maana

Maana Patel (born 18 March 2000) is an Indian backstroke swimmer from Ahmedabad, Gujarat.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hali ya umeme haijatengemaa maana kuna zima washa nyingi. Huku ndio kule kuajiriwa kwa kujuana

    Nilibaki nimebung'aa jana baada ya umeme kurejea mida ya usiku. Nilitegemea itakuwa one test au on or off ila cha ajabu usiku manane bado ilikuwa ni off on mara uwashwe mara uzime. Nikajiuliza inakuaje unafanyia majaribio kazi yako kwenye nyumba milioni za watanzania. Hakuna chumba cha...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Ndio maana Huwa nasema pale Simba Wenye akili zilikomaa ni MO na TRY AGAIN tu.

  3. R

    JamiiForums Tanzania Huu muonekano wa neno GOOGLE leo una maana gani?

    Hii ni kitu gani?
  4. A

    JamiiForums Tanzania Hili maziwa ya mama yakiuma basi mtoto wake anakuwa amekojoa likoje kisayansi?

    Leo nimekaa na mke wangu tunakula ghafla maziwa yakamuuma akaniambia mtoto anakojoa ndani ndo Mana yananiuma, maana mtot ana miezi miwil alikuwa amelala. Nikamwambia acha Imani zako za kiswahili twende tukahakikishe, tumefika tumemfunua mtoto kweli kakojoa. Na akanambia mtoto akiwa amelala...
  5. JamiiForums Tanzania Usitafute Uhuru, maana Uhuru wa kweli Upo kaburini

    Maana ya Uhuru, huisha baada ya utambuzi, Baada ya kutambua kuwa uhuru si maamuzi, Maana kifungo na mipaka vinafanana, Aliyekuambia kuna uhuru, Utaupata Kakudanganya. Kuna asili inayofanya,Mwili wako mashine, Kufanya ugongwa uwe jela,halafu afya ni jela nyingine, Mjamaa amemwaga damu...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Money is not power in Tanzania ndiyo maana wafanyabiashara wengi huamua kuingia kwenye siasa

    Kwa baadhi ya nchi money can be power ila si Tanzania ukichunguza wafanyabiashara wengi upper mid levels na wakubwa unaona wengi wanaona pesa pekee za biashara haziwapi power. hulazimika aidha kuingia direct kwenye nafasi za siasa hasa upande wa chama tawala au indirectly kujiweka karibu na...
  7. JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri wa haraka sana maana nahisi Nachanganyikiwa sasa

    Habari wanajamvi naandika Bango Hili nikiwa sijui nini nifanye na nikiwa nimechanganyikiwa Kwa Yaliyotokea na sielewi hili.wala lile. IKo hivi Mimi ni Kijana mwenye Umri wa Miaka 46, Nilikuwa nina Mke wangu ana Umri wa Miaka 34 Tulikuwa Tunaishi naye lakini kutokana na mambo Ya kimajukumu...
  8. JamiiForums Tanzania Mitume na manabii wa kisasa wasipodhibitiwa wanaweza kusababisha uchonganishi wa kitaifa.

    Wasalaam. Mahubiri mengi kwa hawa mitume na manabii wa kisasa yamejaa uchonganishi, manipulation, saikolojia na neno kidogo. Mengine yote sinashida nayo shida ni hii ambayo pia hata waganga huwa wanafanya. Uchonganishi. Yaani mtu anaenda kuombewa, muombewaji anaaminishwa kalogwa, mlogwaji...
  9. JamiiForums Tanzania Jaribu kula hii Olympic breakfast ya maana kweli kweli .

    Inakuwa na mchanganyiko wa Soseji Mayai mawili ya kukaanga Uyoga Viazi vilivyokaangwa vikakauka vizuri ama chips Nyanya kipande unaila ikiwa mbichi Maharage yasiyokaangwa steak ndogo ya kipande cha nyama sio mbaya sana Mkate pia ukiweka slace mbili sio kesi.
  10. JamiiForums Tanzania Bodaboda wanapataje leseni maana ajali kwao fasta

    Hivi bodaboda wanapataje leseni, maana uendeshaji wao upo rough sana mpaka unajiuliza huyu mtu amesoma sheria za barabara, Kwa namna moja au nyingine hii ndio sababu kubwa sana ya bodaboda nyingi jijini Dar es Salaam kupata Ajali. Mtu yupo kwenye foleni ila anakimbiza pikipiki balaa, mara...
  11. JamiiForums Tanzania Hii hapa mizinga ya Israel yenye uwezo wa kufuta ukanda wote huo, haipigiki, ndio maana Iran wameufyata

    Hii mizinga hususan Jericho 3 inapiga popote na inabeba manyuklia na hamna mwenye uwezo wa kuidungua na ndio maana Israel wana jeuri ya kupiga ubalozi wa Iran na kusema anayeumwa ajaribu hata kujikuna..... Kingine ifahamike wanajeshi wa Israel hupokea kiapo cha "Samson Option", kwamba kama...
  12. JamiiForums Tanzania Wazee tujuzane codes maana Kuna watu wanapiga sana simu

