maana

Maana Patel (born 18 March 2000) is an Indian backstroke swimmer from Ahmedabad, Gujarat.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Mzee Makamba: Watu wazuri huwa hawafi, ndio sababu Kinana yupo na Jakaya yupo!

    Mzee Makamba amesema Wanaccm Wana Iman kubwa sana na Rais Samia na 2025 atashinda kwa kishindo Mzee Makamba ametaka CCM kupitisha Azimio la kumpitisha Rais Samia kuwa mgombea Urais pekee kea ticket ya CCM 2025 Makamba amesema hakuna haja ya kuogopa kwani Watu wazuri na wanaopendwa hawafi ndio...
  2. JamiiForums Tanzania Mzee Makamba azungumzia suala la kuupiga mwingi amtaja Bashiru

    Kweli kila masika na mbu wake. Leo hii Bashiru amekuwa ni mtu wa kuumbuliwa hadaharani kiasi hiki? Sasa ndiyo ataijua CCM kuwa ina wenyewe. Msikilize Makamba akimuumbua Bashiru.
  3. JamiiForums Tanzania Ushangiliaji huu wa Yanga SC una maana gani?

    Alafu hawa kina Faisal na Kibwana walikuwa wanaelewa kweli kinachomaanishwa hapa au walikuwa wanafata mkumbo.
  4. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wasibembelezwe katika meza ya mazungumzo maana ni vigeugeu na waliyokosa msimamo

    Ndugu zangu, ukifuata akili za CHADEMA na wana CHADEMA na viongozi wao lazima upotee, upoteze dira, muelekeo na kuchanganyikiwa. CHADEMA ni chama kisicho na msimamo, dira aala muelekeo, hakina misingi inayokiongoza na kusimamia. Ni chama ambacho huwezi ukajua baada ya mwaka kitakuwa wapi na...
  5. JamiiForums Tanzania Lissu yupo sahihi, Mahakama za Tanzania hazipo huru. Ndiyo maana hata Mbowe aliachwa huru kabla ya kujibu tuhuma

    Jaji Tiganga alisikiliza ushahidi wa Jamhuri na kupima kwa weledi kuwa Mbowe na wenzake wana kesi ya kujibu. Hii ilionyesha kuwa kulikuwa na harufu ya hati. Mbowe na wenzake walitakiwa athibitishe kama siyo kweli. Lakini ghafla DPP akawafutia mashitaka na Mbowe usiku usiku akaonekana Ikulu...
  6. JamiiForums Tanzania Nini maana ya furaha, ni kuacha Legacy

    Kuna Goals au (Malengo) unayawaza kuyafikia lakini I promise you unaweza kufika still ukakosa Furaha Kitu gani nataka kusema kuwa na kila kitu bado sio kupata furaha. Furaha ni kuacha Legacy na kuhakikisha unakuwa na Athari chanya katika Familiya yako Jamii na Taifa kwa ujumla. Jifunze...
  7. JamiiForums Tanzania Unbeaten hii maana yake Yanga siyo ya ligi hii ya NBC

    Huwezi kuwa na unbeaten 49 kama uko kwenye ligi yenye timu zenye uzito unaofananafanana. Naitabiria Yanga kufika mbali sana kwenye mashindano ya CAF.
  8. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia tafadhali iheshimu Katiba maana wewe umekuwa Rais by Default kwa Katiba kuheshimiwa na kupiganiwa, ipiganie Katiba

    1. Ruhusu mikutano ya Siasa iendelee maana iko Kikatiba na kisheria. 2. Heshimu Haki za binadamu ambazo zimeainishwa kwenye Katiba. Kuna uvunjifu wa haki za binadamu mdogo mdogo 3. Waondoe akina Halima na wenzake bungeni. hawana uhalali wa Kikatiba na Kisheria kuwa pale na wewe unajua fika...
  9. JamiiForums Tanzania Mwaka 2009 nilichorwa kwa wembe alama hii kwenye dole gumba la mkono wa kulia, maana yake nini?

    Ilikuwa ni miaka takriban 13 Iliyopita, mwaka 2009, siku moja niliamka na kukuta nimechorwa alama hiyo ya kujiviringisha, na alama hiyo ilichorwa kwa kutumia kitu chenye ncha kali (nilihisi ni wembe), ambapo alama hiyo ilikuwa imechongwa juu kwenye dole gumba la mkono wa kulia, kwenye ile ngozi...
  10. JamiiForums Tanzania Simba kama hatutasajili wachezaji wa maana Januari basi turuhusu Yanga acheze nafasi yetu makundi ya CAFCL

    Mwaka huu tulipata bahati ya kupangwa na timu rahisi kwenye hatua ya mtoano hivyo tukafuzu hatua ya makundi. Kama tungekutana na timu kubwa kiasi basi tungeshatolewa kitambo. Bila kufanya usajili wa maana ni bora tuwape Yanga wacheze hatua ya makundi CAFCL na Azam aende CAFCC. Tuache mzaha...
  11. JamiiForums Tanzania Neno kafiri maana yake nini?

