maana

Maana Patel (born 18 March 2000) is an Indian backstroke swimmer from Ahmedabad, Gujarat.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Vijana kuweni makini na rangi za nguo mnazovaa, nyingine zina maana mbaya sana

    Hizi rangi zimevamiwa sana na vijana wa kitanzania tena bila hata kujua maana yake. Hizo ni rangi zinazounga mkono jamii ya mapenzi ya jinsia moja lesbian, gay, bisexual, transgender, intersex, queer/questioning, asexual. (LGTBQ) nilianza kuona hizi rangi lakini sikuelewa maana yake...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Kibonzo cha leo: Kipanya anamuuliza msure wake maana ya nchi kuwa fragmented.

  3. JamiiForums Tanzania Gazeti la Uhuru lamalizika sokoni tangu saa 2 asubuhi, Wasomaji walisaka hata kwa dau kubwa

    Kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi hii , leo gazeti la Uhuru limenunuliwa lote kabisa mitaani na kwisha kabisa huku wanunuzi wengi wakilisomea vyumbani mwao ili kutafuta utulivu na kuelewa zaidi maudhui ya gazeti hilo kwa leo. Ikumbukwe kwamba kwa miaka mingi sana gazeti hili lilikuwa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Maana ya dhana hizi za Kiuchumi kwa Kiswahili

    Naomba kujua kiswahili Cha Cost Benefit Analysis Cost effectiveness Value for Money Cost effeiciency
  5. JamiiForums Tanzania Yanga ni bora tusingeshiriki Kagame. Mimi naona kama sisi kuna Kitu tulifanywa tulipokuwa wadogo

    Sisi Yanga kuna kitu tulifanywa kwa kweli. Ni mashabiki wa kipumbavu sana. Yaani week nzima tunahangaika na Manara na Mo. Hatujiandai Wachezaji wetu wapo muda wote busy na mitandao. Insta na twitter kumuunga mkono Manara na kumsema Mo. Tunatolewa mapema mashindano ambayo yangetupa uzoefu wa...
  6. JamiiForums Tanzania Nimeliona hili mara Mbili karibu na Jengo la VIP Mortuary ya Lugalo Hospital hasa wakifa Viongozi je, lina maana au 'tunakompliketi' tu mambo?

    Alipokufa Hayati Rais Dkt. Magufuli na Kuhifadhiwa hapo kwa Siku kama Mbili au Tatu hivi barabara ambayo si tu hutumiwa na Wanajeshi lakini hata Raia ( akina GENTAMYCINE ) ilifungwa huku 'Makomandoo' wakirandaranda japo baadhi yao mida ya Usiku tulikuwa tukipishana nao mno tu katika 'Korido' za...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Usipotoshwe na watu wasioelewa maana na utaratibu wa kuwa na raia pacha. Angalia hapa maelezo ya uraia pacha na niulize swali lolote nitakujibu

    Nimekuwa nikisoma maoni na hoja za watu kuhusu Tanzania kuruhusu uraia pacha, na nimeshangaa sana na kugundua watu wengi sana wanaotoa maoni kuhusu uraia pacha hawaelewi kabisa inakuwaje mtu anakuwa na uraia pacha. Na hili nimeona hata toka kwa wanasiasa wanaopinga uraia pacha, na kuona kwamba...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa huwezi kutumia Simbanking bila salio kwenye simu. Nini maana yake?

    Nimetaka kutumia simbanking nikashindwa kwa kuwa simu haina salio. Huko nyuma haikuhitaji salio kutumia simbanking. Je kwa sasa huwezi kutumia simbanking bila salio kwenye simu? Nini maana yake? Je, Simbanking nayo inahusika kwenye tozo za miamala ya simu? Msaada wetu wadau tafadhali.
  9. JamiiForums Tanzania Dhana ya Mofimu, Viambishi na aina zake katika lugha ya Kiswahili

    Wakuu salaam, Katika kuendelea kukumbushana vipengele mbalimbali vya lugha katika somo hili tutaangalia Mofimu na Viambishi huku tukipitia dhana ya mzizi na shina. katika andiko hili tutaanza kufafanua mofimu, aina zake kisha viambishi na mwisho mzizi na shina kama ifuatavyo: Maana ya Mofimu...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Uhuru nini maana yake?

    Mungu alipo iumba dinia na kuwakabidhi Adam na Hawa Mali zote ktk dunia hii ili kuzitunza na kuzitawala. Najambo kubwa zaidi aliwapa Uhuru wa kuchagua jema au baya. Sasa kama Mungu muumbaji alitoa Uhuru wa kuchagua mini ufanye ktk dunia hii inakuaje serikali ya CCM inalazimisha tuikubali ktk...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Dah! Nini maana yake?