    Wasalaaaaaam........ Wataalam Kuna zile code ambazo ukiweka kwenye laini mtu akikupigia hakupati hewani ila Kwa mesej mnachati vizuri tu na unapata taarifa muda huo huo kuwa flani alikutafuta hewani hajakupata Kwa hiyo ni uamuz wako umpigie au laa. Ila wewe ukimpigia unampata hewani ila...
  13. JamiiForums Tanzania Israel yarudisha majeshi nyuma kutoka Rafah na katikati ya Gaza. Hii ina maana gani

    Ikiwa ni miezi sita kamili tangu vita vianze baina ya Hamas na Israel,na baada ya vifo vingi vya raia na askari wa Israel,na baada ya Israel kuwaudhi washirika wake, hatimae leo jeshi hilo limeamua kurudisha nyuma vikosi vyake kutoka kusini ya Gaza na Rafah. Baadhi ya taarifa zinaeleza kuwa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Haijapata kutokea ila imetokea sasa ndio maana tunawasifu na kuwaunga mkono viongozi wetu

    Tangu mwaka 1995 Jimbo la Vunjo limepata kuongozwa na wabunge wafuatao:- 1. 1995 - 2000 Mhe. James Francis Mbatia (NCCR MAGEUZI) 2. 2000 - 2005 Mhe. Meja Jesse Jeremiah Makundi (TLP) 3. 2005 - 2010 Mhe. Aloyce Bent Kimaro (CCM) 4. 2010 - 2015 Mhe. Augustine Lyatonga Mrema (TLP) 5. 2015 -...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi huku Mbweni wanaishi Watanzania? Haya majengo sio poa

    Habari za Sabato Wakuu! Wiki nzima hii nilikuwa huku Mbweni, ninakijiplot changu. Sasa kwa hali niliyoikuta nimejikuta ninakata tamaa. Aiseeh! Hawa majirani zangu sio Pouwa. Hii mijengo walioidondosha na wanaoidondosha sio Pouwa! Unaweza ukadhani upo kwenye filamu za kinaijeria. Hapa...
  16. JamiiForums Tanzania Nachukia wanaopenda kuuliza suala la dini sababu siamini katika dini bali uwepo wa Mungu. Je, nipo sahihi?

    Kiukweli kwa Tanzania ukimwambia mtu huna dini unaonekana mtu wa ajabu sana. Ila kwangu nimekuwa nikijilazimisha sana na kuishi maisha ya kinafki sana ili tu nionekane nina dini ila kadri muda unavyokwenda najiona kabisa sina mihemko na hizi dini jamani iwe Christian au Islamic au buddha sijui...
  17. JamiiForums Tanzania Pongezi Rais Samia kwa Kutuhisania Openness and Transparency Kwenye Uteuzi, Mnaonaje Ifanyike Kwenye Utenguzi na UtumbuzI Iwe ni Haki na Sio Hisani?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huja na makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa, ambazo ziko kwenye magazeti mawili, Gazeti la Nipashe la kila Jumapili na gazeti la Mwananchi la kila Jumatano, pia kuna kipindi cha TV cha KMT, kila Jumapili saa 3:00 usiku na marudio Jumatano saa...
  18. N

    JamiiForums Tanzania TANESCO imetosha sasa, huu umeme wa kushituashitua namna hii bora usiwepo maana upo ila hatuwezi kuutumia

    TANESCO, Huu ndio umeme mmeona leo mtulee watu wa Mbezi mwisho kweli, hivi mna nini nyie? Hapo ukute kwenye ripoti zenu mmejaza Mbezi wana umeme ndio huu? Sisi tutaufanyia nini iwapo hata taa tu inasumbuka kiasi hiki? Au mnalengo la kutuunguzia vitu, maana ukitulia dk 5 unaaanza kwa spidi a...
  19. JamiiForums Tanzania Kitu kama hiki unaweza ukachukulia rahisi ila wahusika wanajua maana yake na majibizano yao

    Picha inasomeka na inaelezea Diamond alikuwa ameshatoja kimaisha. Dogo alikuwa akiishi getting kwa namna walivyovaa tu. Lkn baadae wakagombana kwamba afya ya kinaisha ilistahili ichukue nafasi yake. Ni sawa konde alivyosepa. Kuna inhuman ilifanyika, yalikuwa makosa ya mond na crew yake. Monde...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa maana na sifa za maeneo ya kiutawala!

    Naulizia vitu hivi hapa wakuu; 1. Halmashauri ya wilaya 2. Halmashauri ya manispaa 3. Halmashauri ya mji 4. Halmashauri ya jiji 5. Maana ya 'halmashauri' Hili ni jukwaa la kujifunza na kuelimika, naomba nielimishwe kuhusu hoja hizo hapo juu ambazo mpaka sasa nazijua kwa mazoea tu ya kuzitamka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…