    Wakuu Hili neno maana yake nini? Waislamu hulitumia kuwaita wale wasio waislamu, kama kusema mpagani. Lakini pia huko South Africa wazungu wabaguzi wa rangi huwaita weusi Kafirs, kama vile Wamarekani kuita weusi Nigger. Kafir maana yake nini? Kafir ni mtu gani?
  12. N

    JamiiForums Tanzania Nikimsikiliza Lusinde na Msukuma kisha nikaja kimsikiliza huyu Bashiru; naiona elimu ya juu haina maana kabisaaa!

    Hawa wawili wako real, wanaeleweka misimamo yao kitambo tu na wanaisimamia na wanaujua uhalisia mwingi wa hali halisi ya watanzania. Sijapata kumuona Msukuma akiwa kigeugeu; anaipigania bangi hadi leo. Sijapata kumuona Lusinde kigeugeu kwa viongozi wake. Nikimuangalia bashiru, naona ni mtu...
  13. JamiiForums Tanzania Qatar 2022 Kwa Sisi wa Kisimbuzi cha Azam ina maana hatupati Kitu? Nasonga Mbele.

    Ina maana kwa mimi Mtanzania mwenye kisimbusi cha Azam ndo basi kombe la Dunia Qatar 2022 sipelekwi? Wadau sisi hatutaweza ona hata nusu ya matches? Nimeulizwa hayo maswali sikuweza jibu. Nawasifu sana DSTV kwa kweli.
  14. D

    JamiiForums Tanzania Niliagiza wine ya kupima lita tano toka Dodoma, Iliyoletwa nahisi ni gongo au konyagi iliyozimuliwa maana bongo feki kila kona

    Bongo kila kitu ni kuchakachua tu! Iwe maji ya kunywa feki kibao, iwe sigara feki, iwe makalio ya wanawake nayo feki mtupu, bikira nazo feki, unga feki, hata kwenye kandanda nako siku hizi michongo mtupu n.k Sasa sijui tukimbilie wapi, nimeagiza wine nikaambiwa ni alter wine! Aisee nimejaribu...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini iwe wao tu wakishika hatamu ndio wanatutesa na sakata la umeme? Ina maana wao hawana huruma? Wazee wa madili

    Yaani mkulu wa Bagams alipokuwa madarakani tuliteseka sana na umeme. Nchi ikawa gizani. Makelele ya jenereta yakawa komoni. Sasa najiuliza mbona ule upande mwingine wa akina Mpina uliposhika hatamu haya ya mgao wa umeme yalipotea? Ina maana hawa jamaa hawana huruma na sisi?
  16. JamiiForums Tanzania Hivi kuna mtu anajua kuhusu hii umeme kukatika, nini kinaendelea au shida nini??

    Please naona sasa tunaenda mwendo kimya kimya imekuwaje umeme unakatwa kila siku hatupewi taarifa, nini shida maana tukipata taarifa inakuwa nafuu tunajua namna ya kujipanga na ratiba sasa hii kimya kimya unaamka unakuta wamechukua unajipa moyo sijui utarudi sasa hivi mara inagonga jioni. Hebu...
  17. JamiiForums Tanzania Mama Samia asali uliyompimia Mbowe muongezee kidogo maana naona kama imepungua akikuzingua mpe Alovera

    Naona Mbowe asali aliyopewa ilikuwa ya kuonjeshwa haijamtidhisha ameanza chokochoko za Kizee ili apewe asali nyingine tena lkn mimi namshauri Samia aendelee kumpa asali ya kuonja ili awe mvumilivu ukifika wakati wa kumpa ya kunywa achanganye na Alovera hii ni chungu ataitema japo vile...
  18. JamiiForums Tanzania Kheri yake huyu kasema jambo la ukweli na la maana

  19. JamiiForums Tanzania Hii ndio maana ya kushauri kwa Vitendo

    HII NDIO MAANA YA KUSHAURI KWA VITENDO SANT'AGATA, Bolognese ni makao makuu ya supercars aina ya Lamborghini. Maranello, Modena, ndio HQ ya Ferrari. Kutoka Sant'Agata kwenda Maranello ni umbali wa kilometa 34. Miji hiyo ipo Italia. Mwasisi wa Ferrari ni Enzo Ferrari na Lamborghini godfather...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Wadada mnavotukataaga tukiwatongoza, ina maana mnatuona tuna sura mbaya kihivyo?

    Kwa sababu kwa sisi wanaume, mdada akijipendekeza kwetu, hata kama kimuonekano tunamuona ni wa kawaida, sisi tutafanya naye ngono tu halafu tunapita hivi, tunakula hadi wadada vichaa Waokota makopo, yani kwa sisi wanaume mara nyingi mpaka tumkatae mwanamke kimapenzi, ujue huyo mdada tunamuona...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…