    Kwanini kabla sijaanza mapenzi ilikuwa kila ninachofanya kinafanikiwa kwa viwango vya juu lakini tangu nilipoanza kuonja mbususu ya kwanza mambo yalianza kuniendea kama vile hayanijui? Nauliza tu wakulungwa. Au ndio lile tunda la mema na mabaya? 🥺
  12. J

    JamiiForums Tanzania #COVID19 NIMR: Chanjo zitakazotolewa Nchini ziko salama kwa asilimia 99.9

    Baada ya ufafanuzi mzuri wa kisayansi uliotolewa na Mkurugenzi mkuu wa NIMR Profesa Yunus Mgaya kupitia Clouds tv sitashangaa kumuona Askofu Gwajima akibadili mawazo na kutimba Ikulu kupata chanjo hapo kesho. Prof Yunus Mgaya amesema chanjo ya Johnson & Johson inaweza kuwaathiri watu 4 tu...
  13. JamiiForums Tanzania Ina maana muda wote huu Rais alikuwa hajachanjwa?

    Keshokutwa tarehe 28, mwezi huu wa Julai, tumeambiwa kuwa Rais Samia atachanjwa hapa Ikulu ya Dar es Salaam. Serikali ndo itakuwa inazindua kampeni yake ya chanjo dhidi ya Corona! Sasa nimewaza tu: ina maana muda wote huu tokea Rais Magufuli afariki, huyu Rais wetu mpya alikuwa hajachanjwa...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali ya Magufuli ni nini? Ni nani?

    Let’s talk about it! Serikali ya Magufuli ni nini? Ni nani? Kuna kila aina ya ‘excuses’ ambazo Rais Samia anapewa na baadhi ya watu. Watu hawa wanadai kuwa Rais wetu huyu anahujumiwa na watu waliokuwepo kwenye serikali ya Magufuli. Sasa labda ni mimi tu ambaye ndo sielewi. Hivyo nataka/...
  15. JamiiForums Tanzania Ujio wa kodi mpya ni nini? Serikali inalenga nini kwa umma kuongeza tozo mpya kwa mlipa kodi kupitia miamala ya mitandao?

    KODI (ushuru) ni malipo ambayo kila mtu mwenye shughuli za kuingiza kipato anatozwa na serikali kulingana na kipato chake. Hivyo kodi ni chanzo cha mapato ya serikali ambayo hutumika kugharamia huduma za jamii zinazotolewa na serikali kama ujenzi wa miundombinu, ujenzi wa mahospitali, shule...
  16. JamiiForums Tanzania Dai la katiba mpya linaweza kuwa ni ugaidi kwa maana hii

    Nimewaza mengi. Nikagundua kwamba kudai katiba mpya italeta hofu ya kupokwa madaraka miongoni mwa viongozi walioko madarakani , hofu hupelekea presha (hypertension) na visukari (diabetes) kupanda, na hatimaye kifo. Hivo basi kudai katiba mpya kunako fanywa na wanaharakati na vyama pinzani ni...
  17. JamiiForums Tanzania Hakuna Pro-CCM mwenye uwezo wa kujadili mambo ya maana hadi sasa

    Hili liko wazi kabisa, CCM wote ni low minded pakubwa sana, huwezi kusikia wanakuja na mijadala makini yenye maslahi kwa Taifa, huwezi kamwe kuwasikia wakijadili kuhusu hatma ya Taifa, huwezi kuwasikia wakizungumzia mapungufu ya Katiba, huwezi kuwasikia wakizungumzia kwa mfano kuhusu Ujinga wa...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Maana ya Katiba ya Kidemokrasia

    Katiba ni waraka wa kisiasa na kisheria wenye muafaka wa kitaifa juu ya namna ya kuendesha masuala ya nchi. Demokrasia ni mfumo wa kisiasa wa kuchagua na kubadilisha serikali kwa njia ya uchaguzi ulio huru na wa haki. Ni Ushirikishwaji wa kweli wa wananchi katika maisha ya kiuchumi, kisiasa na...
  19. JamiiForums Tanzania Ugaidi ni nini? Jielimishe

    Ugaidi kwa maana nyepesi ni kitendo kinacholenga kusababisha hofu kwa raia, serikali au jamii ya kimataifa na vyombo vyake. Sheria yakudhibiti na kupambana na ugaidi Tanzania imetoa maana pana ya ugaidi katika kifungu cha nne. Kosa la ugaidi linajumuisha watendaji, wasaidizi na wadhamini...
  20. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Baadhi ya mahitaji ya wadau: Naombeni kupewa orodha ya maduka ya suti za kiume (za kisasa) yaliyopo Kariakoo. Nahitaji kuyazungukia. Kwasababu ya muda siwezi ku-design kwa fundi ndo maana nataka kuitungua dukani. Shukrani. Kariakoo au Dar ni wapi tutapata pochi, vitenge na viatu vya kike bei za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…