Ukisia taifa linawekewa Sanctions na mataifa ya magharibi basi usichukue poa hata kama hilo taifa lina nguvu kiasi gani kifo chake nikifo cha kikatili kwa uchumi wake mapaka vyombo vyake vya ulinzi.
Sanctions ni mwiba wa moto ktk miili ya ma dictator na mataifa korofi.
Kiufupi siku sio nyingi mtasikia jambo lisilokuwa lakawaida huko kwa Warusi.
Sanctions nikitu gani hasa na kwanini sanctions nihatari kwa taifa.
Ukisikia sanction ujuwe nikama kutegwa na dunia na hii itategemea unategwa vipi. Kuna sanctions kwenye level ya mtu binafsi, familia, taasisi, chama, mpaka taifa. Kwa Taifa la Urusi walianza kwa mtu binafsi na sasa wamefika ngazi ya taifa zima.
Taifa linapowekewa sanctions inakuwa nivigumu kununua ama kuuza na pia ina kuwa ngumu ku import au export to other country. Kila raia wa lile taifa popote alipo duniani maisha yake huwa magumu na machungu kwa sababu mifumo ya screen inakuwa imeshawekewa alert kwa Raia wa lile Taifa.
Mfano kwa sasa Raia wa Urusi hawezi kutumia visa au master card wala mifumo ya bank zao haikubali hiyo service, ina maana Raia wa Russia alie kuwa anafanya kaz UK akiwa kwao siku walipowekewa sanctions hakuweza tena ku access huduma ya visa au master ambayo ina muunganisha na akaint yake ya UK.
Unapoenda sasa hivi bank yeyote iwe hapa tz au nje ya nchi umeona mafuta au gas ya Urusi inabei nzuri na unataka ununue mzigo. Utachojibiwa ni Transaction is denied. Yani ni hatari.
Mpaka naenda kuandika huu uzi Urusi amesha poteza ma trilion ya pesa na anaenda kupoteza zaid maana hata vita ikiisha deni lake litakiwa ni deni kubwa sana ambalo atalipa kwa miaka mingi sana ijayo.
Kwa sasa Urusi haiwezi kuagiza nje vipuri au kitu chochote yani wanakula vitu vyao vya ndani na msaada wa china ambayo nayo ipo on hard time maana kushirikiana na Urusi nikujitia matatizo mwenyewe maana Taifa likisha kuwa sanctions na wewe ukajifanya kimbelembele gharama utalipa pindi itagundulika unamsaidia.
Huyo jamaa basi itakuwa ni mara saba ya adhabu ya unaye msaidia.
Itaendelea...