maana

Maana Patel (born 18 March 2000) is an Indian backstroke swimmer from Ahmedabad, Gujarat.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere kama muasisi wa CCM hakuacha succession plan nzuri ndio maana taifa letu ndio maana taifa linaumizwa na ufisadi.

    Kama muasisi wa taifa letu alipaswa kuhakikisha taifa linakuwa na katiba ambayo hakuna chama tawala kitalifanya taifa letu mali ya wachache. CCM aliyoiacha haina misingi vizuri ya kurithisha viongozi ambao wanauchungu na matatizo ya taifa lao. Ufisadi, ubinafsi na kuwaona wananchi ni wajinga...
  2. JamiiForums Tanzania Manara tumembeba habebeki. Ndo maana Simba walimfukuza. Huyu jamaa ni kirusi

    Manara ana Nyota ya Ufitini na Uchonganishi. Wakati anakuja kwa Steve kuomba asaidiwe usemaji Yanga, mimi nlikuwa mmoja ya watu ambao tulikuwa tunaona Manara kafukuzwa kwa kuonewa Simba. Lakini kwa kipindi hiki ambacho tumekaa naye huyu jamaa ni kunguru. Hafugiki. Kashawachonganisha watu wengi...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa vita vya Urusi na Ukraine vilipofikia ni muda mwafaka kwa Tanzania kuchagua upaande wa wengi (Westerns) maana Kuna Jambo linaenda kutokea

    Mie sina neno, Ila mrusi amekosea sana kufanya Mambo ya kishamba ya kuvamia sovereign state tena bila sababu za kueleweka. Tanzania tuache unafiki tusimame na HAKI tuwaambie warusi waziwazi tena mbele ya dunia kuwa wamekosea na wanapaswa kuwajibika. Kuendelea kujiita nutral state wakaki...
  4. JamiiForums Tanzania Unampigia simu kwa namba ngeni halafu hapokei baadaye anakwambia hapokeagi namba ngeni

    Haijanitokea kwa mtu mmoja au wawili. Ni watu wengi sana. Wengine ni watu wangu wa karibu. Unampigia simu kwa namba ngeni halafu hapokei baadaye anakwambia hapokeagi namba ngeni. Mwingine labda ni mtu ambae hamjawahi kuwasiliana na ndiyo kwa mara ya kwanza labda umepata namba yake. Nayeye hana...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mataifa ya Afrika yanayoitegemea Urusi kwa chakula, kumbe ndio maana baadhi yaliogopa kuisema vibaya Urusi

    Mataifa yote duniani yaliombwa yakemee mauaji ya kimbari aliyoyafanya Urusi kule Ukraine, ila kuna baadhi ya mataifa ya Kiafrika yaliingiza mikia kwenye miguu na kusema hayafungamani na upande wowote, baadaye taarifa zimetoka kumbe haya mataifa maskini yanategemea Urusi kwa ngano hivyo kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Mwaka mmoja bila Magufuli na legacy yake

    Kesho ni kumbukumbu ya kutimiza mwaka 1 toka Raisi wa 5 wa Tanzania John Pombe Magufuli alipo fariki dunia, Magufuli alikuwa ni M-Socialist wa mlengo mkali wa Shoto na mwanamagauzi mkubwa wa uchumi. Ni yeye Magufuli ambaye ameacha legacy kubwa sana Tanzania ya vitu ambavyo ni alama ya uongozi...
  7. JamiiForums Tanzania "Tume Huru" Maana Yake ni Nini?

    Leo nimesome sehemu kuwa wabunge wamepinga ripoti ya mto Mara wanataka iundwe "tume huru." Kila mara tumekuwa tunasikia watu wakilalamika kuwa inatakiwa tume huru ya uchaguzi. Ninavyoelewa, tume kikundi cha watu walioteuliwa kufanya shughuli fulani kulingana na hadidu za rejea wanazopewa na...
  8. JamiiForums Tanzania Maana halisi ya kufunga Mkanda karne hii

  9. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano Mkuu Maalum wa CCM. Kinana apita kwa kura zote 1,875 zilizopigwa

    Leo ni mkutano mkuu maalum wa chama cha mapinduzi ambao pia utaenda kupitisha mabadiliko ya katiba ya CCM. Kwasasa anaongea katibu mstaafu wa CCM, Yusuph Makamba ambae anasema mchungaji Gwajima alimuuliza yeye kama mtabiri, anatabiri nini kwenye utawala wa mama Samia baada ya kutabiri ubatizo wa...
  10. JamiiForums Tanzania Maneno matatu ya Kinana, Tatu ina nguvu ndo maana hata Kwa dini kuna Utatu

    Maneno niliyoyatia akilini kutoka kwa Comred Kinana 1 CCM sio mali ya serikali 2 CCM haiagizwi na serikali 3 CCM ndio inaiagiza serikali Ni maneno machache yana maana kubwa Twende kazi Hapi Alli Nakusalimia sana Britanicca
  11. JamiiForums Tanzania Urusi yawaomba wanajeshi wa akiba waliostaafu wajitokeze maana hali ngumu

