maana

Maana Patel (born 18 March 2000) is an Indian backstroke swimmer from Ahmedabad, Gujarat.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania James Ole Milya system ya nchi bado inakufanyia tathmini maana huaminiki una damu za kiharakati

    Wengi mnamkumbuka mwanasiasa James Ole Milya huyu amewahi kuwa mwenyekiti wa Uvccm mkoa wa Arusha na mbunge wa jimbo la Simanjiro. Huyu ni aina ya vijana wapambanaji kwenye ulingo wa siasa hapa nchini tetesi ni kwamba awali alikuwa anabebwa na kundi la Friends Of Lowasa lakini baadae kundi hili...
  2. JamiiForums Tanzania Hii maana yake nini jamani, hapa kuna mkopo au ndiyo basi tena?

    Nimemtumia maombi ya chuo mdogo wangu na hajapewa mkopo kabisa. Sasa najaribu kuapeal napata meseji hii; Sorry!! S.......... is not Eligible for Appeal Because of the following reason(s);- Incomplete Application Form Verification Sasa hapo sijaelewa wanamaanisha nini. Mwenye uelewa...
  3. JamiiForums Tanzania Nini asili na maana ya neno Bongo

    Wengine wamekua waki refer Tanzania kama bongo na wengine waki refer Dar ea salaam km bongo, yote kwa yote, ni ipi asili na maana ya neno hili mpaka tukawa na vitu kama Bongo fleva na bongo movie?
  4. JamiiForums Tanzania Hii nukuu ya Dalai Lama ina maana gani?

    “The very purpose of religion is to control yourself, not to criticise others.” — Dalai Lama XIV
  5. JamiiForums Tanzania Tatizo la wajenga mabanda holela na kujiita Wamachinga Suluhu yake haitapatikana kirahisi

    Kwanza tuweke maana halisi ya Machinga, Machinga kwa asili yake ni mtu anae nadi na kuuza bidhaa zake kwa kutembeza. Ingawa hivi karibuni maana halisi ya Machinga haipo tena. Kimsingi Machinga halisi ukiachana nae dakika 20 uwezi kumpata tena. Maana ya Machinga kwa sasa ni mfanya biashara mdogo...
  6. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu, Coplo Hafidh Abdallah Mohamed atoa ushahidi wake, kesi kuendelea Jumatatu 01 November 2021

    Kesi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake itaendelea leo katika Mahakama Kuu, Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa, ambapo upande wa mashitaka utaleta shahidi mwingine. Fuatilia hapa kujua kitakachojiri katika mchakato mzima wa kesi hiyo kwa siku ya leo 29/10/2021 UPDATES Mpaka sasa...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Kwa muda mrefu ujao Tanzania haitaweza kupata maendeleo ya maana

    Nimejaribu kuichunguza Nchi yetu inavyoongozwa na mikakati tuliyonayo najiridhisha kuwa ni vigumu sana kupata maendeleo ya maana hata kwa miongo mitatu ijayo yaani comes 2050! Sababu zangu ni hizi; 1. Elimu yetu ni duni sana kwa maana ya maudhui (contents) na inazalisha watu wenye maarifa...
  8. JamiiForums Tanzania Ina maana gani kisheria unaposema "to press charges"?

    Kwamba ,kwanza mtu anadhaniwa kwamba amekosa, halafu inakuwepo nia,hamu ya kumpeleka mahakamani. Utawasikia watu Mara nyingi wanasema,"Ningeweza kumfungulia mashtaka,nilimfumania live,lakini sikufanya hivyo." Kwa hiyo inawezekana kusema kwamba hakuna lazima iwepo kesi ya Mbowe,kwamba ulazima...
  9. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake. Shahidi Justine Eliya Kaaya, amtaja Ole Sabaya. Kesi imeahirishwa hadi Oktoba 28, 2021

    Kesi ya inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake itaendelea katika Mahakama Kuu, Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa, ambapo Ushahidi unaendelea kutolewa. Shahidi wa kwanza kwa upande wa Jamhuri ACP Kingai atamalizia Ushahidi wake. ======== Mawakili upande wa utetezi wapo katika chumba cha...
  10. JamiiForums Tanzania Msaada: Nini Maana ya Cookies?

