maana

Maana Patel (born 18 March 2000) is an Indian backstroke swimmer from Ahmedabad, Gujarat.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Jamani naomba msaada kuhusu maana ya majina haya kwa kiswahili

    Hii mimea kwa kiingereza 1.Unaitwa -chamomile 2.Unaitwa-nutmeg nimejaribu kutafuta maana yake kwa kiswahili mpaka sasa sijafanikiwa. Tafadhali yeyote unaye fahamu jina la mimea hii kwa kiswahili,nakuomba unisaidie hapa tafadhali.
  2. JamiiForums Tanzania Weka msamiati ulioibuka awamu iliyopita na maana zake

    Awamu iliyopita ya hayati Magufuli, imekuza kiswahili kwa kufukua lahaja, tungo,misamiati mipya na kufufua mikuukuu. Ila cha ajabu mingine nilikuwa nafuata mikumbo tu bila kujali maana. Karibu uelezee unaoufahamu Chawa Mataga Tumbua Shangazi Shemasi Kukatwa mkia Beberu Wanyonge Bashite ...
  3. JamiiForums Tanzania Nitakuwa wa mwisho Kuamini kuwa Uchumi wa Tanzania umeshuka kutokana na Corona na ndiyo maana Mishahara inapigwa tu 'Danadana' Kupandishwa

    Ninachojua GENTAMYCINE kwanini Mishahara imekuwa ikipigwa tu 'danadana' Kupandishwa kwa Watumishi nchini tokea 2016 hadi tarehe 17 March, 2021 ni...... 1. Kukurupuka kuanzisha Miradi 2. Kuwekeza zaidi Chato 3. Kukomoa Matajiri wakubwa 4. Ufisadi mkubwa tu Serikalini 5. Kuharibu Mifumo ya Pesa...
  4. JamiiForums Tanzania Huu mchoro una maana gani? Una siri gani?

    Wakushi naomba mnisaidie tafsiri au maana ya picha / mchoro huu. Asante
  5. JamiiForums Tanzania Toka tumepata uhuru hadi leo, hatujawahi pata Rais wa maana!

    Kipimo cha Kiongozi au Rais ni kuwatoa wale anaowaongoza kwenye matatizo, tena kuwatoa haraka. Sasa basi, toka tumepata uhuru miaka 60 iliyopita tumepata marais wa 5, huyu ni wa sita. Wote hawa tukiwapima kwenye kipimo cha kututoa kwenye matatizo yetu wanapwaya vibaya. Bado raia sisi ni...
  6. JamiiForums Tanzania Hata mkiruhusiwa kufanya mikutano ya kisiasa mtatueleza nini cha maana tuwaelewe?

    Miaka mitano ya hayati Magufuli imewafumbua Watanzania mambo mengi. Imewafumbua Watanzania kuwa kulikuwa na pesa nyingi hazikusanywi kwa manufaa ya umma bali zilikuwa zinaingia mikononi mwa watu. Lakini pia imefumbua watu juu ya mambo mengi tu. Kama hawa wanasiasa ambao hawana hoja za msingi...
  7. JamiiForums Tanzania Huu usemi/methali "Kumkoma nyani giladi" maana yake nini?

    Nimekuwa nausikia sana ukitumiwa sehemu mbalimbali lakini nimeshindwa kabisa kujua maana yake na matumizi yake. "Kumkoma nyani giladi" Kumkoma na giladi huwa ina maana gani na inatumikaje?
  8. I

    JamiiForums Tanzania BAWACHA: Rais Samia asiwatambue Wabunge 19 wa Viti Maalum waliofukuzwa uanachama CHADEMA

    Katika mkutano huo, Catherine Ruge amesema: Tumeona kwenye vyombo vingi vya habari kuwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassani anaenda kulihutubia Bunge tarehe 22 -04-2021 kwa mara ya kwanza tangu alipoapishwa kwa rais wa JMT kufuatia kifo cha mtangulizi wake, Dkt. John Magufuli. Kuelekea tukio...
  9. JamiiForums Tanzania Wape Watoto fursa ya kujifunza masuala mengine katika maisha mbali na masomo ya darasani

    Habari za wakati huu jamiiforums Stories nyingi sana za KGB na zile zingine ambazo ninaandikaga kule jukwaa la jamii intelligence ni zile ambazo nilizisoma mwaka 2006 nikiwa kidato cha sita. Kipindi hicho hakuna smartphones lakini nilikuwa ninaiba muda kisha ninakwenda internet cafe moja...
  10. JamiiForums Tanzania JKT hata ukae miaka 5 hakuna ujuzi wa maana utakaoupata kiasi kwamba utaleta challenge mtaani

    Kama miaka 2 hivi imepita kwa I'd nyingine nilishauri kidato cha sita badala ya kwenda JKT kwa mujibu wa sheria waende VETA kwa mujibu wa sheria ikiwezekana wakae huko mwaka au miezi sita . VETA watarudi na ujuzi kamili ambao utaweza kuwachallenge mafundi wa mtaani. VETA cheaper ukilinganisha...
  11. JamiiForums Tanzania Ijue maana ya neno "Demka". Ni Kiswahili kutoka Zanzibar chenye asili ya lugha ya Kikae

    Hongera Mh Rais Samia Suluhu kwa kutuongezea msamiati kwenye lugha yetu. Katika kongamano na viongozi wa dini Rais Samia ametumia neno la kiswahili ambalo ni adimu kulisikia mitaani ingawa ni neno la kiswahili kutoka asili ya kusini mwa Zanzibar. demka Taz. demnga. demnga V cheza ngoma kwa...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Urais wa TLS hauna impact ya maana!

