maana

Maana Patel (born 18 March 2000) is an Indian backstroke swimmer from Ahmedabad, Gujarat.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ni nini maana ya mapenzi?

    Katika kuongelea suala zima la mapenzi ni vigumu kujua maana halisi ya mapenzi kwa maana halisi ya mapenzi ni kutokana na mtu mwenyewe anavyoona. Lakini kwa ujumla mapenzi ni ile hali ambayo watu wawili wanaingia katika mahusiano ambayo yanabeba mambo mengi iliwemo uvumilivu,kuchukuliana katika...
  2. JamiiForums Tanzania Kuuza nafsi yako maana yake nini?

    Msanii anauzaje nafsi yake kwa shetani. Ni contract agreement yenye 50 kwa 50 benefits kati ya msanii na shetani. Shetani ndie mungu wa ulimwengu huu kwa wasio na Mungu. Shetani ndie anaemiliki pesa za ulimwengu huu, Hivyo msanii anafaidika kwa kupata pesa, shetani anafaidika na msanii...
  3. JamiiForums Tanzania Nini maana ya kuuza Nafsi kwa Shetani? what shall it profit a man, if he shall gain the whole world, and lose his own soul?

    Inner peace is a new success. Ndugu zangu wanadamu leo napenda nitoe elimu kidogo kuhusu suala la kuuza Nafsi au kwa kizungu selling your Soul. Binafsi naamini shetani yupo na pia shetani ni mjanja sana lakini watoto wa Mungu tunajua mbinu zake za kuwapoteza wanadamu. Waefeso 6: 12 inasema...
  4. JamiiForums Tanzania Vicky Kamata asema marehemu mume wake "Alikuwa na vinyumba vya kawaida na msururu wa watoto!"

    Nakuomba msamaha mume wangu kwa kuwa mimi ni Mkatoliki na Imani yangu inaniambia unaona na unajua kila kitu kinachoendelea kati yangu na wanao. Najua muda utaongea lakini kwa kuwa nami ni binadamu naomba niseme yafuatayo! Ni kweli mimi ni kiumbe dhaifu na mwenye dhambi nyingi tu kama wengine...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Wajuvi wa kiswahili, maana ya neno "bosheni" ni nini?

    Nimeona likitumika mahali kadha wa kadha, asili ya ili neno bosheni ni nini? Na maana yake ni nini?
  6. JamiiForums Tanzania TANESCO ibinafsishwe kwa muwekezaji maana haina tija kwa taifa na msaada kwa Watanzania

    Mada hii ianzishwe maalum kwa manufaa yetu sisi wananchi toachane na bandari ambayo inaweza pia ikawa inatusadia au haitusadii, tuachane na mchakato wa katiba, tujikite kwenye mchakao wa kubinafsisha TANESCO na Shirika la maendeleo la petroli TPDC, uchumi wowote wa nchi duniani unaanza na sekta...
  7. JamiiForums Tanzania Kama huna mchango wowote kwenye jamii inayokuzunguka, unakosa maana ya kuishi

    Kila mtu ndani yake ameumbwa na kitu ambacho mwenzake hana. Hii ndio sababu pekee kwa nini tumeumbwa tofauti na sio watu wenye ufahamu na akili za kufanana kama bata. Lazima uwe na kitu cha kuchangia katika jamii. Ukiachia wengine hilo jukumu na ukabaki kuwa mnufaika wa michango ya wengine...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Iundwe Kamati huru kubaini chanzo cha nyufa JNHP maana kuna harufu ya uhujumu uchumi

    Tumeona Naibu waziri mkuu, Mh Dotto Biteko akifanya ziara katika Bwawa la Mwalimu Nyerere na Kutoa ushauri jinsi ya kuziba nyufa zilizoanza kuonekana kwenye ukuta wa Bwawa. Haiwezekani kuacha jambo hili lipite hivi hivi bila kufanyika uchunguzi na kuchukua hatua Kali dhidi ya wahusika wote...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Hii ina maana ipi

    Mnaofatilia ziara ya mama huko newala, mkuu wa wilaya katolewa jukwaani, baada ya wananchi kufanya fujo na vurugu. Toti wapo Wana tumbuiza apa Hali ni mbaya sana.
  10. JamiiForums Tanzania Kama anaamini wananchi hatuijui katiba ya sasa, yeye mwenyewe akae pembeni maana hatujui hiyo nafasi kaipataje

    Ni rahisi sana kujitamkia maneno hasa unapokua na mamlaka ya kuitisha vyombo vyote vya habari virushe habari zako hata kama hazina mashiko. Ndio, ni rahisi kutamka lolote hasa kama mtu anaamini hakuna wa kumgusa. Ndivyo ilivyotokea kwa mama yetu hapo juzi. Ni wazi mama na CCM wala keki ya taifa...
  11. JamiiForums Tanzania Mzee Wasira acha kupotosha watu, dini na siasa havitengamani. Ndio maana Yohana mbatizaji alikatwa kichwa kwa kumkosoa Herode