    Katika kuperuzi mitandao mbalimbali nimekutana na hii kitu "website hii inatumia cookies " na wanakupa option ya kukubali na kuendelea kuperuzi mtandao husika. Nachopenda kufahamu ni; 1. Cookies ni nini? 2. kwanini wanatumia cookies? Naomba wenye uelewa na hili wanieleweshe.Asante
  11. M

    JamiiForums Tanzania Magori utulize wenge lako, kama mnamtafuta mchawi anza na bosi wako kisha wewe mwenyewe maana ndiyo mshauri wake

    Nimeona bwana Crescentius Magori ametweet kwamba wamesalitiwa kwenye mechi ya leo na inaonekana kuna baadhi ya wachezaji wataangushiwa jumba bovu muda si mrefu kuwa wameisaliti timu. Kitu ambacho bwana Magori na viongozi wenzake awataki kukubali ukweli kwamba timu waliyonayo kwa sasa ni tofauti...
  12. JamiiForums Tanzania Wazee wa DRAFTI kete tatu mpya ndio zikoje? Maana nazisikia tu, kama unazijua hebu tupia pattern yake hapa

    Wanadrafi wenzangu ni kwa muda kidogo nazisikia hizi wanasema ooooh kuna kete tatu mpya, hivi zinategwa vipi? Tupeane hizo pattern kama unazijua. Ahsante
  13. JamiiForums Tanzania Maana ya neno 'Boss' katika mahusiano kazini

    Wengi wanapenda kuitwa 'boss' makazini, bila kujua uzito wa hilo jina. Wengine wanalazimisha waitwe hivyo, na wengine inatokea tu wanaitwa hivyo kutokana na wanavyotatua kero za wafanyakazi wao hasa kimaslahi. Wenye kulipenda hilo jina wengi wao wanafikiri kuitwa 'boss' ni kuwa na uwezo wa...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Wabunge wote wa CCM wameshindwa kutetea maslahi ya wamachinga nchi nzima. Nini maana yake?

    Ndugu wanaJamiiForums habari za asubuhi. Ni jambo la kushangaza tena sana, kwamba ktk majiji ya Tanzania hasa Dar es Salaam na Mwanza majiji yanayokuwa kwa kasi sambaba na fursa nyingi za kiuchumi na biashara. Katika majiji haya hivi karibuni na hata sasa wamekuwa wakibughudhiwa na serikali...
  15. JamiiForums Tanzania Siasa ni nini?

    Kwanini wewe unachangia jukwaa la siasa? Siasa kwako ina maana gani, hasaa; na upo tayari kusimamia msimamo wako muda wowote na kwa gharama yoyote. Siasa kwako ni utu? Siasa kwako ni sheria na mipaka ya kutaka kuongozwa (katiba). Siasa kwako ni sera zenye kuinua jamii? Siasa kwako ni njia...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Msaada unahitajika maana naona kichwa kinaelekea kupasuka

    Msaada unaitajika ndugu zangu maana hata sijielewi kabisa kwa mambo yanayoendelea. Nilikuwa na mke wangu ila tukaamua kuachana baada ya yeye kuchukua vitu na kuondoka. Baada ya muda kaona haitoshi kamtelekeza mtoto wetu mdogo mwenye umri wa mwaka 1 na nusu kwa sister wangu. Sister yeye ana...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Maandalizi ya uchaguzi 2025 yazingatie mikakati ya 2020 maana hakuna miujiza ya sisi wana CCM kupenya sanduku la kura

    Dalili ya mvua ni Mawingu, na ukweli usiposemwa adharani utasema sirini. Hali ni ngumu, miyoyo ya watu imekunjamana, wanacheka na wewe ukiondoka wanakung'ong'a. Inshort huna watu nyuma yako na hakutatokea miujiza ukawa na watu nyuma yako Hadi pale utakaruhusu maridhiano ndani ya chama. Ni...
  18. JamiiForums Tanzania CCM ni ileile, hii kauli ina maana kubwa

    CCM bado inamuenzi hayati Julius Nyerere na vizazi vya akina hayati JPM kulinda ustawi wa taifa letu. Au CCM imegeuka kuwa Chama cha mafisadi na sasa inaendeleza kutafuna mali za umma. Maana yake nini? Mama Samia amerudisha CCM ile ya Kagoda, Meremeta, Symbion n.k? My take; CCM inatakiwa iwe...
  19. JamiiForums Tanzania Maana halisi ya kutafuta mpenzi, ni kutafuta mtu aje akusaidie kutumia fedha zako ulizozitafuta kwa jasho

    Maana halisi ya kutafuta mpenzi, ni kutafuta mtu aje akusaidie kutumia fedha zako ulizozitafuta kwa jasho. Kama wewe unaponda kokoto tani 20, unatafuta mtu aje akusaidie kutumia fedha zako kutokana na mapato uliyoyapata kwenye kazi ngumu ya kuponda kokoto. Kwa hiyo kama mpenzi wako anayumbisha...
  20. JamiiForums Tanzania Mabenki yaanza kukusanya Tozo za Serikali kwenye miamala wanayofanya wateja

    LEO NIMEPATA SMS KUTOKA NMB BANK IKISEMA IFUATAVYO: Ndugu Mteja, tunakusanya tozo ya serikali kwenye akaunti yako kwa miamala ya tarehe 8 Sep 2021 mpaka 6 Oct 2021. Unaweza hakiki kupitia taarifa ya akaunti. Ujumbe huo. Watanzania inafika point huna pakupumua kila sehemu tozo bank tozo kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…