    Urusi imefikia hatua za kuomba usaidizi wa wastaafu maana hali imekua balaa, Ukraine japo kataifa kadogo lakini kamehimili na kupangua mapigo yote, na kama kawaida kwa vita vya muda mrefu huhitaji wanajeshi wapumzishwe ili wengine waje kwenye mapambano, sasa imekua vigumu kuwarejesha nyumbani...
  12. JamiiForums Tanzania Mawaziri msaidieni Rais, ndiyo maana amewaamini

    ELIMU ITOLEWE ZAIDI JUU YA MFUMKO WA BEI NA KATIZO LA UMEME. Na Elius Ndabila 0768239284 Kesho macho na masikio yatakuwa Dodoma kwenye mkutano wa CCM. Kabla ya mkutano huu mkubwa ninaomba nitoe changamoto kwa Wizara ya Nishati, Kilimo na Biashara. Kumekuwa na katizo la umeme. Waziri...
  13. JamiiForums Tanzania Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

    Hili swali linawahusu wale ambao hawatumii majina yao ya kweli hapa ukumbini. Je, jina lako lina maana yoyote? Kuna sababu yoyote ile iliyokufanya uamue kutumia jina hilo!? Nilikuwa nimeamua kutosema lolote kuhusiana na hali ya kisiasa ndani ya nchi yetu (kuwa bubu) pamoja na kwamba nilikuwa...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Huu wimbo wa fally Ipupa "Eloko oyo" una maana gani?

    Mwenye kujua maana ya Huu wimbo aniambie naupenda Sana
  15. T

    JamiiForums Tanzania Kuelekea mkutano mkuu wa CCM Aprili 01, nini maana ya mkutano mkuu wa CCM na nguvu yake?

    Na Bwanku M Bwanku. Jumamosi Machi 12, 2022 Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka alitangaza Uamuzi wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kujadili pendekezo la kuitishwa kwa Mkutano Mkuu wa CCM lililotolewa kwenye Kikao chake cha Desemba 18, 2021 na...
  16. JamiiForums Tanzania Ni dhahiri kuwa wapinzani wameridhika na kazi nzuri ya rais Samia akitekeleza ilani ya CCM. Ndio maana wapo kimya wala hatusikii wakimkosoa.

    Wanaona ilani ya CcM inatekelezwa vyema na wao wanafurahia na kuuchuna kimoyomoyo maana maendeleo yanapatikana. Hakuna mgao wa umeme, miradi ya maji inazinduliwa kila kona, madarasa yamejengwa na wanafunzi wameenda shule. Barabara zinajengwa miundo mbinu inaimarishwa kila kona. Hatusikii...
  17. JamiiForums Tanzania Kama Yesu angezaliwa na kumtumikia Mungu zama hizi za leo maana yake angefungwa Segerea nasio kutundikwa msalabani.

    No OFFENCE NO OFFENCE Naomba mada isichukuliwe tofauti na pia niweke bayana baadhi ya mambo. Kwanza mimi ni mbatizwa kwa Jina la Joseph ( na sijui kwa nini sisi wenye majina yetu asili uwa tunapewa majina mengine, sitaki kuamini kama Mungu ni mbaguzi kiasi icho). Nilibatizwa mpaka kupata...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Nashauri Zuchu atoke WCB haraka maana Diamond anatembelea nyota yake, hakuna mapenzi

    Ikiwa dhahiri kabisa kuwa zuchu ni Kati ya wasanii watatu wakubwa Tanzania na Africa mashariki boss wake diamond plutnum amekuwa akiingia pesa nyingi sana kupitia nyimbo za zuchu au zile alizomshirikisha zuchu, hivyo diamond kiuhalisia ni chawa wa chinichini wa zuchu. Kwakuwa zuchu Sasa...
  19. Q

    JamiiForums Tanzania Wanaopotosha maana ya Katiba, eti Watu hawali Katiba, Walaaniwe

    Nimesikia viongozi wengi wakiwepo wasomi wengine na PhD zao wakisema wananchi wanataka chakula wanataka maji hawataki Katiba kwa sababu hawatakula katiba. Huu ni upotishaji wa kiwango cha hali ya juu. Katiba ni mkataba kati ya mtawala na mtawaliwa, ni jumla ya kanuni za msingi zilizoanzishwa na...
  20. JamiiForums Tanzania Je, huu mchezo wa kuwasha na kuzima switch za umeme kama mtoto anachezea, maana yake nini?

    Tangu waziri wa nishati mpya aingie madarakani, kumeibuka mchezo wa kuwasha na kuzima switch mithili ya mtoto anaecheza na toy. Sababu nyingi sana za kijinga jinga zimetolewa na wahusika, waziri akiwemo. Yalianza mambo ya ‘scheduled maintanance’, baadae wakasema miaka mitano hapakuwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…