    Acha zako bana👇. Aliyekuwa Mbunge wa zamani wa Jimbo la Bunda, Stephen Wasira, ameshauri viongozi wa dini kutojihusisha na siasa badala yake kuhubiri amani ili kuepusha mivutano ya kisiasa kwa waumini na kuleta umoja. Ameyasema hayo wakati akichangia kwenye mkutano wa...
  12. JamiiForums Tanzania Tujadili kidogo hili maana ni kama kuna ukakasi fulani

    Hili suala la kuaminishwa kuwa mwanamke akifika age Fulani basi hana soko tena...🤔 Hivi hamuoni kuwa mwanaume ndio anakosa soko kadri age linapokwenda? Maana ukiangalia mwanamke mpaka anakuwa Mzee na kuzikwa lile tundu linakuwa on and available anytime na mwanaume akiweka chombo Lazima afike...
  13. JamiiForums Tanzania Naona kama simridhishi demu wangu, ni wa moto sana

    Money Penny njoo kwanza unishauri Jamaa: Nimepata demu mkali, ana shepu kama Vera Sidika wa Kenya Mkali sana Mzuri sana Hapa hapa bongo Ila kila tukiingia kwenye tendo la ndoa naona kama simridhishi, au ni wasiwasi wangu tu? Maana ni wamoutoooooor halafu ana nata sana Nifanyaje? Haya wale...
  14. JamiiForums Tanzania Simpendi Rais Samia ila yawezekana Akitokea mtu akaniambia alichofanya cha maana Tangu aingie Madarakani naweza kubadili mawazo nikampenda

    Ukihitaji salamu njoo unieleweshe kwanza,tofauti na hapo utaula wa chuya!. Hii nchi kila mtu yuko huru ili mradi asivunje utaratibu na sheria za nchi tulizojiwekea kwa utaratibu pendekezwa toka kwenye Katiba. Kumpenda au kumchukia mtu ni hiari au matakwa ya mtu. Mimi binafsi simpendi na si...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Je naweza weka gypsum board na mikanda then baadae nikatandaza ile final wiring?

    Wakuu niko njia panda kipi kianze je naweza weka gypsum board na mikanda then baadae nikatandaza ile final wiring juu ya dari maana kuna wizi wa hizi nyanya sana
  16. JamiiForums Tanzania Video: Rich Mavoko namna alivyoishiwa mpaka anapiga show za kimaskini

    Dah nmeona video ikimuonyesha Rich Mavoko namna alivyoishiwa mpaka anapiga show za kimaskini Kuna wanaosema atakuwa anapata pesa Sababu alipofanya show sjui ni mgodini Lakini Kama kuna pesa wasanii wenzake siwangeenda Pia Dah inauma sana ,bora wajitokeze watu wamsaidie TABLE TURNS...
  17. JamiiForums Tanzania Ni dhahiri kuwa CHADEMA wameikataa ofa ya kupewa wabunge wa mezani walioahidiwa na CCM. Maana sasa wamechachamaa

    Kauli za kiongozi mwandamizi wa CCM ndugu A. Kinana kuwa Chadema wanakiuka misingi ya maridhiano ni picha kuwa Chadema wanashusha maneno mazito yanayoumiza umtima. Sakata la bandari limeibua mengi. Huko mikoani Chadema wanashambulia majukwaa . Wanaongea mengiii kiasi cha kuonekana wanakiuka...
  18. JamiiForums Tanzania Yanga shukuruni maana ratiba ya African Football League msingeiweza

    Yanga wamekuwa na tabia ya kuomba mechi zao ziahirishwe pale wanapokuwa na mfululizo wa mechi . Ni juzi juzi tu hapa tulikuwa tunajadili ni kwa nini mechi ya Yanga vs KMC iliahirishwa ilhali Yanga walikuwa wacheze na katimu kadogo ka ASAS Djibouti kwa mechi zote zilitakiwa kuchezwa Dar es Salaam...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mhe. Nape asijiari? Amekiri mabadiliko ya baadhi ya mawaziri yalifanya awashe AC kwa hofu; maana yake anafahamu kwamba hayupo pale kwa merits

    Waziri Nape amekiri aliposikia mkeka wa mabadiliko ya Mawaziri umetoka ilibidi aongeze AC kwa hofu aliyokuwa nayo. The same minister wakati wa Magufuli alimtafuta hadi Mama Maria Nyerere amwombee msamaha kwa JPM; Mtu kama huyu kwanini asijifunze kujitegemea? Kwanini asijiajiri ili afanye kazi...
  20. JamiiForums Tanzania Nini kimejificha kwenye Uteuzi wa Dotto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu? Nini maana yake kihistoria na upi mwelekeo wa Nchi baada ya Uteuzi huu?

    Baada ya kufatilia mjadala huu kwa ukaribu Sana na kuona wengi Wakitoa Presidential Decree mbalimbali zinazolindwa na katiba nimeona sio vibaya kama na mimi nitakuja na Historia kwa sababu historia huwa haidanganyi na ndio suluhisho Lini Hiki cheo kilikuwepo na watu walioteuliwa,Na nani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…