karume pamoja na viwanja vingine vya mazoezi...
  8. JamiiForums Tanzania Waandishi wa Mwananchi Washambuliwa Wakifuatalia Maandalizi ya Mkutano wa CHADEMA Temeke, Gari Lavunjwa Vioo, Waibiwa Simu

    Waandishi wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Fortune Francis, Sunday George na dereva wa kampuni hiyo, Omary Mhando wamejeruhiwa baada ya kupigwa na kundi la vijana ambao hawajafahamika wa chama gani wakati wakitekeleza majukumu ya katika Uwanja wa Buriaga, Temeke jijini Dar...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Kukatika umeme kwenye baadhi ya maeneo leo ni maandalizi ya kutunyima taarifa juu ya kitakachoendelea kesho Julai 23?

    Wakuu, Baadhi ya maeneo leo umeme umekatika mapema asubuhi mpaka sasa hola. Hakuna taarifa yoyote iliyotolewa juu ya kukatwa kwa umeme kwa baadhi ya maeneo. Je, haya ni maandalizi ya kutunyima taarifa kwa yale yatakayojiri kesho? Haishindwi kutokea na mitandao yote ya kijamii ikawa chini...
  10. J

    JamiiForums Tanzania JK ampongeza Rais Samia maandalizi uzinduzi programu ya uwekezaji sekta ya maji Tanzania 2024-2030

    JK AMPONGEZA RAIS SAMIA MAANDALIZI UZINDUZI PROGRAMU YA UWEKEZAJI SEKTA YA MAJI TANZANIA 2024-2030 Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Nne ambaye ni Mwenyekiti wa Bodi ya Global Water Partnership Southern Africa (GWPSA) na Mwenyekiti...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwateua Bulembo, Lukuvi ni maandalizi ya 2025?

    Uteuzi uliofanywa juzi na Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwateua vigogo wanne wa kisiasa kumsaidia katika eneo la siasa na uhusiano wa Jamii umetafsiriwa ni "Kuimarisha safu kuelekea michakato ya kisiasa", hasa uchaguzi Mkuu wa 2025 Vigogo walioteuliwa juzi ni Waziri wa zamani wa Ardhi, Nyumba...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali imekamilisha maandalizi ya Rasimu ya Sera ya Taifa ya Ugatuaji wa Madaraka

    SERIKALI KUWA NA IMANI NA SERA YA TAIFA YA UGATUAJI WA MADARAKA KATIKA MAWANDA YA USHIRIKISHWAJI WA WADAU Serikali imekamilisha maandalizi ya Rasimu ya Sera ya Taifa ya Ugatuaji wa Madaraka ambapo wadau mbalimbali wameshirikishwa na kutoa maoni yao ambapo Rasimu hiyo imewasilishwa katika ngazi...
  13. JamiiForums Tanzania Mafanikio ni maandalizi

    Tuwaandae watoto wetu, ndugu, jamaa na marafiki katika kutimiza ndoto na malengo yao Vinginevyo au basi.
  14. JamiiForums Tanzania Video: Maandalizi ya kuanza kukomboa ardhi yao, Ukraine waanza kula viapo

    Ukraine waanza kula viapo vya mapigano ambayo yatarejesha ardhi yao....
  15. JamiiForums Tanzania Nje ya pesa ya kuishia hatua flani, caf huwa wanatoa pesa za maandalizi, malazi na kujikimu kwa timu ambazo zinasonga mbele ?

    timu inapotolewa katika hatua fulani, ndiyo hupatiwa pesa iwe ni makundi, robo fainali, nusu fainali ama hadi imalize fainali. timu ikiishia makundi inapewa pesa, wanaosonga mbele robo fainali hawapewi timu ikiishia robo fainali inapewa pesa, wanaosonga mbele nusu fainali hawapewi timu...
  16. JamiiForums Tanzania Kumbe yaliyokuwa Maandalizi Kabambe ya Wiki nzima yalikuwa ni kuhakikisha leo tunatoka Sare na Wanaijeria?

    Kumbe nia yenu Kuu na Juhudi zote mlizofanya Wiki nzima kabla ya kukutana na Rivers United FC leo ni kutaka tu Mashabiki wenu AKILI HAMNAZO waujaze tu Uwanja wa Mkapa ili mpige Pesa lakini siyo Kuiandaa Timu ili leo isitie Aibu kwa kutoka Suluhu ( bila Kufungana ) wakati mnaichezea Nyumbani na...
  17. JamiiForums Tanzania Maandalizi ya msiba

    Oya masela na mademu wa jf hivi nani hili jambo lilishamtokea yeyote kati yenu? Pale ambapo jirani yako anakaribia kudanja kwa ugonjwa mbaya maybe cancer au mshtuko wa moyo halafu wewe ukishajua kua kwa taarifa za ndugu zake kua "huko hospitali flani bin flani kwakweli amezidiwa na hatuna...
  18. JamiiForums Tanzania Haya madubwana yapokewa Ukraine huku maandalizi ya spring counteroffensive yakiendelea

    Urusi ilibugi sana kwa kushindwa kutekeleza malengo ya kuiteka Kyev pale mwanzo, sasa kinachofata ni aibu tupu maana tayari wamekwama Bakhmut, wameshindwa kuteka hako kamji licha ya kupoteza wanajeshi kama senene humo, sasa Ukraine wapo kwenye maandalizi ya kuirejesha ardhi yao.... The Patriot...
  19. JamiiForums Tanzania Urusi, China, Iran na Saudi Arabia zaanza maandalizi ya kuachana na matumizi ya Dola ya Marekani

    Ripoti mbalimbali zinadai kuwa Benki kuu za Urusi na Uchina zimeanza kuondoa akiba ya dola ya Marekani katika hifadhi yake huku biashara zake nyingi zikiendeswa kwa Yuan ya China. Kuhama huku kutoka kwenye dola kumechochewa na vikwazo vilivyowekwa dhidi ya Urusi kwa kuivamia Ukraine...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Pindi Chana, Taifa Stars haihitaji Hamasa na Maombi kwa Mungu bali Maandalizi makubwa na Utayari wa Wachezaji

    Binafsi tokea uteuliwe kuwa Waziri wa Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo sijaona la maana ulilofanya hata katika Press Conferences zako zote. Yaani kabisa Waziri mzima unasimama mbele ya watu wenye akili (akina GENTAMYCINE na wengineo hapa JamiiForums) unatuambia tufanye maombi (dua) ili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…