    Sitaki kwenda deep , ila ninachowashauri Wanasheria (TLS) badilisheni katiba yenu/sheria at least Rais wa TLS akae madarakani kwa miaka 3. Urais wa TLS hauna impact ya maana kwenye Nchi. Ni kama Urais wa DARUSO tu! Wanasheria acheni mambo ya kitoto, onyesheni maturity kwenye projection zenu!
  13. J

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya ulinzi wa taarifa binafsi (Personal Data Protection)

    Ulinzi wa taarifa ni mchakato wa kulinda taarifa muhimu dhidi ya kuibwa, kutumiwa vibaya, kuharibika au kupotea. Taarifa hizi ni zile ambazo mtu anajaza, anaandikisha au zinakusanywa kutoka kwake kupitia nyenzo za kidigitali au nje ya mtandao Ingawa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee: Deni la Taifa limefika Tsh. 71 trillion, maana yake kila mtanzania anadaiwa Tsh. 1 million na ushee

    Mbunge wa viti maalumu asiyefungamana na upande wowote Halima Mdee amesema kwa mujibu wa ripoti ya BoT ya February 2021 deni la taifa limefikia Tsh. 71 trillion. Hi maana yake ni kama kila mtanzania anadaiwa tsh 1 milion na points. Mdee alikuwa akichangia hotuba ya mpango wa maendeleo. Ngoja...
  15. JamiiForums Tanzania Msimuingizie agenda zenu Rais Samia, maana maono yake ni yaleyale ya Hayati Magufuli

    Watu wanataka Samia aje na vision yake katika urais Tanzania Kimsingi huyu mama hata VP hakuwahi kuuota, na kwa hiyo hakuwahi kuwa na picha ya nini afanye akiwa VP! Kwa hiyo, kwa uaminifu kabisa aliendelea kumsaidia JPM kufikia maono yake juu ya kuwa nchi liyo na uhuru kamili kwa kujikomboa...
  16. JamiiForums Tanzania Tuwaige Chuo Kikuu cha Makerere tufute digrii courses zisizokuwa na maana

    Kuna digrii ambazo hazina maana yoyote kwa wakati wa sasa. Chuo kikuu cha Makerere kimefuta degree courses zifuatazo Scrapped courses Bachelor of Science in Horticulture Bachelor of Science in Human Nutrition Bachelor of Science in Meteorology Bachelor of Science in Wildlife Health and Mgt...
  17. JamiiForums Tanzania Ole wao wale wanaotumia nafasi zao za umma na Serikali kuiba, kuhujumu uchumi na kupokea rushwa, maana salama yao ni kudra za Mwenyezi Mungu

    "Ole Wao Wale Wanaotumia Nafasi Zao Za Umma Na Serikali Kuiba , Kuhujumu Uchumi Na Kupokea Rushwa ' Maana Salama Yao Ni kudra Za Mwenyezi Mungu , Labda Nisiwajue " Hayo yalikuwa ni maneno ya mwamba Edward Moringe Sokoine. Na mimi haya ndio maneno yangu ya mwisho hapa JamiiForums maana leo ndio...
  18. JamiiForums Tanzania Watanzania msipotoshwe na hoja za kiukaguzi (Audit queries) maana sio hitimisho kuwa ni ufisadi, zikipatiwa majibu ukweli hujulikana

    Huu ni utaratibu wa kawaida katika kufanya ukaguzi wa matumizi, au taratibu za ujenzi. Kwamba mkaguzi ataibua hoja ya kuwa na wasiwasi juu ya anachokagua pale panapotokea kuwa hakuna vielelezo vya kile anachohoji ili kuthibitisha. Hivyo baada ya kuibua hoja hizo majibu ya uhakika huwa...
  19. JamiiForums Tanzania Waandishi wa habari waache kuidhalilisha dini safi ya Uislam. Aliyeiba nguruwe sio "Imam" kwa maana alichokifanya ni kinyume na miongozo ya dini yake

    Habari zenu jamiiforums Kwa wale msiomfahamu vema Infantry Soldier ni kwamba, mimi ni mkristo tena mkatoliki ila ninafahamu fika ya kuwa uislamu si ugaidi na si dini ya wizi na wala waislamu si magaidi na wala sio wezi bali wahalifu wachache hujificha katika kivuli cha uislamu ili kutenda...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Ina maana Mbowe hana wahasibu na washauri wa kodi katika kampuni zake? Tusiichafue TRA kwa faida binafsi za kisiasa!

    Ninavyofahamu hata mzee Mgaya na lile duka lake la Hardware ana mhasibu na mshauri wa kodi ambaye husimama kama wakili wa maswala yake ya kiuhasibu na kodi. Ninavyojua ukiwa na kampuni ni lazima uwe na mhasibu na external auditor kwa mujibu wa kanuni na taratibu za TRA. Freeman Mbowe kuwa jela...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…