✳️JOKATE AWAPA TANO VIJANA KWA MAANDALIZI MAZURI YA MKUTANO MKUU CCM.
Na Mwandishi Wetu
KATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Jokate Mwegelo amesema jumuiya hiyo imeridhishwa na kazi kubwa na nzuri iliyofanywa na vijana wa chama hicho ya kuandaa ukumbi kwa...
Salaam,Shalom!!
Imeandikwa ( mithali 16:1), maandalio ya moyo ni ya mwanadamu, Bali....
Pana mtumishi mmoja pia aliwahi kuimba kuwa, Ibada huanzia nyumbani.
Sasa TOBA, msamaha, utakatifu wa mwili NAFSI na Roho, ni vitu vinavyotakiwa kuanzia nyumbani.
Kuoga, kusafisha mwili ni muhimu ila muda...
Arusha kumekucha, kuna habari kwamba God bless Lema ameomba kuonana na Rais Samia. Wadau wa mambo wanasema kwamba hii inazua tetesi zaidi kwamba inawezekana ni katika maandalizi ya kujiunga CCM, anataka kujua anatoka vipi.
Rais Samia atakuwa na ziara mkoani Arusha mwezi huu, tutarajie lolote...
Tanzania tuna vyama vya siasa takribani 18 kama sijakosea. Vyama ambavyo vimekua vikilalamika tangu wakati wa uandikishaji wapiga kura nawaona CHADEMA, CUF NA ACT.
Hii inadhihirisha kwamba wale wala ubwabwa na wenzake wamesimamisha wagombea na hawajakutana na changamoto yoyote. Na inasemekana...
Ni miaka miwili imepita sasa tangu umoja wa BRICS kuanza kusaka na kutafuta mfumo mbadala na huru wa wa malipo ya kifedha ambayo itatumika kufanya manunuzi na kulipia bidhaa mbali mbali baina ya nchi wanachama wa BRICS.
Huu ni moja ya mpango kabambe wa kuondoa utegemezi wa mfumo wa kimagharibi...
Enyi ndugu zangu watanzania, msiwe mashabiki na wapiga soga juu ya vita hii inayo endelea Mashariki ya kati, kwani huu ni muendelezo wa kutimia kwa vita kuu ya tatu ya dunia, vita ambayo hakuna atakaye faidika nayo si waislamu wala wakristo.
Midle East ndyo kitovu cha dunia, asili na historia...
Wadau hamjamboni nyote?
Israel imeamua na haipoi
Kuanzia saa 2:30 usiku huu Waziri Mkuu Benjamin Netanyau ataongoza kikao maalumu cha baraza la mawaziri kujadili maandalizi ya kujibu shambulizi la makombora ya Iran hivi karibuni
Wajumbe watakaohudhuria kikao cha baraza la mawaziri (usalama)...
Ukiwekeza kwa mwanamke basi muda wote utakua unaishi na mashaka ya kumpoteza.
Uoga wa kumpoteza utakufanya kushusha chini standards zako na kupuuzia red flags unazoziona kutoka kwake.
Iwe kumsomesha, kumfungulia biashara mwanamke n.k, usifanye ilo kosa, kwa sababu utakua mateka wa wema wako...
Wadau hamjamboni nyote?
Makomandoo wa IDF wameanza kulipua mahandaki yanayotumiwa na magaidi wa Hezbollah huko mpakani mwa Israel na Lebanon
Ni maandalizi ya uvamizi kamili unaotarajiwa muda wowote kuanzia sasa.
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Israeli troops have entered Hezbollah...
Hawa Wachina wamevurugwa.
Changan Auto wamekuja na Nevo E07 ambayo ni shapeshifter kama kwenye movie, ikimaanisha inaweza kua SUV na ukiamua kwa button moja tu inageuka inakua Pickup truck.
Hii chuma inakuja na options mbili, either full electric vehicle (EV) au range extender electric...
MATAYARISHO YA MAULID KWA ZITTO LEO USIKU
Mida hii kuna matayarisho makubwa uwanjani Kwa Zitto Mtaa wa Kionga na Jaribu, Magomeni Mapipa.
Uwanja uliozoeleka kwa chips na berbeque za kila aina umegeuka kuwa uwanja wa Qur'an, kumsalia Mtume SAW na visomo vya kuwaombea maghufira masheikh zetu...
Vijana wa upinzani Tanzania hasa kupitia vyama vikubwa vya chadema na act wazalendo ,wamejikita twita! Wanadhani kwa mabishano na kelele za twita wanaweza kuleta mageuzi yoyote katika nchi hii !! Watu wenye akili na weledi na wapiga kura wa kweli hata twita hawapo na wengine hata hawaijui kabisa...
Japo hatua hiyo inaweza kuwa imetokana na sababu nyingine, ukweli kwamba imetokea katika kipindi hiki cha vuguvugu kubwa kuishinikiza serikali iifungie X/Twitter unweza kuyumkinisha kuwa hizi ni dalili za awali za mtandao huo wa kijamii kufungiwa.
Hata hivyo, wakati viongozi mbalimbali wakuu wa...
Lebanon iliachia nchi yake itumike na magaidi wa kiislamu, sasa leo hii inapotaka kufanywa kama Gaza, waarabu wanaihama badala ya kubaki wapambane dhidi ya Israel.
==================
The Kuwaiti Foreign Affairs Ministry has called on its citizens who are currently in Lebanon to leave the...
Kila mwaka wa fedha, serikali huandaa na kuweka wazi makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha unaofuata. Licha ya umuhimu wake, swali kubwa linabaki kuwa ni kwa kiasi gani wananchi wanashiriki katika mchakato mzima wa maandalizi ya bajeti hizi? Bila shaka, upo umuhimu mkubwa wa...
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF), limeipongeza Tanzania kwa kupiga hatua kubwa katika masuala ya uwazi kwenye mchakato wa uandaaji na utekelezaji wa Bajeti Kuu ya Serikali kutokana na matokeo ya utafiti wa uliofanywa na Shirika hilo.
Pongezi hizo zimetolewa jijini Dodoma...
Kutakuwa na mawasilisho ya maoni kutoka kwa makundi mbalimbali ya kijamii na mjadala wa wazi
Mada za Utangulizi
1. Prof. Issa Shivji: Tanzania @ 60
2. Prof. Kitila Mkumbo: Tanzania ya 2050
Wachagizaji wa Mada
1. Prof. Samwel Wangwe
2. Mama Getrude Mongela
3. Dkt. Neema Mduma
4. Dkt. Richard Mbunda
Kamkeni ya wape mipira na jezi wakupe kula imeanza rasmi mkoani Singida. Wabunge wameanza kampeni hiyo ikiwa ni maandalizi ya uchaguzi mkuu.
Katika kampeni Hii tunategemea kushuhudia wabunge walio ungeni kwa kushirikiana na wale wanaolengwa kugombea Ubunge na udiwani wakifanya mazungumzo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.